Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Screenshot_20220527-141655.png
 
Ameishiwa silaha 👇
rukeni naye sasa msimcheleweshe, sio kaishiwa siraha halafu mpo kimya. Yaani adui yupo mikono mitupu wewe una silaha kilichobaki ni kumfyekelea mbali. Sio kushoboka tu na kucheka "haha mhumhu ona kaishiwa siraha mhumhumhu Russia kaishiwa silaha mhumhumhu eti ni supapawa".ingia ulingoni we nato acha umama
 
Kwa hiyo mimi ndio umeona nafaa kutoa reference ya kuibiwa madini ya trilioni na huyo Mnato mwenzio aliyesema uchumi wa US ni mara elfu ya uchumi wa Russia umeona hana haja ya kutoa reference ina maana unaona alichokisema hakina shida kipo sawia as long as kiko against Russia. ProNato mko na mahaba ya ajabu sana

Unauliza kuibiwa dhahabubza trillion!? Msikilize Prof Mruma hapa
"Kamati imebaini kuwepo kwa viwango vingi vya juu vya dhahabu ndani ya makinikia yaliyofanyiwa uchunguzi. Viwango hivyo ni kati ya 671 g/t hadi 2375 g/t, sawa na wastani wa 1400 g/t. Wastani huu ni sawa na 28 kg za dhababu kwenye kontena moja lenye tani 20 za makinikia. Hivyo, kwenye makontena 277 ya makinikia yaliyozuiliwa Bandari ya Dar es Salaam na Bandari Kavu yatakuwa na wastani wa tani 7.8 za dhahabu yenye thamani ya TZS bilioni 676 (USD 307,292,720). Aidha, kwa kutumia kiwango cha juu kilichopimwa kwenye kontena moja lenye shehena ya tani 20 za makinikia (47.5 kg), kiasi cha dhahabu katika makontena 277 kitakuwa 13,157.5 kg ambazo thamani yake ni TZS 1,146,860,330,000 (USD 521,300,150"

Hiyo ni dhahabu tu bado copper, Silver, sulfur, iron, iridium, rhodium, ytterbium, beryllium, tantalum, etc.

Mnaambiwa ni mchanga tupu unasafirishwa kumbe ndani ya huo mchanga yapo madini. Huo sio wizi!?? Taarifu yako ya wizi ikoje!? Au unataka kubisha kwamba kwenye mchanga unaosafirishwa kutoka kwenye migodi yetu (kama mchanga) hakuna madini ndani yake!?

Skia wataalamu wanavyosema
"Africa loses far more money through illicit financial flows every year than it receives in aid and foreign direct investment. Global Financial Integrity (GFI) estimated that Africa loses a total of US$38.4 billion annually through trade mispricing, and US$25 billion through other illicit flows."

"According to a joint report by the African Development Bank and GFI, the illicit haemorrhaging of resources from Africa is about four times that of Africa’s current external debt. Unethical commercial transactions by multinational companies make up a massive 60% to 65% of the illicit outflow of the continent’s wealth"

Wanatuibia rasilimali zetu kwa mabilioni ya dola kisha wanatupa mikopo yenye masharti magumu alafu wanatupa misaada ya kutupumbaza.

Unajua Cobalt inayoibwa hapo Congo kila mwaka ina thamani gani!?
Mpishi abaki jikoni kwa niaba ya Pro Russia umetisha.
Vitu aviongelewi from nowhere ni fact yaaani kwelii tupu siasa za nchini kwetu tuu hamjui alafu mnapandisha kifua.
 
Putin at the Eurasian Economic Forum:

“The matter is not only in Russia and even not only in China, but in many other countries of the world. There are more and more countries that want to pursue and will pursue an independent policy.

And no world gendarme can stop this natural global process. No strength is enough."

The President added that violating the rules in the field of international finance and stealing other people's assets will not lead to anything good:

"Only to problems for those who do it."

View attachment 2239433
Duh!
 
Kwa hiyo mimi ndio umeona nafaa kutoa reference ya kuibiwa madini ya trilioni na huyo Mnato mwenzio aliyesema uchumi wa US ni mara elfu ya uchumi wa Russia umeona hana haja ya kutoa reference ina maana unaona alichokisema hakina shida kipo sawia as long as kiko against Russia. ProNato mko na mahaba ya ajabu sana

Unauliza kuibiwa dhahabubza trillion!? Msikilize Prof Mruma hapa
"Kamati imebaini kuwepo kwa viwango vingi vya juu vya dhahabu ndani ya makinikia yaliyofanyiwa uchunguzi. Viwango hivyo ni kati ya 671 g/t hadi 2375 g/t, sawa na wastani wa 1400 g/t. Wastani huu ni sawa na 28 kg za dhababu kwenye kontena moja lenye tani 20 za makinikia.

Hivyo, kwenye makontena 277 ya makinikia yaliyozuiliwa Bandari ya Dar es Salaam na Bandari Kavu yatakuwa na wastani wa tani 7.8 za dhahabu yenye thamani ya TZS bilioni 676 (USD 307,292,720).

Aidha, kwa kutumia kiwango cha juu kilichopimwa kwenye kontena moja lenye shehena ya tani 20 za makinikia (47.5 kg), kiasi cha dhahabu katika makontena 277 kitakuwa 13,157.5 kg ambazo thamani yake ni TZS 1,146,860,330,000 (USD 521,300,150"

Hiyo ni dhahabu tu bado copper, Silver, sulfur, iron, iridium, rhodium, ytterbium, beryllium, tantalum, etc.

