Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu kama wa Africa tunahitaji another alternative ya development model kwanini US na EU ndo watuambie jinsi ya kuendelea, hapana China sio mnyonyaji kama USA na EU kwahiyo kubadoli kwa world balance of power, huenda tukapata the second chance ya kuanza upya na kusahisha pale tulipo kosea ila US na EU are economic evils in Africa development wakianguka ni furaha kwetu wa Africa
💯Mkuu,Huyu pimbi anasahau hawa watu walipoitawala Africa waliinyonya Sana,mali ghafi,biashara ya Utumwa nk.
 
Nusu ya dunia isipokuwa hai itabaki hiyo nusu nyingine. Dunia ina watu bilioni 8 kwa sasa, nusu yake ni bilioni 4. Mwaka 1960 wakati Africa inapata Uhuru dunia yote ilikuwa na watu bilioni 3.
Here you are . Nadhani mnaona tupo wengi sana tunawabana. Endeleeni na agenda zenu ila Urusi anazitibua. That's why Ukraine Vs Russia while EU na US inawauma balaa utadhani wana uchungu na waukraine.
That's very bad kutumia Ukraine kama Canon foder yenu dhidi ya russia
 
Hiyo yote ni package ndani ya demokrasia. Government "by the people" inamaanisha serikali inayochaguliwa na watu kupitia sanduku la kura kwenye uchaguzi huru na wa haki kwa pande zote zinazoshindana.
Vipi uhuru wa kujieleza? Na nafasi ya mwanamke katika uongozi?
 
Tatizo la Africa sio development models. Muda mfupi baada ya uhuru Tanzania na mataifa mengine mengi walirukia development models za USSR na China ya Mao lakini chumi zao wote waliangukia pua na umaskini kushamiri.

Tatizo la Africa ni kwamba raia wake wengi ni wajinga na viongozi wake wengi hawana maono na maarifa ya kuhakisha utulivu nchi mwao, kuchochea ubunifu na biashara za maana katika nchi na kati ya mataifa yao.

Kwa sababu wameshindwa kufanya haya yote,maendeleo yamedumaa na wanawatumia Marekani na Ulaya kama "bogeyman" wao kwenye propoganda dhaifu.
Madikteta ya Africa yakisababisha mafarakano,vita, njaa na umaskini yanakimbilia kulaumu wazungu.
Inasikitisha sana
Hueleweki.
Which is why?. So hii status quo ya dunia kwa sasa is ok kwako..au una hasira why tupo kama tulivyo hivyo tukipate.
 
Russia au China hawawezi kuwapa mikopo, misaada, fursa za biashara, masomo, ujuzi, msukumo wa demokrasia na keheshimu haki za binadamu na kazi kama mnavyopata Marekani au Ulaya.

China anachofanya hapa Africa kwa sasa ni aibu kubwa zaidi, bidhaa zake zilizojaa Kariakoo ni earphones, cover za simu, urembo, toothpicks na jeans za kutoboka.Amechukua tenda za ujenzi hadi vibarua wa kubeba zega wanatoka kwake. Kwa hali hii sahauni kuwa na viwanda vya maana kama vile tulivyokuwa navyo muda mfupi baada ya uhuru tukaviua.

Urusi hakuna cha maana inachoipa Africa zaidi ya ngano ya kutengeneza maandazi, AK-47 na mbolea kidogo ya wakulima wa jembe la mkono kuganga umaskini wao ambavyo vyote tunanua kwa pesa zetu.
Demokrasia yenu bakini nayo watu tunayaheshimu marinda yetu
Demokrasia hii yakutaka watu watafunane kama wadudu bora izidi kupotea
Nahuku Afrika tunashukuru inapotea kwanguvu kuanzia magharibi mashariki kaskazini mpaka kusini mwa Afrika
Kutatua rinda ama kutatuliwa nayo ni parts ya haki ya binaadamu
Demokrasia nimfumo wahovyo kabisa kuwahi kutokea ULIMWENGUNI
Kheri anaetupea Ak47 na NGANO kuliko wapuuzi mnaotuletea ndoa zajinsia moja yaani mpaka ukulu zenu now munazipamba kwa hao WAPUUZI
RUSSIA sio ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata China, Brazil, Argentina, Vietnam, India, Korea , Colombia na Singapore zilitawaliwa wakati mmoja katika historia yao. Hata hao wazungu wao kwa wao wenyewe wamewahi kutawaliana. Kutawaliana kati ya mataifa imekuwa sio jambo geni kwa historia ya binadamu wote. Muache kulia lia kama wajinga.
[emoji817]Mkuu,Huyu pimbi anasahau hawa watu walipoitawala Africa waliinyonya Sana,mali ghafi,biashara ya Utumwa nk.
 
