Vipi China Vs Russia.Urusi ndio nchi kubwa zaidi duniani ila ina watu milioni 150 tu. Nigeria inayozidiwa mara 17 kwa eneo na Russia ina watu milioni 200.
Wajinga ndio waliwao, kalaghabo.
Vipi China Vs Russia.Urusi ndio nchi kubwa zaidi duniani ila ina watu milioni 150 tu. Nigeria inayozidiwa mara 17 kwa eneo na Russia ina watu milioni 200.
Wajinga ndio waliwao, kalaghabo.
Kwamba Ukraine inapigwa mande.The Polish army has begun deploying its troops along the Ukrainian border to occupy western Ukraine. Belarus's president has said that if #Poland launches a military operation in #Ukraine, #Belarus will launch an offensive in the western part of the country.
#UkraineRussiaWar https://t.co/rVNl4tjzsnView attachment 2242329
Naomba uelewe kitu kimoja kwamba nchi yoyote ilio fuata development model ya ussr ya 'economy self reliance' US na wa shikaji wake walianza kuishambulia, kwa kila njia zikiwemo kuanzisha vikundi vya waasi, assassination of key leaders na economic sabotage za kila aina, development model ya self reliance economy haikupewa mda kua tested but was the best, China India Eastern Europe zilipata mda ndo unaona matokeo ya uchumi zao.Tatizo la Africa sio development models. Muda mfupi baada ya uhuru Tanzania na mataifa mengine mengi walirukia development models za USSR na China ya Mao lakini chumi zao wote waliangukia pua na umaskini kushamiri.
Tatizo la Africa ni kwamba raia wake wengi ni wajinga na viongozi wake wengi hawana maono na maarifa ya kuhakisha utulivu nchi mwao, kuchochea ubunifu na biashara za maana katika nchi na kati ya mataifa yao.
Kwa sababu wameshindwa kufanya haya yote,maendeleo yamedumaa na wanawatumia Marekani na Ulaya kama "bogeyman" wao kwenye propoganda dhaifu.
Madikteta ya Africa yakisababisha mafarakano,vita, njaa na umaskini yanakimbilia kulaumu wazungu.
Inasikitisha sana
Active 400000 reserve 3600000Russia ina wanajeshi zaidi ya 1m,hao ni wachache
Ujue hawa parata wakishashiba kishumbi wanapata nguvu ya kuandika mashudu hapa.Mkuu kama wa Africa tunahitaji another alternative ya development model kwanini US na EU ndo watuambie jinsi ya kuendelea, hapana China sio mnyonyaji kama USA na EU kwahiyo kubadoli kwa world balance of power, huenda tukapata the second chance ya kuanza upya na kusahisha pale tulipo kosea ila US na EU are economic evils in Africa development wakianguka ni furaha kwetu wa Africa
Naam ulifanya la maana sana mdau. Like hapa kuna mwingine kani'qoute na hatoona abadani nampa attention 😂, Ujue mdau hata porini Simba hawachanganyikani na Mbwa mwitu katika maisha yao kila siku japo wanaishi msitu mmoja.Naunga mkono hoja,
Hata hivyo nimekua nikifanya kama usemavyo kitambo.
Naomba uelewe kitu kimoja kwamba nchi yoyote ilio fuata development model ya ussr ya 'economy self reliance' US na wa shikaji wake walianza kuishambulia, kwa kila njia zikiwemo kuanzisha vikundi vya waasi, assassination of key leaders na economic sabotage za kila aina, development model ya self reliance economy haikupewa mda kua tested but was the best, China India Eastern Europe zilipata mda ndo unaona matokeo ya uchumi zao.
US na his capitalist ally ndo adui wakubwa wa new development ya Africa, wemezuia Africa kubuni new development strategies kila nchi inalazimisha ku-implenent outdated SAp (structural adjustments policy)ambayo I.eshondikana kwa Africa, kwahiyo Russia ndo mkombozi wetu kwenye hizo nchi, tunaomba hiyo operation iendelee beyond Ukuraini tena Mungu aki tusaidia Nuke moja iende London mji mkuu wa wingereza mambo mengi ya tabadilika in Africa......
Siku ukipata MNDUKU mpya na kuacha kubong'oleshwa pia ntaacha kukutusi sawa ..umenisikia samvu la kopo....Endelea kutukana huenda ukabuni tusi jipya maana unarudia tu yale Yale ya Kila siku.
Mkuu tatizo la Africa sio kukosa viwanda au kukosa mitaji, naomba ujue tatizo kubwa la Africa kufika hapa tulipo ni economic and political intervetion of US and EU, Africa inashindwa kuamuwa development model yake bila sobatage ya ulaya na policy yao ya divide and rule, US na Wingereza zikipolomoka leo, Africa itabadilika iwe kama tiger economy, Russia hana shida na Africa hana unafiki na hana unyonyoji........kwa hiyo kwa lolote linalo weza kushusha US na EU na lisapoti kwa 100% hata ziwe Nukus Baba Putin pinga tu, Africa tumechoka double standard capitalists"Self reliance" ni big hoax ya wakomunisti wajinga. Africa baada ya kupata uhuru na muda mrefu mpaka sasa haikuwa na teknolojia wala mtaji wa kujiendeleza kiviwanda. Teknolojia kubwa ya viwanda hadi miaka ya 90 ilikuwa inapatikana US, China na USSR. Bila uwekazaji wa viwanda Africa itaendelea kuwa nyuma.
Russia haijwahi kuwa na mchango wowote wa maana kiuchumi Africa na kwa matatizo iliyo nayo kwa sasa haitakiwa na mchango wowote kwa miaka 20 au 30 ijayo.
