Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unajua haya mambo bana ukifatilia kiundani utagundua kuwa kama nchi haijiamini kuwa pekeako kwa sasa bora itafute hata mshirika mwenye nguvu ili ipone chokochoko kwa mfano kama Syria, Venezuela, Cuba nk kwa Russia na N.Korea kwa China

Miongoni mwa nchi zilizoko salama na zilizoepuka chokochoko pale ulaya hivi karibuni ni hii Belarus, na imeepuka hivyo kwa sababu ya huyu Mrusi alipoingilia kati, Rais wa Belarus alikasirika sana lile jaribio la juzi la kumuondoa madarakani na sasaivi ndio kawa mkali sana na kuonyesha makucha yake
Urusi kama kawaida yake alikua hataki kuona utawala wa huyu bwana unaangushwa kwa sababu maadui wangelimzunguka sana ndio maana kafanya juu chini huyu mwamba kabaki, ilifikia kipindi kapeleka mpaka jeshi, S-400 na Iskander, na sasaivi Urusi ina mpaka kambi huko Belarus

Alaf mwanangu mm ingelikuja kuchafuka hii Belarus ingeniuma sana maana pale Ulaya miongoni mwa nchi safi na nzuri miji yake ni hii Belarus, jamaa nchi yao iko kama Uswizi au Ikitaka kufanana na Czech Republic miji yake, kuanzia mijengo barabara hata miji
nikichokuja kungamua ni kuwa yukrein kihistoria ni eneo la urus na hio nchi inayotwa ukran ni ya kubuni kuaminisha watu kuwa kuna nchi inaitwa hivo.ndio mana mpka leo mrusi anaiona kama sehem yake

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Uzalishaji wote (GDP) wa Russia kwa mwaka mzima hauzidi USD1.5Trillions, Huo ni uchumi mdogo kuliko hata jimbo la Texas au California.
Hapo bado hujaweka mauzo ya gas, makaa ya mawe, mbolea, ngano, madini na silaha, ukija kupiga total export income utakuta ni zaidi ya Tsh100trillions/month.

Halafu anatokea mNATO mmoja anakwambia Russia itakata upepo vita ikiendelea.

Russia siyo Latvia.
 
Wanajeshi 30,000 wa Russia wamefia vitani mpaka sasa
I will fight calmly with steady advancements and ensure minimal level of casualties. Kwaiyo ni plani ya Putin.

NATO wanataka haraka na Papara ili Poutine apate hasara kubwa sasa kashtuka hataki mhemko

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Demu wako ana hasara sana, atakuwa anachukuliwa na mabaunsa huku wewe umejikunyata tu.
Kunakitu hakieleweki kwa hii vita ya Ukraine.
Ivi zelensky ameshindwa kujiuliza kwamba kwanini USA,na NATO wanamchochea kuendelea na vita, yani wanamuambia aendelee kupigana na mtu ambae wao wote US na NATO wanaogopa kuingia nae vitani moja kwa moja, sasa Zelensky pekeake ndio atawaweza?.

Akili ndogo sana inahitajika kumaliza hii vita.
 
Na nyie wateseni, kuna aliyewazuia au akili zenu ni ndogo sana kiasi kwamba nyie tu ndo huwa mnateswa na wengine??
wanatest na ugonuwa huku Africa na ma bio-lab yao, mwisho wa siku wanasingizia Africa imeleta ugonjwa. Ndio maana mtu anayesifia hawa watu yaani hana akili timamu kabisa.
 
Kwa hii fallacy yako NATO wanaogopa pia kuingia kwa mwendawazimu Kiduku au Iran kwa sababu wana silaha za kisasa sana kuwashinda wao
Hakuna NATO mwenye silaha za kisasa kama warusi.wenyewe wanaogopa kuingia moja Kwa moja kwenye vita huko Ukraine Kwa sababu hao ni wachumba Tu kwa Warusi.
 
⚔️⚔️⚔️The accession of the Kherson region to Russia may take place no earlier than 2023 - Deputy head of the military-civilian administration of the region Kirill Stremousov. “By the fall of 2022, this will not happen. We are preparing the administrative system, and then, closer to next year, we will see how things are,” he said in an interview with Reuters⚔️⚔️⚔️
 
Pro Russia kuongelea demokrasia kama kitu cha maana ni ujuha na upumbavu wa kiwango cha lami.
Kama unaamini hamuwezi kuwa na katiba itakayochochea ukuaji wa democracy nchini mwenu mpaka mtegemee wazungu waje wawafundishe jinsi ya kupractice democracy bado uko na utumwa wa kifikra.
 
Marekani anakusaidia hadi kufundisha mbwa wa kunusa dawa za kulevya msiwe mateja wote. Pia anakupa na msaada wa kutahiri magovi ili kasi ya Ukimwi ipungue. Sehemu nyingine anakujengea na vyoo.
mfano halisi sababu huna hoja unaendeshwa na mahaba ya mmarekani, sina shaka unafanya kazi kwenye NGO flani bila donor funds watoto hawaendi toi
 
The German authorities have minimized the supply of weapons to Ukraine, according to Welt am Sonntag.

According to him, over the past nine weeks there have been only two deliveries - light weapons. We are talking about anti-tank mines, spare parts for machine guns, hand grenades and explosive charges.

German Chancellor Olaf Scholz still refuses to supply Kyiv with heavy weapons, citing agreements with NATO allies, the newspaper notes.
Earlier, Bild wrote that the German Security Council has been blocking the delivery of 100 Marder infantry fighting vehicles to Ukraine for more than a month.

Das Erste, in turn, reported that NATO had informally agreed not to send Western military equipment to Ukraine without prior approval in order to minimize the risk of a direct confrontation between the Russian Federation and the alliance.

20220502_010825 (1) (1).png
 
Back
Top Bottom