Mkuu kama wa Africa tunahitaji another alternative ya development model kwanini US na EU ndo watuambie jinsi ya kuendelea, hapana China sio mnyonyaji kama USA na EU kwahiyo kubadoli kwa world balance of power, huenda tukapata the second chance ya kuanza upya na kusahisha pale tulipo kosea ila US na EU are economic evils in Africa development wakianguka ni furaha kwetu wa Africa
Kifupi jamaa anatupanga tuone tutapoteza
 
Kila nchi inapotoa misaada na mikopo duniani au kufanya mikataba ya biashara yoyote kwa mataifa mengine inafanya hivyo kwa maslahi yake binafsi. Hayo maslahi yanaweza kuwa ya kiuchumi au usalama. Marekani inapotoa misaada au mikopo kwa nchi nyingine ni ili kampuni zake na raia wake wapewe kipaumbele kwenye hizo nchi. China nayo inafanya kwa sababu hizo hizo. Urafiki wa mataifa YOTE duniani kote ni urafiki wa maslahi sio kama urafiki wako na wa mshikaji wako mnayekunywa naye Konyagi.

Sielewi kwa nini Marekani akifanya kama wanavyofanya mataifa mengine inakuwa Nongwa! Au kwa sababu US ina msuli mkubwa wa pesa na fursa za kiuchumi kufanya hivyo kuliko kipenzi chenu Russia?!
Unajua marekani inasaidia kwa maslahi binafsi na inaongiza kuumiza nchi za kiafrika kwa mikataba ya kinyonyaji? His viongozi unaosema ni vilaza na hawana maono ndio marekani inawataka,Marekani hii ambayo Ilimuua Patrice Lumumba kiongozi aliyekuwa na maono ndio unayotetea humu?
 
Urusi ndio nchi kubwa zaidi duniani ila ina watu milioni 150 tu. Nigeria inayozidiwa mara 17 kwa eneo na Russia ina watu milioni 200.
Wajinga ndio waliwao, kalaghabo.
Here you are . Nadhani mnaona tupo wengi sana tunawabana. Endeleeni na agenda zenu ila Urusi anazitibua. That's why Ukraine Vs Russia while EU na US inawauma balaa utadhani wana uchungu na waukraine.
That's very bad kutumia Ukraine kama Canon foder yenu dhidi ya russia
 
⚡️Briefing by Russian Defence Ministry

▫️The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.

💥High-precision long-range missiles of the Russian Aerospace Forces have destroyed a large arsenal of the Ukrainian Armed Forces at an enterprise's storage site in Krivoi Rog, Dnipropetrovsk Region.

💥During the day, high-precision air-based missiles have hit 3 command posts, 25 areas of AFU manpower and military equipment concentration and 2 artillery batteries at firing positions.

▫️1 Osa-AKM anti-aircraft missile launcher near Nikolaevka, Donetsk People-s Republic, 1 air target detection and tracking radar near Boguslavka, Kharkov Region, and 5 ammunition depots near Krasnogorovka, Pokrovskoe, Donetsk People's Republic, Severodonetsk, Lugansk People's Republic, and Bezrukov, Kharkov Region, have been destroyed.

✈️💥 Operational-tactical, army and unmanned aviation have hit 2 command posts, as well as 53 areas of concentration of AFU manpower and military equipment.

▫️The attacks have resulted in the elimination of more than 300 nationalists and up to 50 AFU military and special equipment.

💥Russian air defence means have shot down 1 Su-25 aircraft of the Ukrainian air force near Novogrigorovka, Dnepropetrovsk Region, in mid-air.

▫️4 Ukrainian unmanned aerial vehicles have been shot down near Malye Prokhody, Pitomnik in Kharkov Region, Mirolyubovka in Dnepropetrovsk Region and Nizhnyaya Krynka in Donetsk People's Republic.

▫️1 Ukrainian Smerch multiple rocket has been intercepted near Malaya Kamyshevakha, Kharkov Region.

💥Missile troops and artillery have hit 62 command posts, 596 areas of manpower and military equipment concentration, as well as 52 positions of artillery and mortar units of Ukrainian nationalists.

