Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huu ugonjwa wa kujidanganya na kuamini tumedumaa kimaendeleo kwa sababu ya US au EU ni janga lingine kubwa zaidi ya Corona barani Africa, madikteta na viongozi incompetent wa Africa yanaipenda sana hii CD kwa sababu inawasaidia kuepuka uwajibikaji na kushindwa kwao.
Yes lazima tupate viongozi incompetent kwa sababu shule tulizonazo waasisi n wao na zinatoa elimu erelevant na mazingira yetu.
 
Wiki hii Israel imekataa ombi la Marekani iliyotaka Ujerumani iruhusiwe kupeleka Spike anti tank missiles. Israel iliipa leseni Ujerumani kutengeneza hizo missiles ila kwenye mkataba ni kwamba kabla nchi nyingine haijapewa hizo silaha kwanza Israel ikubali.

Israel imegoma kwa kuwa wana makubaliano ya kiusalama na Russia kuhusu Syria. Israel inataka iwe na free corridor kuishambulia Syria at any time kuzuia misaada ya silaha kutoka Iran kuwafikia makundi hasimu wa Israel. Ikitokea silaha za Israel zikatumika dhidi ya Russia nayo Russia itazuia juhudi za Israel kushambulia Syria.

Bado sijajua kitendo cha Turkey kuuza Bayraktar zake kwa Ukraine kitaathiri vipi mahusiano na Russia hasa Kaskazini mwa Syria ambapo Uturuki na Russia huwa wanafanya patrol ya pamoja kwenye M4 highway. Uturuki haiwataki waasi Wakurdi wa YPG ambao walipigana na ISIS iliyokuwa inapigana na Syria. YPG hupewa support na Syria in bad days ila sio kwamba Syria inawapenda kivile maana Wakurdi hawaaminiki, ni kundi la waasi kwa Uturuki. Russia ilikuwa inasaidia kupigana na ISIS na hivyo YPG sio adui. Ila YPG hufanya mashambulizi ndani ya Uturuki kama wenzao wa PKK. Uturuki ilijibizana mashambulizi na Syria ilipoingiza majeshi yake kupigana na YPG, mwanzo Russia ikataka iwe neutral, baadae ikaisaidia Syria, baadae wakakubaliana Turkey na Ru washirikiane patrols maana Syria inaona inahujumiwa na Turkey
AP22143733728067-1-e1653394517391-640x400.jpg
 
Mie huwa sielewi nyie Pro-Russia huo mda wa kubishana na hawa watu huwa mnautolea wapi. Kwanini msiwaache wapumbafu wabaki na upumbafu wao? Mmh?

Kama tumetofautiana jinsia, urefu, unene, rangi ya ngozi, mwenye nacho na asiyekua nacho mnafikiri itatokea mkubaliane kwa kila jambo kua hiki ni sawa kwa wote na hiki ni kibaya kwa wote ilhali mnatumia reference tofauti?

Never!

Kama kwa anayekula nguruwe na kwa asiyekula nguruwe, aliyesawa ni kulingana na iman yake juu ya jambo lenyewe. Unachukia ushoga mwenzio anafurahia ushoga mtaelewana kweli?

Unachukia anachokipenda, naye hapendi unachokipenda mtaelewana na kuweza kufikia mwafaka kweli?

Nawakumbusha kua, the real knowledge is to know the extent of one's ignorance. Na njia pekee ya ku'deal na Ignorant and Malicious critic ni moja tu. Just IGNORE...

Why nasema hivi? Ni hivi, unaweza kumpa mtu ama kuwapa watu maarifa but you can't make them think, some people want to remain fools, only because the truth requires change!

It's better to be silent than to dispute with ignorant, waacheni kama walivyo tu, you can't argue with ignorances. Na huenda isiwe upumbafu mwingi unaowasumbua bali illusion of knowledge plus Ego that destroying them from within.

Narudia tena huezi shindana na mpumbafu ukaonekana una akili. Kitakachofata ni ku-trigger emotions, mshikwe na hasira muanze kutukanana kitendo ambacho si cha kiungwana....

Jaribuni kupuuza sio kila msg inafaa kujibiwa...
Yapo baadhi mambo ni universal- au tuyaite universal truth or self evident truth. Moja ya kweli zisizo pingika ni haki ya mtu au jamii kujiamulia mwelekeo.Ukraine inayo haki ya kujichagulia washirika bila kuomba baraka za dikteta Putin. Issue siyo u pro NATO ,issue ni kusimama thabit na ukweli. Mungu ibariki Ukraine.
 
