Mnafanya betting za sportpesa? China yuko tayar kuchukua gas yote iliyokuwa inakwenda EU, Russia hana shida na pesa za EU angekua nashida nazo angekua alishaacha operation muda sana.
Hayo mahesabu wanayopiga leo wenzao walishapiga muda sana kama ni quadratic eqns walitumia by substitution, by eliminating na matrix methods wakapata majibu sijui kama umenielewa hapa.
Hao NATO wataishia vikao, kelele sikuhz hata sanctions sizisikii kabisa, mlisema Russia kwa sanctions alizopewa hatoboi mwezi lakn mwamba ndo kwanza unadunda mtatuambia nini kingine?? Mnajua nyie [emoji2380] mnateseka sana, hivi mnadhani Russia anaitegemea sana hio pesa ya EU?? Ukisusa kula ugali wenzako watakula,
Ukishakua rich kwenye natural resources tena kwa nchi inayojielewa kama Russia hakuna mbwa wa kukusumbua na hakuna natural resource isiyo na soko duniani endeleeni kupiga mapambio.
Ukija kijeshi hao NATO ni weupe kabisa wako 30 na bado wanambwela mbele ya mwanaume Russia hata mtoto mdogo wa nursery anaweza kung’amua inawezekanaje nchi 30 zisumbuliwe na Taifa moja??
Shida yenu nyie vijana hamuijui historia ya Russia vzr mmekua kizazi cha propaganda za west, media za west huji kuta zikiongelea habar za Russia unafikiri kwa nini? ili upate habari kamili za taifa la Russia inakubd uwe mtu wa kuchimba sana.
Russia ndo nchi inayoongoza kwa teknolojia ya silaha za vita duniani na ipo mbali sana ya US. Hakuna nchi yoyote ambayo ipo tayari kupambana na Russia narudia tena hakuna na haitakuja kutokea never.