Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Number of rocket artillery in each country​


  1. North Korea 5000
  2. Russia 4359
  3. China 3140
  4. Iran 1755
  5. USA 1366
  6. Egypt 1322
  7. Vietnam 1094
  8. India 960
  9. Ukraine 630
  10. Syria 582

Screenshot_20220527-085229.png
 
US Confiscates Oil from Russian-Operated Ship Near Greece


Washington has seized an alleged Iranian oil cargo from a ship operated by 19 Russian crew and impounded by Greek authorities near the island of Evia last month.


An anonymous source from the Greek shipping ministry told Reuters that the US Dept of Justice informed Athens of the cargo’s origins and that the oil had been transferred to an American vessel to be taken to the US.


Subscribe to RT t.me/rtnews
Huu ni wizi si ndio? Au mie nimeelewa vibaya.
 


⚔️⚔️⚔️China supported the Russian special operation in Ukraine #write us (thanks to the subscriber) Greetings from Blagoveshchensk! This is the surprise our Chinese friends gave us tonight. Filmed on the waterfront. From it we have a view of Heihe - a Chinese city. Even though it was misspelled, it's still nice. We have many friends in this world⚔️⚔️⚔️
 
🇷🇺📚 Russia's largest library of Jewish book collections, including from the Schneerson Library, the Jewish Book House and the museum’s Research Center, opened in Moscow on Thursday.

🔎 The oldest books stored in the space organized by the Moscow-based Jewish Museum and Tolerance Center date back to the first half of the 19th century.
 
pro Russia niwakumbushe kuwa adi ndugu zetu uko kinijini wanaokunya porini wametengenezewa vyoo kwa msaada wa USAID
Ni aibu kabisa kwako kuleta comment ya Aina hii....sijui ni Mtanzania wa wapi wewe?!?! Yaani unafurahia kujengewa choo?! Don't you know kwamba that is humiliation? Hujui kabisa kuwa Wazungu na hasa hao Waingereza na Wmarekani ni washenzi na wezj wa radlimali zetu?! Yaani wanatuibia dhahabu, almasi na kadhalika halafu ndio wanatupatia misaada ya udhalilishaji?! Hujui kuwa sisi siyo maskini Bali umaskini huu 'tumelazimishwa' kuwa nao kutokana na mfumo kandamizi wa dunia?!
 
Ndugu yangu nani kakuambia Urusi hawakutia ground forces Syria?

Urusi kapigana sana Syria Tena ground forces Kali kabisa .
Unakumbuka kisa kimoja Askari mmoja dogo TU wa Urusi.
Alikua anapiga na ISIS Yuko na wenzake.
Yeye ikatokea akiwa peke yake akawa anapambana nao kishenzi.
ISIS wakiwa wengi kweli,kacheza nao lakini hawaishi wanazidi kumsogelea TU.

Akaona isiwe taabu,akaomba msaada wa ndegevita,akaielekeza Yuko wapi,akaiamuru ipige pale alipo kwa sababu Kuna ISIS wengi ili wafe na yeye afe ili wasije wakamteka .
Yaani afe pamoja nao.

Aisee Ile ndege ilikua ikapiga pale mahala walikuafa ISIS kibao pamoja na dogo huyo wa Urusi.

Ingekua USA angekubali kutekwa halafu nchi yake ingebembeleza kulipua hela ili dogo wa USA aachiwe na magaidi.
Huyo alikua ni askari wa miguu wa Urusi
Sidhani kama hata anajua kitu mwambie pia alipewa nishani ya juu kabisa nchini urusi kaacha mke aliwa mjamzito wakati huo. Wanaosapoti nato wengi kichwani weupe sana
 
Back
Top Bottom