📊In total, 183 Ukrainian aircraft and 128 helicopters, 1,049 unmanned aerial vehicles, 325 anti-aircraft missile systems, 3,309 tanks and other armored combat vehicles, 447 multiple launch rocket systems, 1,722 field artillery and mortars, as well as 3,270 units of special military vehicles were destroyed during the operation.

#MoD #Russia #Ukraine #Briefing
@mod_russia_en
 
US, NATO AND EU ARE OVER RATED.
Kabla ya tarehe Feb 24th kila mtu aliaminishwa na viombo vya habari vya magharibi, kwamba hi dunia ina mbabe moja na washikaji wake.

Tangu kuisha kwa vita baridi (cold War) btn the communist bloc led by Ussr na Western bloc led by US, tuli amanishwa kwamba US is the police man of the world, na Britain ana navy supremancy is the shark of the sea, kwamba wote wakiungana wana uwezo wa kufanya dunia hi chochote wanacho taka iwe economically au miliatarily walio bisha wakawa wanapewa mfano wa Zibabwe alivo dhoifishwa na vikwazo vya US na EU.

Special Oparation ya Urusi dhidi ya Ukrain eme expose utupu wa Marikani na EU, kwamba ni super power za media propaganda kama wa chezaji wa uingereza wanavo kua over rated na media ila uwajani hamna kitu.

Baada ya disintegration of USSR miaka ya 90s Nato elipata mwanya wa kuingilia Russia kupitia majimbo yake yalio jitenga kwa kuwa wezesha zaidi kicheshi na kiuchumi ziwe springboard ya kushambulia Urusi na atimaye kuangusha utawala wa ki-socialist haraka ili western democrancy itawale ulimwengu hu, Ukuraini ikawa case study yao kwa azima lao hilo.

kwa miaka 30 ilio pita walipeleka wanajeshi wa Ukuraini kwa special training ya kijeshi na ideological preparedness or indoctrination kwa miaka 8 wame train zaidi ya wanajeshi 100k, Ukuraini akawa na large standing and professional army in Western Europe kupambana na Russia kwa niaba ya Western powers ila cha kushangaza ni siku 90 tu za operation ya Urusi zinaenda sababisha total collapse of Ukuraniani Army ilio andaliwa na Nato kwa miaka 8 intensively with all kind of sofiscated western military arsenal, kweli Nato/na US ni Superpower visa-vie Russia?

Kama really US na EU are the fathers of democracy human rights freedom of press and free-trade kulikua hamna haja ya kuzuia RF na other Russia media ku-oparate in western countries, hiyo ndo hypocrisy ya hizo nchi kujifisha kwenye democracy wakati wana hidden military na eçonomic agandas, kupora mali za oligarch wa Russia bila ushahidi ni wizi mtupu na wivu, ilionyesha jinsi hizo nchi zilivo bado primitive.

Mytake:

Nina wakika Russia ana uwezo wa kuendesha hi vita kwa minimum ya mika mitano, kwasbb tangu miaka ya 90s alijianda sana na kitu kama hiki kutokea, naomba iendelee na oparation zake tena aipanue zaidi, kama mwa Africa tunahitaji tupata new world balance of power, tumechoka unafiki na udikiteta wa US na EU kwa nchi zetu, naona tayari nchi za ulaya ziko hoi hata kabla ya vita ya moja kwa moja kwao, naomba Putin eingage Poland baada ya Ukuraini, hata kama kutakua na haja ya kutumia silaha za nukes naona ni poa tu ili sisi Africa tuamuke na tupate maendeleo mapya bile EU na US intervention.
Mkuu nakupongeza sana kwa andiko hili lililojaa Hali halisi kabisa.

Urusi kazidiwa na west kwa silaha moja kubwa nauhimu sana,"Mediapropaganda".
Hii vita umewafunua nyeti zao wa "westnato''.
Hebu fikiria Urusi ameshatumia silaha fulani katika vita hii,wakati USA ndo kwanza kaitest Jana.
Silaha hiyohiyo Urusi kaishaipatia kinga yake wenyewe ndio weitest Jana.
Yaani Hawa ni watu wawili wameachana mbali kweli katika issue za silaha.
 
Mie huwa sielewi nyie Pro-Russia huo mda wa kubishana na hawa watu huwa mnautolea wapi. Kwanini msiwaache wapumbafu wabaki na upumbafu wao? Mmh?

