political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,951
- 6,399
uwezi kuwafananisha wazungu na wahindi au wachina japo wote cyo watu wazuri lakini ni bora ya wazungu angalau kidogo wanachotuibia wanaturudishia lakini siyo wachina na wahindiHuyo nadhani hajui kuwa wazungu n binadamu kama yy alivyo.
Maana haiingiii akilin mpka serikali ikaona inapigwa ivyo waunde kamati kujihakikishia.
Yaaani ana miliki mgodi anapakia hayo makinikia peke yake hivi ata kama n ww apo hautaweka hata gunia/magunia ya dhahabu.Uku kwa wahindi tuu hauruhusiwi kuingia na chochote na ukitoka bado unapekuliwa usiondoke hata na big g sembuse hao ma opportunist.