Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa akili hizi siwezi shangaa kama utamshikia panga mmbongo mwenzio akikugongea mkeo ila utachukulia freshi tu endapo mzungu akimgonga mkeo kwa kuwa ni mmarekani 🤣🤣🤣
Nje ya mada... jikite kwenye mada
 
Mrusi ni mtu wa HONYO kabisa miaka nenda rudi yeye hala yake yote ni kutengeneza silaha za maangamizi na udikiteta nchini kwake.

Ni taifa gani kubwa duniani lisilochangia ukuaji wa demokrasia duniani hasa Africa ? yaani hata kwa asilimia 2.

Putin ni mshenzi tu. .hafai..ni bata
We ni boga lililokosa maji kabisaaa....democrasia ni mavi mavi gani??? Eti africa...africa!! Mfyuu ww n shwain kabisaaa
 
mfano halisi sababu huna hoja unaendeshwa na mahaba ya mmarekani, sina shaka unafanya kazi kwenye NGO flani bila donor funds watoto hawaendi toi
Mfano usioendana na mada huo, kazi yangu haihusiki na huu mjadala.

Jikite kwenye mada
 
Mrusi ni mtu wa HONYO kabisa miaka nenda rudi yeye hala yake yote ni kutengeneza silaha za maangamizi na udikiteta nchini kwake.

Ni taifa gani kubwa duniani lisilochangia ukuaji wa demokrasia duniani hasa Africa ? yaani hata kwa asilimia 2.

Putin ni mshenzi tu. .hafai..ni bata
Unaweza elezea historia ya demokrasi Africa mfano ukiwa Tanzania.
Anza kabla ya ukoloni ' wakati wa kudai uhuru' baada ya uhuru na baada ya Soviet Collapse.
Ile mode ya struggle wakati wa Uhuru ilikuwa ni tishio kwa maslahi yao kwani zile fikra za akina EFL na Gadafi zilikuwa kikwazo.
Demokrasia yafaa izalishwe ndani sio itoke nje ikiwa na maana mkubaliane jinsi ya kujiongoza sio kuambiwa.
 
Mfano usioendana na mada huo, kazi yangu haihusiki na huu mjadala.

Jikite kwenye mada
Mada ni kuwa usimtetee mtu kwa ushabiki na mahaba, marekani amefanya uhalifu mara 10 zaidi ya urusi so huna justification yeyote ya kumkandia urusi kwa hiki anachokifanya ilihali marekani ni kawaida yake kufanya huo ushenzi. Mwache nae amnyooshe Ukraine sababu anastahili kunyooshwa kwa ukaidi wake.
 
Dohh.. ok kwasababu ni pro Russia wacha nikujibu China na India zina ushawishi gani apa duniani wa kuizidi west na USA umeongelea miradi china ni mfanyabiashara tu hana mradi wa bure ata mmoja kama upo nitajie ,ukiwachanganya India na China wote kwa pamoja awafikii ata 10% ya ushawishi alionao USA apa tanzania na dunia kwa ujuml labda bado ujajuwa nini mahana ya ushawishi nikudokezee kidogo
Umefika wakati wa kuignore hii kenge....
 
Mada ni kuwa usimtetee mtu kwa ushabiki na mahaba, marekani amefanya uhalifu mara 10 zaidi ya urusi so huna justification yeyote ya kumkandia urusi kwa hiki anachokifanya ilihali marekani ni kawaida yake kufanya huo ushenzi. Mwache nae amnyooshe Ukraine sababu anastahili kunyooshwa kwa ukaidi wake.
Mahaba ?....nyie mnaoutetea uvamizi wa Urusi hamna mahaba ?

Mwache nae amnyooshe Ukraine sababu anastahili kunyooshwa kwa ukaidi wake.
Ukaidi upi huo?...mahaba kwa Urusi yamewapofusha.
 
Kumekucha 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220528-081830.png
    Screenshot_20220528-081830.png
    105.6 KB · Views: 33
Nyie ndio mmefanya mafuta ya kupikia yamepanda bei mmayafanya mbadala wa KY . Shenzi kabisa ... Watu wanapikia nyie mnatinduana.
Dada mbona unaleta siri zako za ndani? Hayo baki nayo huko huko kama huna hoja kaa soma kimya kimya.
 
Back
Top Bottom