Kwa hiyo Putin Hana makombora Aina hiyo? Hata javelin mlipiga kelele hivi hivi!
Mkuu javelin ndio iliyomuhamisha Mrusi mji wa Kyiv ndio mana mpaka leo Kyiv heshima imetawala, US amesharudisha ubalozi wake na watoto wameanza kucheza na kupiga picha picha kwenye kwenye masalio ya vifaru vya russia vilivyochachagwa ni hiyo javeline na stinger
 
Rasmi, Ukraine imeanza Kupokea Makombora hatari ya harpoon ambayo yatakuwa na uwezo wa kupiga hadi Moscow.

Urusi itegemee Upinzani mzito kwenye Mapigano baada ya Ukraine Kupokea Makombora haya.

Je, tutarajie Ukraine kuanza kushambulia ndani ya ardhi ya Urusi.

______________


Ukraine yaanza kupokea makombora hatari ya Harpoon kukabiliana na Urusi

Waziri wa Ulinzi wa Ukraine Oleksii Reznikov amesema Ukraine imeanza kupokea makombora ya kivita aina ya Harpoon kutoka Denmark na ndege za zisizo na rubani kutoka Marekani.

"Ulinzi wa pwani wa nchi yetu hautaimarishwa tu na makombora ya Harpoon - yatatumiwa na timu zilizofunzwa za Ukraine," Reznikov aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.

Reznikov alisema usambazaji wa makombora ya Harpoon ni matokeo ya ushirikiano kati ya nchi kadhaa.

Ukraine imekuwa ikiomba silaha za kisasa zaidi lakini hadi sasa misaada mingi imekuwa katika mifumo ya masafa mafupi kama vile silaha za kukinga vifaru.

Marekani inazingatia ombi kutoka Ukraine kuipatia Kyiv silaha nzito za masafa marefu lakini bado haijafikia uamuzi wa mwisho.

Chanzo REUTERS, Aljazeera, BBC

Hapa Chini ni kombora la harpoon [emoji116]View attachment 2243356
Putini jana aliongea na Macron wa Ufaranza kwa dakika takriban 80 juu ya kumtaka asiisaidie Ukrane silaha za masafa ya mbali lakini inaonekana putini amepuuzwa vibaya sana sasa ngoma zitaenda kutua Moscow aonje asali na yeye
 
Kwenye utawala wa Jiwe baadhi ya wenzako ambao mnaispoti wote Urusi humu ndani na kuinanga US walikuwa wanamuomba Pompeo aweke vikwazo, akate msaada na azuie viza za enablers wa utawala wa Jiwe.
Mkuu usilete vitu ambavyo haviendani na mada plz, watanzania wengi walimchukia jiwe sio kwasbb walipenda wazungu sanaa hapana jiwe was a homicidal dictator, lakini katina development model yake hakuiweka wazi hata hivyo asinge kufa na natural death Wazingu wangemfanyia chochote aahindwe tu, US na EU sio wezio, wenyewe wanata tubaki na hi underdevelopment level,...... US hajawahi kutowa msaada wa $40bn kwa nchi yoyote Africa, lakini kwa hi Ukuraini ametoa zaidi ya hiyo ndani ya mda mfupi........kuepo kwa US na umoja wa Uleya sahau maendeleo ya Africa,
 
We call it "Matunda ya democracy"

The United States continues to supply serious weapons to organizations in northern Syria that Turkey considers terrorist. This was stated by Erdogan.

Mind you, hawa ni chama moja ndani ya so called "defensive alliance", NATO.
 
Tukutane field!!!
====
Hivi mmeishasahau kilichowatokea US, France na UK kule Syria? Walijifanya kumshambulia Syria kwa missiles kutoka kwenye manoari na merikebu zao eti katumia silaha za kemikali kumbe ni wale wahuni wa White helmets ndiyo wamefanya igizo!

Wote kwa Pamoja walipanga kurusha zaidi ya missiles 250. Lakini zilizofanikiwa kurusha ni Karibu 110 na na Karibu zote zikidakwa na mitambo ya ulinzi wa anga wa Syria zikiwemo S-300. Wataalamu wanasema zile 250-110 missiles ambazo zilimisfire, inasemakana Russian electronic warfare technologies zilihusika kati hilo. Kumbuka Russia ana kituo cha kijeshi Magharibi mwa Syria muda mrefu. Tukio hili lilitokea 2018!