Kama tumetofautiana jinsia, urefu, unene, rangi ya ngozi, mwenye nacho na asiyekua nacho mnafikiri itatokea mkubaliane kwa kila jambo kua hiki ni sawa kwa wote na hiki ni kibaya kwa wote ilhali mnatumia reference tofauti?

Never!

Kama kwa anayekula nguruwe na kwa asiyekula nguruwe, aliyesawa ni kulingana na iman yake juu ya jambo lenyewe. Unachukia ushoga mwenzio anafurahia ushoga mtaelewana kweli?

Unachukia anachokipenda, naye hapendi unachokipenda mtaelewana na kuweza kufikia mwafaka kweli?

Nawakumbusha kua, the real knowledge is to know the extent of one's ignorance. Na njia pekee ya ku'deal na Ignorant and Malicious critic ni moja tu. Just IGNORE...

Why nasema hivi? Ni hivi, unaweza kumpa mtu ama kuwapa watu maarifa but you can't make them think, some people want to remain fools, only because the truth requires change!

It's better to be silent than to dispute with ignorant, waacheni kama walivyo tu, you can't argue with ignorances. Na huenda isiwe upumbafu mwingi unaowasumbua bali illusion of knowledge plus Ego that destroying them from within.

Narudia tena huezi shindana na mpumbafu ukaonekana una akili. Kitakachofata ni ku-trigger emotions, mshikwe na hasira muanze kutukanana kitendo ambacho si cha kiungwana....

Jaribuni kupuuza sio kila msg inafaa kujibiwa...
 
Pole na na kutingwa MKUU
Ila ahsante kwa hili darasa HURU

Sent using Jamii Forums mobile app
Pro Russia mko wastaarabu sana.ulichokifanya kuomba msaada wa ufafanuzi kwa mtaalamu wa hicho kitengo kutoka Kwa Pro USAnato na kumshukuru ni sawasawa kabisa na kinachofanywa na wanajeshi wa Urusi.
Waliwateka wanajeshi wa Ukraine wanawatibu,wanawapa chakula,maji na simu ili waongee na wake zao au wazazi wao,sehemu nzuri za kulala n.k
Hii haijawahi kutokea katoka vita zote hapa duniani.
 
Mie huwa sielewi nyie Pro-Russia huo mda wa kubishana na hawa watu huwa mnautolea wapi. Kwanini msiwaache wapumbafu wabaki na upumbafu wao? Mmh?

Kama tumetofautiana jinsia, urefu, unene, rangi ya ngozi, mwenye nacho na asiyekua nacho mnafikiri itatokea mkubaliane kwa kila jambo kua hiki ni sawa kwa wote na hiki ni kibaya kwa wote ilhali mnatumia reference tofauti?

Never!

Kama kwa anayekula nguruwe na kwa asiyekula nguruwe, aliyesawa ni kulingana na iman yake juu ya jambo lenyewe. Unachukia ushoga mwenzio anafurahia ushoga mtaelewana kweli?

Unachukia anachokipenda, naye hapendi unachokipenda mtaelewana na kuweza kufikia mwafaka kweli?

Nawakumbusha kua, the real knowledge is to know the extent of one's ignorance. Na njia pekee ya ku'deal na Ignorant and Malicious critic ni moja tu. Just IGNORE...

Why nasema hivi? Ni hivi, unaweza kumpa mtu ama kuwapa watu maarifa but you can't make them think, some people want to remain fools, only because the truth requires change!

It's better to be silent than to dispute with ignorant, waacheni kama walivyo tu, you can't argue with ignorances. Na huenda isiwe upumbafu mwingi unaowasumbua bali illusion of knowledge plus Ego that destroying them from within.

Narudia tena huezi shindana na mpumbafu ukaonekana una akili. Kitakachofata ni ku-trigger emotions, mshikwe na hasira muanze kutukanana kitendo ambacho si cha kiungwana....

Jaribuni kupuuza sio kila msg inafaa kujibiwa...
Naunga mkono hoja,
Hata hivyo nimekua nikifanya kama usemavyo kitambo.
 
Relax,
Hakuna tuzo kwa Pro Russia au Pro Ukraine.
Tuzo zitatolewa kwa Raia wa Ukraine tu na foreign legion walioko mstari wa mbele wa vita wakitetea uhuru na sovereignty ya Ukraine kama taifa huru.

Back
Top Bottom