This is real T14 Armata i knew, i do respect you mwalim shida mimi kama pro Russia najua kuchanganuaHizo ni explosives reactive armour (ERA) blocks ambazo ni milipuko iliyofungwa nje ili kuzuia HEAT (high explosives anti tank) rounds. Kwa makombora ya zamani ya vifaru na RPGs kama RPG 7 vinazuilika na hizo ERA blocks. Ila kwa modern anti tank weapons zinatumia secondary explosives kwahiyo zinapita. Explosive ya kwanza inalipua ERA na ya pili ndio inapenya.
ERA imetengenezwa kiasi kwamba ukiipiga risasi hailipuki, ukiichoma moto haiungui, haiko more sensitive ila inaweza respond haraka na hit from a missile. Na kuna namna imefanywa izuie chain explosion kwamba ikipigwa block moja inalipuka hiyo tu.
Tatizo la ERA ni kwamba hawatakiwi kuwepo infantry pembeni watarukiwa na milipuko, na hiyo block ikishapigwa inabaki nafasi wazi mpaka uje kufanya maintenance.
Nashindwa kuendana na uzi kwa kuwa una comments nyingi sana na sipati updates au notification. Napata notification baada ya 12 hours, ilianza ni after 24 hours.
Mkuu tatizo la Africa sio kukosa viwanda au kukosa mitaji, naomba ujue tatizo kubwa la Africa kufika hapa tulipo ni economic and political intervetion of US and EU, Africa inashindwa kuamuwa development model yake bila sobatage ya ulaya na policy yao ya divide and rule, US na Wingereza zikipolomoka leo, Africa itabadilika iwe kama tiger economy, Russia hana shida na Africa hana unafiki na hana unyonyoji........kwa hiyo kwa lolote linalo weza kushusha US na EU na lisapoti kwa 100% hata ziwe Nukus Baba Putin pinga tu, Africa tumechoka double standard capitalists
Huyu Y ni Well trained propagandist. Tunajua wapi EU na US wakipigwa Africa tutapona. Haya mambo ya kuambuliwa kila pahala na wao yaishe aisee.Mkuu tatizo la Africa sio kukosa viwanda au kukosa mitaji, naomba ujue tatizo kubwa la Africa kufika hapa tulipo ni economic and political intervetion of US and EU, Africa inashindwa kuamuwa development model yake bila sobatage ya ulaya na policy yao ya divide and rule, US na Wingereza zikipolomoka leo, Africa itabadilika iwe kama tiger economy, Russia hana shida na Africa hana unafiki na hana unyonyoji........kwa hiyo kwa lolote linalo weza kushusha US na EU na lisapoti kwa 100% hata ziwe Nukus Baba Putin pinga tu, Africa tumechoka double standard capitalists
[emoji298]️Briefing by Russian Defence Ministry
[emoji3503]The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation in Ukraine.
[emoji95]High-precision long-range missiles of the Russian Aerospace Forces have destroyed a large arsenal of the Ukrainian Armed Forces at an enterprise's storage site in Krivoi Rog, Dnipropetrovsk Region.
[emoji95]During the day, high-precision air-based missiles have hit 3 command posts, 25 areas of AFU manpower and military equipment concentration and 2 artillery batteries at firing positions.
[emoji3503]1 Osa-AKM anti-aircraft missile launcher near Nikolaevka, Donetsk People-s Republic, 1 air target detection and tracking radar near Boguslavka, Kharkov Region, and 5 ammunition depots near Krasnogorovka, Pokrovskoe, Donetsk People's Republic, Severodonetsk, Lugansk People's Republic, and Bezrukov, Kharkov Region, have been destroyed.
[emoji3575][emoji95] Operational-tactical, army and unmanned aviation have hit 2 command posts, as well as 53 areas of concentration of AFU manpower and military equipment.
[emoji3503]The attacks have resulted in the elimination of more than 300 nationalists and up to 50 AFU military and special equipment.
[emoji95]Russian air defence means have shot down 1 Su-25 aircraft of the Ukrainian air force near Novogrigorovka, Dnepropetrovsk Region, in mid-air.
[emoji3503]4 Ukrainian unmanned aerial vehicles have been shot down near Malye Prokhody, Pitomnik in Kharkov Region, Mirolyubovka in Dnepropetrovsk Region and Nizhnyaya Krynka in Donetsk People's Republic.
[emoji3503]1 Ukrainian Smerch multiple rocket has been intercepted near Malaya Kamyshevakha, Kharkov Region.
[emoji95]Missile troops and artillery have hit 62 command posts, 596 areas of manpower and military equipment concentration, as well as 52 positions of artillery and mortar units of Ukrainian nationalists.
[emoji408]In total, 183 Ukrainian aircraft and 128 helicopters, 1,049 unmanned aerial vehicles, 325 anti-aircraft missile systems, 3,309 tanks and other armored combat vehicles, 447 multiple launch rocket systems, 1,722 field artillery and mortars, as well as 3,270 units of special military vehicles were destroyed during the operation.
#MoD #Russia #Ukraine #Briefing
@mod_russia_en
Huyu Y ni Well trained propagandist. Tunajua wapi EU na US wakipigwa Africa tutapona. Haya mambo ya kuambuliwa kila pahala na wao yaishe aisee.
The Bear is back.
Yaani ni Capitalism mwenye nguvu mpe. Na mdogo atafikiriwa. Hii dunia yafaa iwe reset turudi kwenye barter trade exchange of economic goods rather than monopoly of economic goods.Nimelipenda andiko hili...USA na West wote kwa ujumla ni wahuni tu na washenzi kwa ujumla wake...USA na wahuni wenzake wanazungumzia kile kinachoitwa demokrasia lakini wao wenyewe demokrasia hawaitekelezi...hovyo kabisa