Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

'Wataalamu walisema ile ni professional rubbish mbona huwataji na kuwanukuu!? Hata mm naweza kusema wataalamu wamesema, nikisema haimaanishi kweli wamesema. Evidence!?

Unataka kubisha kwamba katika mchanga unaosafirishwa (kama mchanga) ndani yake hamna madini!?

Ukweli ndio huo na sio maneno ya kubumba tu ni utafiti wa wataalamu (unless una ushahidi wa utafiti mwingine) kwenye mchanga unaosafirishwa kwenye makontena yapo madini ya aina mbali mbali.

Swala la kudai trilioni 400 au la halihusiki na ukweli wa uwepo wa madini kwenye mchanga. Tatizo lipo/lilikuwepo kwenye mikataba.

Nimekuwekeeni na nukuu kutoka AFDB na GFI nazo ni professional rubbish!?

Kuwa muungwana basi walau kidogo. Mtu anaweka hoja na kuzilinda na nukuu kutoka kwa tafiti mbalimbali za taasisi zinazofahamika wewe unakuja na maneno yako matupu tu mfano wa mlevi si sawa!!

Alafu ni Mruma sio Mluma
izo hoja unazoziongelea wewe amecopy kwa kwenye refference za kina kabudi na mruma ndio apo tunapobishana
 
izo hoja unazoziongelea wewe amecopy kwa kwenye refference za kina kabudi na mruma ndio apo tunapobishana
AFDB na GFI hujawaona hapo!? Ama huwajui!? Unaweza kunionesha ni wapi kwenye ripoti ya Mruma walinukuu hizo taasisi hapo!? Mbona wewe mpaka sasa hujatoa nukuu hata moja

Huna hoja una makelele. Ndio kawaida yenu proNato. Makelele tu basi.
 
Neo-colonialsm =chenese wako vizuri
New world order=chenese na indian wote wananguvu.
Chenese n super power ana miradi mikubwa kwenu ya kimaendeleo. while India ndio founder na kiongozi wa NAM hata nchi yako iko uko.

Nionyeshe unachotaka kusema kwa fact narudia tena FACT
Dohh.. ok kwasababu ni pro Russia wacha nikujibu China na India zina ushawishi gani apa duniani wa kuizidi west na USA umeongelea miradi china ni mfanyabiashara tu hana mradi wa bure ata mmoja kama upo nitajie ,ukiwachanganya India na China wote kwa pamoja awafikii ata 10% ya ushawishi alionao USA apa tanzania na dunia kwa ujuml labda bado ujajuwa nini mahana ya ushawishi nikudokezee kidogo
 
If you know your history.
Then you would know where you coming from
Then you wouldn't have to ask me.
Shangazi ongeza sauti 😎😎

BBC, VOA, REUTERS, CNN, DW 🤣 Wanaidanganya dunia Kwa maslahi ya nani?
Kwa maslahi mapana ya Taifa 😂😂😂

Unataka kubisha kwamba katika mchanga unaosafirishwa (kama mchanga) ndani yake hamna madini!?
Na kama hauna madini unasafirishwa ili iweje 🤔
 
NATO wameamua ku nyooka na Russia [emoji116]
Wenzako walidanganywa hivyo hivyoView attachment 2241015
20220527_173442.jpg
 
Dohh.. ok kwasababu ni pro Russia wacha nikujibu China na India zina ushawishi gani apa duniani wa kuizidi west na USA umeongelea miradi china ni mfanyabiashara tu hana mradi wa bure ata mmoja kama upo nitajie ,ukiwachanganya India na China wote kwa pamoja awafikii ata 10% ya ushawishi alionao USA apa tanzania na dunia kwa ujuml labda bado ujajuwa nini mahana ya ushawishi nikudokezee kidogo
Wewe ni jinsia ganii kama n ke ni sawa maana mambo huwa hayaendi bila sponsor 🥰🥰🥰🥰.
Turudi kwenye dokezo.
NAM-(India)120-member states ,17-country observers,10-observres international organization.(sizani kama kwenye shughuli yako ya kitchen party unaweza kupata watu wengi ivyo apart from your siblings)
CHINA-BRICS hilo n chama kubwa la wazee wa kazi ambalo hata boyfriend wako anawishi nchi yako ijiunge ndio vile hatuna msuli.

