desayi
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 3,798
- 6,089
Nyie makenya inaonekana mlikosa virutubisho kipindi mkiwa watotoputin kuondoshwa madarakani ni suhala la muda tu never underestimate the power of NATO
Nyie makenya inaonekana mlikosa virutubisho kipindi mkiwa watotoputin kuondoshwa madarakani ni suhala la muda tu never underestimate the power of NATO
Na jinai yote hii hawa wahafidhina bado wanaiunga mkono Urusi lee van cliff Jesus Mlokozi 1954 ngaboru wa kupuliza Sikirimimimasikini mohamedidrisa789 Yericko Nyerere na wengineo...oneni aibu.Pro Russia rol model wenu putin siku zake z kuwa madarakani zinahesabikaView attachment 2241071
Mjitahidi kujisafisha kwenye biolab basi mkatae mseme sio nyinyi. Moneypox yatoka wapi tena.?Na jinai yote hii hawa wahafidhina bado wanaiunga mkono Urusi lee van cliff Jesus Mlokozi 1954 ngaboru wa kupuliza Sikirimimimasikini mohamedidrisa789 Yericko Nyerere na wengineo...oneni aibu.
Mkuu unateseka nini?!Na jinai yote hii 👆 hawa wahafidhina bado wanaiunga mkono Urusi lee van cliff Jesus Mlokozi 1954 ngaboru wa kupuliza Sikirimimimasikini mohamedidrisa789 Yericko Nyerere na wengineo...oneni aibu.
Ukraine kwa sasa inatafuta huruma ya jamii mbona hawapost tena wakulima wakichukua vifaru vya RussiaPro Russia rol model wenu putin siku zake z kuwa madarakani zinahesabikaView attachment 2241071
Kama hutaki watu waku-tag usiwe unachangia, acha kujiona keki, mambo ya kipumbavu ndio yanayokuweka humu.Siku nyingi usini-tag katika mambo ya kipumbavu yasiyo na mashiko
Msameheni bure huyu tutusaPro russia wengi hawana akili na short minded.
Sasa mtu mzima kabisa ana refer ile report ya mruma kama ndio ushahidi wa kuibiwa madini serious?
Huyu anafaa kuchimba viazi tu sio kutuletea uchambuzi wa kinachoendelea.
Na wasiwasi atakuwa nyamiziH
Hawa pro-nato akili zao zinafanana labda ni mtu mmoja mwenye akaunti nyingi.
Kwa hiyo ni jukumu la Urusi kuihukumu Ukraine ?Hata kama ni kweli hiyo ni jinai ya Russia, kwani Ukraine imefanya jinai ngapi dhidi ya raia wake kwenye maeneo ya Luhansk, Donetsk n.k.?
Marekani na NATO vipi hawana jinai
Kwa hiyo jinai zao zinahalalisha jinai za Urusi ?Marekani na NATO vipi hawana jinai zozote?!
Ile ilikuwa mara ya kwanza hilo bomu kutumika hivyo hakuna aliyejua madhara yakebomu la nyuklia lililopigwa na Marekani huko Hiroshima na Nagasaki na kusababisha maafa makubwa kwa binadamu hiyo sio jinai!
Kwa kweli sijawahi kuona Pro-NATO mweupee 'upstairs' kama huyo uliyemtaja🤣🤣😂😂😂Na wasiwasi atakuwa nyamizi
Alikuwa na kiburi huyu!! Putin anamcheki tu
Sishangai kusikia hoja hiyo nyonge, dhaifu na nyembamba...inalandana na ule 'upuuzi' ulioni-tag hapo kablaIle ilikuwa mara ya kwanza hilo bomu kutumika hivyo hakuna aliyejua madhara yayakeh
Jinai gani hapo?! Vipi mauaji ya USA huko Libya, Syria, Iraq, Vietnam, Serbia na kwingineko kwingineko?! Watoto wengi wanakufa huko Kongo na nchi nyingi kutokana na uovu wa West..Na jinai yote hii hawa wahafidhina bado wanaiunga mkono Urusi lee van cliff Jesus Mlokozi 1954 ngaboru wa kupuliza Sikirimimimasikini mohamedidrisa789 Yericko Nyerere na wengineo...oneni aibu.
Mali mfano hai. Au Francfone financial system inayolazimisha pesa yote ikae Pariii.Jinai gani hapo?! Vipi mauaji ya USA huko Libya, Syria, Iraq, Vietnam, Serbia na kwingineko kwingineko?! Watoto wengi wanakufa huko Kongo na nchi nyingi kutokana na uovu wa West..
Hovyo sana hawa....wanachoweza ni matusi tu.Tuna vijana wa hovyo kama awa wanatumia emotion baada ya fatcts
Waliomuua Gadaffi ni raia wa Libya, sababu ya Maduro kuwekewa vikwazo inafahamika.Wakikataa misada yao naujinga wao c wanawaua kama GADAFI au vikwazo kama MADURO