passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Au hujasoma vizuriKama anaweza aje kuzikomboa meli zake , warusi wa manyoni mko wapi watu wanakamata na kupakua mzigo wote unaenda store[emoji95][emoji95]
Au hujasoma vizuriKama anaweza aje kuzikomboa meli zake , warusi wa manyoni mko wapi watu wanakamata na kupakua mzigo wote unaenda store[emoji95][emoji95]
Hao wote ni wachumba Tu kwa warusi.wakileta shinda kuna tsar bomb.Save the date hatima ya putin inaenda kuamuliwa hii siku..pro russia wote mpeni putini salamu zenu za mwishoView attachment 2241374
Kama mlishindwa kunufaika na madini ndio mnufaike na wataliiTatizo lenu pro Russia mnatumia emotion kuliko fact. kuwapa hotel za bure ile ni diplomacy technique na kukuza uchumi leo hii wale raia wakiojiwa lazima wataishukuru sana serikali ya zanzibar kwa walichowafanyia kimataifa tayari ile ni sifa mojawapo ya kukuza na kuboost utalii wetu
Ayo machuma chuma anayolingia Russia nani asiyekuwa nayo pale NATOHao wote ni wachumba Tu kwa warusi.wakileta shinda kuna tsar bomb.
Kabisa ukiwa unajitegemea yatakukuta ya GADAFI nk.....Kwa hiyo wataka kusema wanatulazimisha kuchukua misaada yao?
Huwa wanafanya hadi tafiti za ajabu, ukiziona unajiuliza lengo la tafiti hii ni nini? Na ilifanyika ili iweje kwa kutumia kigezo gani?Kupitia vita hii nimegundua kwamba wazungu tulikua tunawa over rate sana ila uwezo wao wa kufikiri uko chini tu mfano huyo Zelensky
Maliupol nyingine [emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2241109
Ndiyo halisi hiyo mkuu,Ukraine is no more.Zelensky ni mla cocaine tu yule,ndiyo iliyomfanya asione reality,na anakula Cocaine kweli kweli,tena anakiri inamsaidia kuwa na ujasiri!Yaani Ukraine na Urusi,wapi na wapi.Najaribu kunukuu tu
Just this morning (Friday) Zelensky Advisor Alexey Arestovich reported on TV "THE CITY OF LYMAN HAS BEEN LOST"
He went on to say "According to reports, the city of Liman has been lost. The way the Russian army captured it shows that there have very talented commanders, and this shows the increased level of operational management and skills of the Russian army.”
Hakuna NATO mwenye silaha za kisasa kama warusi.wenyewe wanaogopa kuingia moja Kwa moja kwenye vita huko Ukraine Kwa sababu hao ni wachumba Tu kwa Warusi.Ayo machuma chuma anayolingia Russia nani asiyekuwa nayo pale NATO
Ukraine kwa sasa inatafuta huruma ya jamii mbona hawapost tena wakulima wakichukua vifaru vya Russia
👉Mtu mwenye akili fupi size ya njiti ya kiberiti hawezi kuona but kwa wenye macho wanajua lengo la tafiti!👈Uko sahihi mkuu.Ni kwamba kuna vitu ambavyo wamesha fanya ili kupunguza IQ,for their World domination agenda,sasa wanataka kuona kama wamefanikiwa,au waongeze dozi zaidi na wapi.Huwa wanafanya hadi tafiti za ajabu, ukiziona unajiuliza lengo la tafiti hii ni nini? Na ilifanyika ili iweje kwa kutumia kigezo gani?
View attachment 2241391
Haraka mtu mwenye akili fupi size ya njiti ya kiberiti hawezi kuona but kwa wenye macho wanajua lengo la tafiti (na actually sio tafiti bali taarifa za kupika zinazopewa jina la tafiti) ni katika kueneza mapambano ya Kisaikolojia kua race flan ama jamii flan ni weak na ngingine ni strong.
That's aliye juu anajipa haki ya kumtawala aliye chini. Wa juu anampangia kila kitu wa chini ila wa chini hana mamlaka ya kuhoji aliye juu yake.
Afrika, afrika sijui tutaja jikomboa lini sisi.

Kwanza warusi wenyewe ni wanasayansi wazuri Sana wanauwezo wa kuzalisha hizo Raw materials,pia wenyewe wanaraw materials za kutosha alafu ulaya hawawezi kukwepa mafuta ya warusi hata Kwa Miaka 10.Vita ni mbinu na ujanja wamemuacha ajidai, akaona ameshinda kumbe watu wanamlia timing na wameshampigia mahesabu kitambo...Slava Ukraini..View attachment 2241406
Alafu vitu vingine watapata china,India au nchi nyingine Rafiki Kwa vyovyote Ukraine hawezi kushinda hata Kwa dawa.Vita ni mbinu na ujanja wamemuacha ajidai, akaona ameshinda kumbe watu wanamlia timing na wameshampigia mahesabu kitambo...Slava Ukraini..View attachment 2241406
Kwaushirikiano wa NATOWaliomuua Gadaffi ni raia wa Libya, sababu ya Maduro kuwekewa vikwazo inafahamika.
Jitahidi brazaPro Russia kwakuwa nilishaapa nitakula na nyinyi sahani moja ngoja nikueleweshe , Brics siyo threat to west wala USA brics wenyewe ata msimamo wa pamoja hawana ndio waje kuwa threat kwa west , Bajeti ya NASA kwa mwaka ni 24billion apo tayari wanakila kitu but bado bajeti yao ni kubwa ivyo China na USA nani alianza kwenda kwenye space station?
Hali sio shwari chief[emoji4]Hii phase II imekua kali sana kwa sasa hamna updates kutoka upande wa ukraine naona wamezidiwa hata zile propaganda zimepungua sana.
Media zimeanza kuandika realistic reports kwa kinachoendelea pale Ukraine.View attachment 2241030View attachment 2241031View attachment 2241032