Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pro Russia kwakuwa nilishaapa nitakula na nyinyi sahani moja ngoja nikueleweshe , Brics siyo threat to west wala USA brics wenyewe ata msimamo wa pamoja hawana ndio waje kuwa threat kwa west , Bajeti ya NASA kwa mwaka ni 24billion apo tayari wanakila kitu but bado bajeti yao ni kubwa ivyo China na USA nani alianza kwenda kwenye space station?
Yote hayo yalishajibiwa sina muda wa kurudiarudia yaliyozungumza da mwaju.
 
wahindi na wachina awapo kwenye iyo list yako apo kutokana kipindi icho awakuwa na nguvu izo walizonazo sasa trust me hakuna watu wabaya,wabaguzi na wenye roho mbaya kushinda awa watu kwenye hii dunia nivile tu awajapata nafasi ya kuonesha makucha yao direct
Waarabu pia. Na warusi mbona ni wazungu? Wazungu ni Caucasian wote.
 
#Update 5/27/22
Another appeal from the 46th battalion of the Armed Forces of #Ukraine, this time the 3rd platoon. Everything is as usual - they were thrown to the front line without normal weapons and supplies. They retreated from their positions under massive fire and will now be recorded as deserters.
#ukrainewar

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Ni mbegu kama ilivyo mbegu za mahindi ila hawa wanavuna heka gunia kumi wanasafirisha mbegu gunia saba.
Tumelaaaniwa sio bure.
😂😂😂😂😂😂
Ukiwa wazungumza na huyo mtoto, unakikumbuka nilichokua nakisema jana? 😎😎😎

Uwe na kikosi cha namna hiyo unaanzaje kutoboa sasa? Mindset ambayo kama ni kuku basi Broiler, ukltoa kwenye banda limekufa 😂
 
Russia ukiondoa yale machuma chuma yao yenye kutu wanayoyamiliki ni kama msumbiji tu

Oya wee pro Russia mwenzangu, acha ukuda wa kuongeza "h" mahali isipostahili.
"Asipoacha " wewe unaandika "hasipoacha"
"Asipoilinda" wewe unaandika "hasipoilinda" au "Asipohilinda"

Acha uandishi wa kishoga shoga mwanaume mzima
 
Pro Russia rol model wenu putin siku zake z kuwa madarakani zinahesabika
20220527_182828.jpg
 
Oya wee pro Russia mwenzangu, acha ukuda wa kuongeza "h" mahali isipostahili.
"Asipoacha " wewe unaandika "hasipoacha"
"Asipoilinda" wewe unaandika "hasipoilinda" au "Asipohilinda"

Acha uandishi wa kishoga shoga mwanaume mzima
Au hana alama kwenye mkono wake wa kulia began.
 
Majeshi ya Russia yamekamata kituo cha kurushia matangazo na mawasiliano (Radio, TV, na simu za mkononi) cha jeshi la Ukraine kwenye jiji la Svetlodarsk. Majeshi hayo yamesimika bendera ya Russia kwenye kituo hicho na kisha kukata matangazo ya radio, TV na mawasiliano ya simu Ukraine yaliyokuwa yakifanyika kupitia kituo hicho.

SmartSelect_20220527-194720_Chrome.jpg
SmartSelect_20220527-194732_Chrome.jpg
Screenshot_20220527-194813_Chrome.jpg
SmartSelect_20220527-194825_Chrome.jpg
SmartSelect_20220527-194910_Chrome.jpg
Screenshot_20220527-194948_Chrome.jpg
 
🇷🇺🇳🇬Russia Ministry of Defense published photos as evidence of existence of bio-laboratories in Nigerira(they have released more material we hope to have time to translate it for you),related to monkey smallpox spreading,currently there are 4 🇺🇸biolabs in 🇳🇬
 
Back
Top Bottom