Kwa hiyo, hivi vitu vya range isiyozidi 300km sidhani kama vitamsumbua Russia.
 
Hata Putin ni homicidal dictator.
Ni ujuha mkubwa kumshangilia Putin huku unamnanga Jiwe. Akili za watu wa aina hiyo ziko tenge.
Unaurudia sana "development model', Unaelewa hata development model ni nini au umekariri tu?
Mkuu usilete vitu ambavyo haviendani na mada plz, watanzania wengi walimchukia jiwe sio kwasbb walipenda wazungu sanaa hapana jiwe was a homicidal dictator, lakini katina development model yake hakuiweka wazi hata hivyo asinge kufa na natural death Wazingu wangemfanyia chochote aahindwe tu, US na EU sio wezio, wenyewe wanata tubaki na hi underdevelopment level,...... US hajawahi kutowa msaada wa $40bn kwa nchi yoyote Africa, lakini kwa hi Ukuraini ametoa zaidi ya hiyo ndani ya mda mfupi........kuepo kwa US na umoja wa Uleya sahau maendeleo ya Africa,
 
Yapo baadhi mambo ni universal- au tuyaite universal truth or self evident truth. Moja ya kweli zisizo pingika ni haki ya mtu au jamii kujiamulia mwelekeo.Ukraine inayo haki ya kujichagulia washirika bila kuomba baraka za dikteta Putin. Issue siyo u pro NATO ,issue ni kusimama thabit na ukweli. Mungu ibariki Ukraine.
Ivi tulivyokua tunavamiwa watu wanachukuliwa utumwa izo baraka zilitoka wap?,tukatawaliwa toka kipindi iko hadi sasa izo baraka zinatoka wap?
 
Billioni 40 imepewa Ukraine kwa sababu inapigania uhuru na survival yake dhidi ya Taifa kubwa linaloongozwa na dikteta kichaa. Vita vingi vya Africa ni kati yao wananchi wa nchi moja wenyewe kwa wenyewe au watu waliochoshwa na dikteta mmoja wanataka kuwa na taifa lao wenyewe wajaribu nao kujitawala.
Mkuu usilete vitu ambavyo haviendani na mada plz, watanzania wengi walimchukia jiwe sio kwasbb walipenda wazungu sanaa hapana jiwe was a homicidal dictator, lakini katina development model yake hakuiweka wazi hata hivyo asinge kufa na natural death Wazingu wangemfanyia chochote aahindwe tu, US na EU sio wezio, wenyewe wanata tubaki na hi underdevelopment level,...... US hajawahi kutowa msaada wa $40bn kwa nchi yoyote Africa, lakini kwa hi Ukuraini ametoa zaidi ya hiyo ndani ya mda mfupi........kuepo kwa US na umoja wa Uleya sahau maendeleo ya Africa,
 
We call it "Matunda ya democracy"

The United States continues to supply serious weapons to organizations in northern Syria that Turkey considers terrorist. This was stated by Erdogan.

Mind you, hawa ni chama moja ndani ya so called "defensive alliance", NATO.
Watu wanatafuta ugali wa watoto wao hawacheki na kima.
Russia we ndio mwanaume tunaekutegemea kwa sasa uwachallenge mazoea yamezidi.
 
Baraka zilitoka kwa machifu wenu waliokuwa wanavamia makabila yasiyokuwa ya kwao na wanawauza babu zenu kwa madalali wa Kiarabu waliokuwa wamekita kambi barani hapa muda mrefu wakifanya biashara haramu ya pembe za ndovu na utumwa kabla ya wazungu kufika.
Ivi tulivyokua tunavamiwa watu wanachukuliwa utumwa izo baraka zilitoka wap?,tukatawaliwa toka kipindi iko hadi sasa izo baraka zinatoka wap?
 
Putin anamwandaa mwanawe kushika madaraka.

Vladimir Putin is considering parachuting his daughter to a position in parliament so she has the power after he dies, it has been claimed.

The Russian leader has long been dogged with rumours of being seriously sick, with some saying he has had to use deep-fake technology to stage his appearances while undergoing medical treatment.

Combined with the war on-going in Ukraine, Kremlin officials are reportedly anxious about how the status quo will be maintained after Putin dies.

There is now a ‘clear demand’ from Russian elites to ‘understand their future without Putin’
 
Back
Top Bottom