Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Top 10 Countries with the Largest Military Submarine Fleets (IISS 2021):​

  1. North Korea - 71
  2. United States - 68
  3. China - 67
  4. Russia - 65
  5. Japan - 22
  6. South Korea - 18
  7. Iran - 17
  8. India - 16
  9. Turkey - 12
  10. Greece, United Kingdom (tie) - 11
fikiria Russia..Mzee Kiduku na Mchina Wakiunganisha Nguvu....Nyie Kuna watu watajamba mchana kweupe
 
Mapigano ya mtaani yameanza huko severdoneks pia majesh ya urusi yakitokda liman yamefanikiwa kuingia kwenye mji wa slovayank kama urusi ikifanikiwa kuubeba mji wa slovayank majesh ya urusi yatapata wepesi wa kuzama katika mji mkubwa na wa kimkakati wa kramatosky
Napenda habari za mwenendo wa vita kama hizi. Tujitahidi kuleta habari kama hizi za mapigano

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Dola bilioni 5.2 mauzo ya timu ya chelsea, kugharamia silaha jeshi la Ukraine. Vladimir hajategemea kabisa fedha za urusi kugharamia silaha za adui. Haya ndio matokeo ya akili mbofu mbofu za putin.
 
Dola bilioni 5.2 mauzo ya timu ya chelsea, kugharamia silaha jeshi la Ukraine. Vladimir hajategemea kabisa fedha za urusi kugharamia silaha za adui. Haya ndio matokeo ya akili mbofu mbofu za putin.
Huo ni ubabe tu wa UK na US kifupi Russia ata retaliate kivipi na lini haijulikani.
Kifupi UK kamaliza kulipa deni la WW2 kwa marekani juzi tu hapa na amelindwa muda wote na US. Germany anaweza kuwa na mikataba na US behind the scene inayomfanya awe subject kwake. Hawa nchi nyingine nao ni kujiposition kwa aliye na nguvu. Kwa hiyo usishangae haya hakuna siku binadamu aliacha unyama wake toka wakati wa utumwa ukoloni na sasa Ukoloni mamboleo.
 
Kuna Kama id nne au tano hivi, zinakuja kwa kasi halafu zinapotea (rudia kusoma tena).

Ebu tusaidiane ikibidi mziorodheshe then mtag mod watusaidie kuziunganisha. Utaogopaje kutoa maoni kwa id yako moja hadi ufungue nyingine ukiona umebanwa unafungua tena. Nyie pro nato hamutofautiani na wenzenu. Wakipiga tuvikao na nyie mnapiga vyenu vya kubadili id kwa pamoja.
ushuzi mtupu mnaboa na utoto wenu wa kubadili id
 
Kumekucha. Marekani kukabidhi Ukraine makombara ya masafa marefu. Dikteta Putin ajiandae kuishi kwenye handaki milele daima.
Piecewise escalation hadi Vladimir aombe usuluhisho.

The White House is preparing to dispatch long-range rocket systems to Ukraine as part of a fresh package of military and other aid that could be announced as soon as next week, according to a new report.

The Biden administration has previously been reluctant to send the advanced weaponry out of concern that Kyiv’s forces could use it to strike targets inside Russia.

That worry was discussed among deputy cabinet members during two national security policy meetings at the White House last week, CNN reported, citing multiple officials.

While the US has sent tens of billions of dollars in military assistance to Ukraine since the brutal Russian invasion began on Feb. 24, top officials in Kyiv — including President Volodymyr Zelensky — have urged the US and other Western nations to do more, in part by providing so-called Multiple Launch Rocket Systems (MLRS).

Ukrainian officials have also reportedly requested High Mobility Artillery Rocket Systems (HIMARS), as Russian troops continue to pound their western neighbor.

British Prime Minister Boris Johnson has backed sending Ukraine those systems, telling Bloomberg on Friday that it “would enable them to defend themselves against this very brutal Russian artillery, and that’s where the world needs to go down.”
jamiiforums~p~CeGTGvSugpQ~1.jpg
 
Bora yeye wewe una mambo ya kishoga...unatumia vibaya mwisho wa utumbo mpana. Sio matumizi yake hayo ..mrudie Mungu wako kenge Wewe ....
Matusi yale yale ya siku zote, mmekosa tusi jipya mpaka leo ?...
 
Sasa akili kisoda kama wewe ndio mtu wa kufanya mjadala hapa?
Hakuna asieweza kutukana bwana mdogo kuwa matured na ujifunze kupitia wengine. Unakuwa na kisirani kama mwanamke mwenye mimba.
Wapuuzi sana hawa vijana, wanadhani matusi ndio hoja..

Cha ajabu matusi yao ni yale yale ya siku zote, wengi wao ni vijana wadogo kati ya 18-25 ndio maana matusi yamewajaa vinywani.
 
Kumekucha. Marekani kukabidhi Ukraine makombara ya masafa marefu. Dikteta Putin ajiandae kuishi kwenye handaki milele daima.
Piecewise escalation hadi Vladimir aombe usuluhisho.

The White House is preparing to dispatch long-range rocket systems to Ukraine as part of a fresh package of military and other aid that could be announced as soon as next week, according to a new report.

The Biden administration has previously been reluctant to send the advanced weaponry out of concern that Kyiv’s forces could use it to strike targets inside Russia.

That worry was discussed among deputy cabinet members during two national security policy meetings at the White House last week, CNN reported, citing multiple officials.

While the US has sent tens of billions of dollars in military assistance to Ukraine since the brutal Russian invasion began on Feb. 24, top officials in Kyiv — including President Volodymyr Zelensky — have urged the US and other Western nations to do more, in part by providing so-called Multiple Launch Rocket Systems (MLRS).

Ukrainian officials have also reportedly requested High Mobility Artillery Rocket Systems (HIMARS), as Russian troops continue to pound their western neighbor.

British Prime Minister Boris Johnson has backed sending Ukraine those systems, telling Bloomberg on Friday that it “would enable them to defend themselves against this very brutal Russian artillery, and that’s where the world needs to go down.”
Tutakabiliana nao kwa njia yoyote ila tusliaumiane
 
Back
Top Bottom