Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ndiyo halisi hiyo mkuu,Ukraine is no more.Zelensky ni mla cocaine tu yule,ndiyo iliyomfanya asiione reality.Yaani Ukraine na Urusi,wapi na wapi.
Bro unafikiri reality alikua haijui au aliamua tu kutoiweka maanani. Hii michezo ya ma'elites wazee wa kutengeneza "matukio ya michongo" kwa Zele ni kama "mic" tu kazi yake ni ku'amplify sauti ila mzungumzaji ni mwingine kabisa.

Msemo rahisi ya kitaa kua 'Mic' haiongei bali aliye nyuma ya Mic ndio anaezungumza.
 
👉Mtu mwenye akili fupi size ya njiti ya kiberiti hawezi kuona but kwa wenye macho wanajua lengo la tafiti!👈Uko sahihi mkuu.Ni kwamba kuna vitu ambavyo wameshafanya ilikupunguza IQ,for their World domination agenda,sasa wanataka kuona kama wamefanikiwa,au waongeze dozi na wapi.Mkuu makutano wa Davos kwa wale wanao-elewa mambo, formation of a Totalitarian World Government is their most important agenda.

Angalia walivyo families👇

Hal Turner Radio Show

This is Horrifying: Young Americans are Literally Stupid -- Literally!​

WORLD HAL TURNER 24 MAY 2022 HITS: 22719
OMG This is Horrifying: Young Americans are Literally Stupid -- Literally!

The four minute video below shows the level of outright and almost complete stupidity of young Americans. With this level of shear, unmitigated lack of thinking, and absence of facts, the country has no future at all:
Some of those appearing in the video are wearing Graduation Gowns from schools! Some of them couldn't answer the question "How much is 3 x 3 x 3?" They are literally INCAPABLE of actually thinking!
Those schools should be immediately shut down, all the teachers/Administrators FIRED, and permanently barred from ever teaching again.

Angalia tena hii👇

"Well a new book proclaims, don't trust anyone under 30. The point being...

(Whispering) They're not that bright. Shhh, don't want to hurt their self-esteem.

Mark Bauerlein is an English professor at Emory University and author of "The Dumbest Generation: How the Digital Age Stupefies Young Americans and Jeopardizes our Future." I talked to him about his thesis, that the digital generation is pretty much filled with idiots."
Mara buku jero bora sie... hawa wanaokuja ni bomu bin mlipuko 😂
 
Save the date hatima ya putin inaenda kuamuliwa hii siku..pro russia wote mpeni putini salamu zenu za mwishoView attachment 2241374

Huoni aibu mashoga 30 wanataka shoo ya mwanaume 1. Na bado anawamudu hakuna wanachofanya ipeni Russia heshima.

Hivi US kama kweli anajiweza si ajitoe NATO tuone ubabe wake? Jeshi la US karibu 60% ni [emoji304]
 
Huwa wanafanya hadi tafiti za ajabu, ukiziona unajiuliza lengo la tafiti hii ni nini? Na ilifanyika ili iweje kwa kutumia kigezo gani?
View attachment 2241391
Haraka mtu mwenye akili fupi size ya njiti ya kiberiti hawezi kuona but kwa wenye macho wanajua lengo la tafiti (na actually sio tafiti bali taarifa za kupika zinazopewa jina la tafiti) ni katika kueneza mapambano ya Kisaikolojia kua race flan ama jamii flan ni weak na ngingine ni strong.

That's aliye juu anajipa haki ya kumtawala aliye chini. Wa juu anampangia kila kitu wa chini ila wa chini hana mamlaka ya kuhoji aliye juu yake.

Afrika, afrika sijui tutaja jikomboa lini sisi.
Mkuu,
na wewe pika data zibandike kwenye internet ya bure kabisa...
ndio ujanja wa siku hizi, fuatilia wanaijeria ndio wakali wa haya..
ndio hivyo sikuhizi ni jicho kwa jicho....lakini unatakiwa uwe na vihela kidogo ili uipaishe website yako ya "africanthinktank.com"kwenye google....na ukiweka website yako kama hii, google wanakublock....

1653682891714.png

Kwa kweli inabidi tu tumshangilie Russia....
 
Vita ni mbinu na ujanja wamemuacha ajidai, akaona ameshinda kumbe watu wanamlia timing na wameshampigia mahesabu kitambo...Slava Ukraini..View attachment 2241406

Mnafanya betting za sportpesa? China yuko tayar kuchukua gas yote iliyokuwa inakwenda EU, Russia hana shida na pesa za EU angekua nashida nazo angekua alishaacha operation muda sana.

Hayo mahesabu wanayopiga leo wenzao walishapiga muda sana kama ni quadratic eqns walitumia by substitution, by eliminating na matrix methods wakapata majibu sijui kama umenielewa hapa.

Hao NATO wataishia vikao, kelele sikuhz hata sanctions sizisikii kabisa, mlisema Russia kwa sanctions alizopewa hatoboi mwezi lakn mwamba ndo kwanza unadunda mtatuambia nini kingine?? Mnajua nyie [emoji2380] mnateseka sana, hivi mnadhani Russia anaitegemea sana hio pesa ya EU?? Ukisusa kula ugali wenzako watakula,

Ukishakua rich kwenye natural resources tena kwa nchi inayojielewa kama Russia hakuna mbwa wa kukusumbua na hakuna natural resource isiyo na soko duniani endeleeni kupiga mapambio.

Ukija kijeshi hao NATO ni weupe kabisa wako 30 na bado wanambwela mbele ya mwanaume Russia hata mtoto mdogo wa nursery anaweza kung’amua inawezekanaje nchi 30 zisumbuliwe na Taifa moja??

Shida yenu nyie vijana hamuijui historia ya Russia vzr mmekua kizazi cha propaganda za west, media za west huji kuta zikiongelea habar za Russia unafikiri kwa nini? ili upate habari kamili za taifa la Russia inakubd uwe mtu wa kuchimba sana.

Russia ndo nchi inayoongoza kwa teknolojia ya silaha za vita duniani na ipo mbali sana ya US. Hakuna nchi yoyote ambayo ipo tayari kupambana na Russia narudia tena hakuna na haitakuja kutokea never.
 
Russia nimewakubali hawawezekani

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
kwanini akuipeleka china toka mwanzo ivi unajua purchasing power ya uerope wewe mchukue China,muongeze na India bado awatoweza kufikia purchasing power ya uerope uyo china mwenyewe biashara zake nyingi anafanya na uerope ndio kwenye faida ,tukiweka apa uwekezaji alioufanya china uerope to compare na Russia utacheka
 
Huoni aibu mashoga 30 wanataka shoo ya mwanaume 1. Na bado anawamudu hakuna wanachofanya ipeni Russia heshima.

Hivi US kama kweli anajiweza si ajitoe NATO tuone ubabe wake? Jeshi la US karibu 60% ni [emoji304]
Ukraine siyo mwanachama wa NATO, subiri sweden na finland zijiunge NATO alafu tuone uyo Russia wako kama atazishambulia
 
Mrusi ni mtu wa HONYO kabisa miaka nenda rudi yeye hala yake yote ni kutengeneza silaha za maangamizi na udikiteta nchini kwake.

Ni taifa gani kubwa duniani lisilochangia ukuaji wa demokrasia duniani hasa Africa ? yaani hata kwa asilimia 2.

Putin ni mshenzi tu. .hafai..ni bata
 
Back
Top Bottom