Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Leo nilipomsikiliza waziri wakilimo wa RUSSIA ndio nimeelewa why jamaa wakadeal sana na DON BASS na nikajua why jamaa wamedeal na huo ukanda walodeal naoWatu wanapiga kelele huku kila siku wakila maandazi ya ngano ya Urusi.
View attachment 2240196
Russia remains the number one wheat exporter in the world.
This was stated by Russian President Vladimir Putin.
“We have become absolutely competitive at the global level, in world markets. Russia remains, if we talk about the agricultural sector, the largest exporter of wheat in the world, number one,” the president said at a meeting of the Eurasian Economic Forum.
Kwanlivyomskiliza yule waziri wakilimo wa RUSSIA nadiriki kusema kwenye hii OP mpaka muda huu basi RUSSIA wamefanikiwa kwa 90%
Tena jamaa wanamahesabu yambali kweli kweli jamaa kawaaibisha sana wamagharibi
Waziri anasema kwamwaka jana(huu mwaka tulo nao unaoisha) RUSSIA iliweza kuuza nje ya nchi ya Tani Millioni 25 za nafaka kwenye tani hizo 19M waliuza ngano nje ya RUSSIA
Jamaa akaongeza kwakusema kwenye msimu huu waukilimo wanatarajia kuongeza uzalishaji nawatauza nje ngano pekee tani Millioni 50 yaani wanapiga mara mbili yamwaka huu
Naiko wazi kipindi hiki DUNIA inahitaji sana chakula kwahio jamaa akianza kuuza ngano hapo mwakani atauza kwapesa yake(yaani anayoitaka yeye kwenye bei maana uhitaji unaongezeka) kwenye hili naona kamtonya hata INDIA ili soko la DUNIA kue nauhitaji wa NGANO jamaa wapige hela
Nb:-nnachokihisi hapa RUSSIA anaandaa mipango mikakati watu wanunue ngano yake kwa RUBLE na ilivyokua ngano kwasasa deal watu watatii tuu ila wacha tuone itavyokua
RUSSIA sio ZIMBABWE
Sent using Jamii Forums mobile app