Vidole vinauma wewe mbugila
Ya mwisho CHINA ana project yake uko anga za mbali bwana ako USA anataka kujiunga wamemtolea nje.
 
AFDB na GFI hujawaona hapo!? Ama huwajui!? Unaweza kunionesha ni wapi kwenye ripoti ya Mruma walinukuu hizo taasisi hapo!? Mbona wewe mpaka sasa hujatoa nukuu hata moja

Huna hoja una makelele. Ndio kawaida yenu proNato. Makelele tu basi.
kati ya ile kamati ya kina prof mruma na kabudi na (AFDN,GFI) nani alikuwa wa kwanza kueleza kuhusu makinikia
 
Wewe ni jinsia ganii kama n ke ni sawa maana mambo huwa hayaendi bila sponsor [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059].
Turudi kwenye dokezo.
NAM-(India)120-member states ,17-country observers,10-observres international organization.(sizani kama kwenye shughuli yako ya kitchen party unaweza kupata watu wengi ivyo apart from your siblings)
CHINA-BRICS hilo n chama kubwa la wazee wa kazi ambalo hata boyfriend wako anawishi nchi yako ijiunge ndio vile hatuna msuli.

Vidole vinauma wewe mbugila
Ya mwisho CHINA ana project yake uko anga za mbali bwana ako USA anataka kujiunga wamemtolea nje.
Pro Russia kwakuwa nilishaapa nitakula na nyinyi sahani moja ngoja nikueleweshe , Brics siyo threat to west wala USA brics wenyewe ata msimamo wa pamoja hawana ndio waje kuwa threat kwa west , Bajeti ya NASA kwa mwaka ni 24billion apo tayari wanakila kitu but bado bajeti yao ni kubwa ivyo China na USA nani alianza kwenda kwenye space station?
 

Top 10 Countries with the Largest Military Submarine Fleets (IISS 2021):​

  1. North Korea - 71
  2. United States - 68
  3. China - 67
  4. Russia - 65
  5. Japan - 22
  6. South Korea - 18
  7. Iran - 17
  8. India - 16
  9. Turkey - 12
  10. Greece, United Kingdom (tie) - 11
Kwa usa itakuwa maumivu makubwa sana
Hizo 71 na 63 za mrus ongeza na China zote zitashambulia usa
 
Wewe ni jinsia ganii kama n ke ni sawa maana mambo huwa hayaendi bila sponsor [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059].
Turudi kwenye dokezo.
NAM-(India)120-member states ,17-country observers,10-observres international organization.(sizani kama kwenye shughuli yako ya kitchen party unaweza kupata watu wengi ivyo apart from your siblings)
CHINA-BRICS hilo n chama kubwa la wazee wa kazi ambalo hata boyfriend wako anawishi nchi yako ijiunge ndio vile hatuna msuli.

Vidole vinauma wewe mbugila
Ya mwisho CHINA ana project yake uko anga za mbali bwana ako USA anataka kujiunga wamemtolea nje.
Naona unamsifia sana china ..china uyu uyu ambae uchumi wake hauna backbone mda wowote una vanish
 
Huyo nadhani hajui kuwa wazungu n binadamu kama yy alivyo.
Maana haiingiii akilin mpka serikali ikaona inapigwa ivyo waunde kamati kujihakikishia.
Yaaani ana miliki mgodi anapakia hayo makinikia peke yake hivi ata kama n ww apo hautaweka hata gunia/magunia ya dhahabu.Uku kwa wahindi tuu hauruhusiwi kuingia na chochote na ukitoka bado unapekuliwa usiondoke hata na big g sembuse hao ma opportunist.

Hawa watoto wa 2000 ni takataka kabisa [emoji706]
 
Back
Top Bottom