Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

BREAKING: The US government is set to approve sending Ukraine long-range missile systems that were requested by officials in Kyiv

Msichukue hii vita ni ya muda mrefu
 
View attachment 2240210
State Duma Vice Speaker Pyotr Tolstoy: Historically, it seems to me that both Ukraine and Ukrainians will return home, to Russia, to Great Russia. And accordingly, both Little Russia and New Russia will join us together with Belarus. Here is such a program.
Zelensky kama anauza nchi hivi
Kwa sasa wataelekea kusini magharibi Odesa watakomboa kale kakipande kwenye Moldova then wataingia Liviv.
Belarus atagonga Kiev na watakutana Katikati.
No more Ukraine.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Unafikir walilala wakadamka teari mambo yamekwiva? Happana kila jambo zuri linahitaji kusanifiwa kwa umakini na ustadi wa hali ya juu... Kila safari ina changamoto zake usipojiandaa kwazo basi ni sawa na kusema kua hujajiandaa kwa safari hiyo.

Nina mengi kifuani kuyasema yote si hekima. Ila ipo siku nitawatafuta baadhi kama nyie na wazee wenzangu sio tu kwasababu ni Pro-Russia happana, Bali ability to understand.

Tuone kama tunaweza safirisha baadhi ya abiria kwa mashua nje ya Siasa na mwelekeo wa Madaraka cuz naamini ku-make changes ni utayari na hali (passion) sio lazima uwe politician au kiongozi. NJIA ZIPO NYINGI.
Niweke kwenye msafara siku ikifika chief.
 
Misaada tumeiongelea kama refference tu baada ya nyinyi kujifanya amuhutambui umuhimu wa west japo kwa 10% kwenye nchi yenu,kuhusu ushindi mnaoupata tayari walishacalculate na wakajua kitakuja kutokea iki kinachoendelea subiri waanze kupewa nao silaha kama mnazotumia nyinyi, adi apa alipofikia ukraine anastahili pongezi yani kupigana vita na visilaha vya kuokoteza kwenye full scale war..Slava ukraini..
mrusi anatumia soviet made za zaman ukraine inatumia silaha za kisasa kabisa ambazo ndo silaha tegemez kwa nato na bado kichapo anapewa kubalin test silaha zao ni weak tu hazina faid ndo maana walikula kona pale afghastan
 
View attachment 2239767
‼️ANOTHER UNIT REFUSE TO BE CANON FODDER‼️
Another unit of Ukraine that is not ready to perform its tasks, the commanders threw them, there was no training, there is no comprehensive provision, weapons and ammunition as such
Naona kitendo cha urusi kuwaacha hai Askari waliosalimu amri naona kinaanza kuleta matunda wengi wakiona hawana msaada kutoka Kwa wakubwa zao wanasalimu amri, maana Wana uhakika wa kuishi na kuhudumiwa, na urusi atakuja kuwaachia huru hawa baadae Hali ikiwa shwari
 
Tukiwaambia nyie proNATO ni miyeyusho mnasema tumewatukana.

Uchumi wa US ni 20T usd
Uchumi wa urusi ni 1.5T usd

Kwa jinsi ulivyosoma wewe mahesabu darasa la tatu b ndio ulifundishwa 1.5 x 1000 unapata 20 sio!?

Acheni kupenda misaada. No freelunch in the world. Unaibiwa dhahabu za trillion unapewa chandarua cha laki bure ndio nini sasa
Lini, wapi umeibiwa dhahabu za trillion badala yake ukapewa vyandarua? Toa reference. Ni rahisi kusema maneno yanayo sound nice masikioni lakini kumbe hayana ukweli wowote.
 
Wapi kwenye comment yangu nimetaja
Kwa ufinyu wa uwezo wako wa kufikiri unadhani kila anayeiunga mkono Russia yuko upande flani wa dini, kama hujui wapo wamarekani wenyewe wenye nchi yao ambao wanaunga mkono Russia alichofanya acha nyie wamarekani wa mitandaoni
nimetaja Russia? Unajua kusoma kweli wewe?
Kuna hata sehemu nimetaja kuipenda au kuchukia Russia? Mbona nimetaja tu US acha kukurupuka soma uelewe kisha ndio u comment.
 

Countries by number of tanks​


  1. Russia 12270
  2. USA 6612
  3. North Korea 6000
  4. China 5750
  5. India 4614
  6. Syria 4156
  7. Egypt 3044
  8. Turkey 3017
  9. Iran 2842
  10. Pakistan 2735

Screenshot_20220527-084628.png
 
Back
Top Bottom