Mnaambiwa ni mchanga tupu unasafirishwa kumbe ndani ya huo mchanga yapo madini. Huo sio wizi!?? Taarifu yako ya wizi ikoje!? Au unataka kubisha kwamba kwenye mchanga unaosafirishwa kutoka kwenye migodi yetu (kama mchanga) hakuna madini ndani yake!?

Skia wataalamu wanavyosema
"Africa loses far more money through illicit financial flows every year than it receives in aid and foreign direct investment. Global Financial Integrity (GFI) estimated that Africa loses a total of US$38.4 billion annually through trade mispricing, and US$25 billion through other illicit flows."

"According to a joint report by the African Development Bank and GFI, the illicit haemorrhaging of resources from Africa is about four times that of Africa’s current external debt. Unethical commercial transactions by multinational companies make up a massive 60% to 65% of the illicit outflow of the continent’s wealth"

Wanatuibia rasilimali zetu kwa mabilioni ya dola kisha wanatupa mikopo yenye masharti magumu alafu wanatupa misaada ya kutupumbaza.

Unajua Cobalt inayoibwa hapo Congo kila mwaka ina thamani gani!?
Nikajua unakuja na refference ya kueleweka kumbe unatuletea ya kina mluma serious? watu waliosema kila mtanzania atapata Noah na chai ya maziwa na mkate ile ilikuwa ni professional rubbish according to wataalamu wenyewe awa si ndio walitaka kutuingiza kwenye guiness book ya maajabu kwa kudai faini ya Tirioni 400 mara 2 ya bajeti yote ya ulinzi wa marekani ile ripoti ilikuwa ya kubumba
 
Endeleeni tu kuwatukuza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2239959Hii TZ sio uzunguni... Taratibu watu wataanza kuzivàa wengine wakijua wengine bila kujua... Miaka kadhaa ijayo Tanzania inajaa Rainbow kila kona.
Wazungu watu wabaya sana
Jamaa ndio hvyo watu ila washenzi mnoooo[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpishi abaki jikoni kwa niaba ya Pro Russia umetisha.
Vitu aviongelewi from nowhere ni fact yaaani kwelii tupu siasa za nchini kwetu tuu hamjui alafu mnapandisha kifua.
kwa kipi sasa apo anatuletea ripoti za kina kabudi na prof Mruma [emoji1787][emoji1787][emoji1787] serious na wewe ulivyo empty eti umeona kaandika cha mahana[emoji16][emoji16]
 
Nimepita karibu page 30 ...maNATO wanachojua ni msaaada msaaada msaaada ..... Habari za Operation inayoendelea hawana , wamehamia kujificha apige NATO Mmoja aone, hawana uchumi kama Marekani , Marekani alitaka kitu hashindwi .... Naona pia ingizo jipya la Mandondocha Kama FUSO, POLITICAL MONGER ,KIKIBOXER Kwa miandiko yao tu walewale kina NYAMIZI, COCO, MWANAMKIWI .... Msijifiche hivyo jameni tumieni tu ID zenu zilezile hatuuani humu Wala hatufahamiani mnazikimbia za Nini .... Ila Urusi anachapika hatari..... Habari wapendazo kuzisikia na hazipatikani sasa....
Wakumbushe tu hata wenzao walikuja kama ama zaidi ya wao na tuliwakimbiza nawao nisuala lamuda tuu wtakimbia ama kukimbizwaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2240642

[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Putin is making "gradual, slow but tangible" progress in Ukraine (c) British Prime Minister Boris Johnson. What happened, Boris? After all, on May 3, 2022, in the Verkhovna Rada, to thunderous applause, you said: “I have one message for you today: Ukraine will win, Ukraine will be free.” Something went wrong?[emoji3538][emoji3538][emoji3538]

Uyo jamaa utafikiri roboti la kusetiwa[emoji28][emoji28]
 
Msiwe kama mmezaliwa jana, toka zamani mnajua kuwa dunia aijawai kuwa fair kama mnavyotaka ili uweze ku control wengine lazma nguvu itumike hii ni dhana toka enzi za falme izo mpaka leo ndio iko ivyo
Kabisa naungana nawewe kwa 100% ndio maana naunga mkono kichapo anachotoa RUSSIA kwa 100%
Kama unavyounga mkono wewe MKUU safi sanaaa
RUSSIA taifa TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakumbushe tu hata wenzao walikuja kama ama zaidi ya wao na tuliwakimbiza nawao nisuala lamuda tuu wtakimbia ama kukimbizwaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiwa siti ya mbele kabisa ya Pro NATO sitarajii kukimbia na wala sina wazo kama vita inavyoendelea na mimi nitakuwepo kuwaweka sawa pro Russia subirini Nondo za kuwatuliza nawaandalia mtatafutana nawaambia
 
Nikajua unakuja na refference ya kueleweka kumbe unatuletea ya kina mluma serious? watu waliosema kila mtanzania atapata Noah na chai ya maziwa na mkate ile ilikuwa ni professional rubbish according to wataalamu wenyewe awa si ndio walitaka kutuingiza kwenye guiness book ya maajabu kwa kudai faini ya Tirioni 400 mara 2 ya bajeti yote ya ulinzi wa marekani ile ripoti ilikuwa ya kubumba

Embu acha ukilaza wako hapa JF bajeti ya ulinzi wa marekani ni $800billion change to Tshs unapata kiasi gani??. Embu kawadanganye rainbow wenzako huko
 
Back
Top Bottom