Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapo ndipo mnapochanganyikiwa watu wenye akili ndogo. Mara mseme uvamizi umefanyika kwa sababu Ukraine ni sehemu ya Russia, mara ni kwa sababu ya kutaka kujiunga NATO, mara ni kwa sababu ya Nazi, mara ni kwa sababu ya biolabs. Ili mradi tu kila mmoja amejisikia kuandika pumba yake.
Hawana msimamo...
 
Russia au China hawawezi kuwapa mikopo, misaada, fursa za biashara, masomo, ujuzi, msukumo wa demokrasia na keheshimu haki za binadamu na kazi kama mnavyopata Marekani au Ulaya.

China anachofanya hapa Africa kwa sasa ni aibu kubwa zaidi, bidhaa zake zilizojaa Kariakoo ni earphones, cover za simu, urembo, toothpicks na jeans za kutoboka.Amechukua tenda za ujenzi hadi vibarua wa kubeba zega wanatoka kwake. Kwa hali hii sahauni kuwa na viwanda vya maana kama vile tulivyokuwa navyo muda mfupi baada ya uhuru tukaviua.

Urusi hakuna cha maana inachoipa Africa zaidi ya ngano ya kutengeneza maandazi, AK-47 na mbolea kidogo ya wakulima wa jembe la mkono kuganga umaskini wao ambavyo vyote tunanua kwa pesa zetu.
Mbona unawaza kupewapewa tu kila kitu, kwa nini unataka kutufanya waafrika wanyonge sana, hivi hiki ndo tunawarithisha watoto wetu kuwa wajiandae kupewa na kuomba, hao wazungu unawasujudu...wao hivo vitu waliumbwa navyo...kwa hiyo fikra zako zimefungwa kabisa kwenye ukoloni mamboleo na unaamini hamna njia out....kweli???Mbona waafrika tunashangaza sana..

Badala ya kujengea vizazi vyetu vijitambue kuwa vina uwezo wa kujikwamua....badala yake unasujudu hiyo misaada ambayo inatugharimu uhuru na utu wetu..seriously....??
 
Putin anamwandaa mwanawe kushika madaraka.

Vladimir Putin is considering parachuting his daughter to a position in parliament so she has the power after he dies, it has been claimed.

The Russian leader has long been dogged with rumours of being seriously sick, with some saying he has had to use deep-fake technology to stage his appearances while undergoing medical treatment.

Combined with the war on-going in Ukraine, Kremlin officials are reportedly anxious about how the status quo will be maintained after Putin dies.

There is now a ‘clear demand’ from Russian elites to ‘understand their future without Putin’
Aisee
 
Baraka zilitoka kwa machifu wenu waliokuwa wanavamia makabila yasiyokuwa ya kwao na wanawauza babu zenu kwa madalali wa Kiarabu waliokuwa wamekita kambi barani hapa muda mrefu wakifanya biashara haramu ya pembe za ndovu na utumwa kabla ya wazungu kufika.
Hao watumwa wako walipelekwa Oman,Saudia,Brunei au Iran? waarabu/machifu walikua madalali wa wazungu na hiyo fursa wazungu ndio waliointroduse kwa ajili ya kwenda kulima mashamba yao huko America na kutumikishwa viwandani na ushahidi upo Black americans huko USA kama mfano.
 
haiwataki waasi Wakurdi wa YPG ambao walipigana na ISIS iliyokuwa inapigana na Syria. YPG hupewa support na Syria in bad days ila sio kwamba Syria inawapenda kivile maana Wakurdi hawaaminiki, ni kundi la waasi kwa Uturuki. Russia ilikuwa inasaidia kupigana na ISIS na hivyo YPG sio adui. Ila YPG hufanya mashambulizi ndani ya Uturuki kama wenzao wa PKK
Hivi hawa Ypg wana uhusiano wowote na Pkk ?.....ni kweli YPG sio adui wa Assad Ila ni adui kwa Uturuki, ila kujiingiza kwa Uturuki huko Syria na baadae Libya ni kama vile kumewakera waarabu japo walishirikiana nae kumpiga Vita Assad.

Ilikuwaje Marekani ikawaamini YPG mpaka kushirikiana nao kupigana na Isis badala ya kuwatumia waasi waliokuwa wakiungwa mkono na Uturuki ?.

Halafu Kuna vyuma chakavu nyingi na Screpa za vifaru vya Urusi na magari ya deraya vilivyoharibiwa au kutelekezwa hapo Ukraine, Ina maana Urusi hawana zile MRAP'S ambazo ni mine resistant na haziharibiwi kirahisi na milipuko mpaka watumie hayo mavifaa ya kale ?
T14 Armata
 
The Russian Aerospace Forces destroyed a large arsenal of Ukrainian troops on the territory of one of the enterprises in Krivoy Rog, the Ministry of Defense reported.

20220502_010825 (1) (1).png
 
The main thing from the briefing of the Ministry of Defense of the Russian Federation:

- The Russian Aerospace Forces destroyed a large arsenal of the Armed Forces of Ukraine in Krivoy Rog, an Osa-AKM air defense missile launcher, as well as a radar station and five ammunition depots;

- Russian aviation eliminated more than 300 nationalists, up to 50 units of military and special equipment, and two command posts;

- Russian air defense systems shot down a Ukrainian Su-25 aircraft, destroyed four drones and intercepted a Smerch MLRS projectile;

- rocket troops and artillery hit 62 command posts, 596 areas of concentration of manpower and military equipment, as well as 52 nationalist positions.
20220502_010825 (1) (1) (1).png
 
Kuna vyuma chakavu nyingi na Screpa za vifaru vya Urusi na magari ya deraya vilivyoharibiwa au kutelekezwa hapo Ukraine, Ina maana Urusi hawana zile MRAP'S ambazo ni mine resistant na haziharibiwi kirahisi na milipuko mpaka watumie hayo mavifaa ya kale ?
lee van cliff
 
Kila nchi inapotoa misaada na mikopo duniani au kufanya mikataba ya biashara yoyote kwa mataifa mengine inafanya hivyo kwa maslahi yake binafsi. Hayo maslahi yanaweza kuwa ya kiuchumi au usalama. Marekani inapotoa misaada au mikopo kwa nchi nyingine ni ili kampuni zake na raia wake wapewe kipaumbele kwenye hizo nchi. China nayo inafanya kwa sababu hizo hizo. Urafiki wa mataifa YOTE duniani kote ni urafiki wa maslahi sio kama urafiki wako na wa mshikaji wako mnayekunywa naye Konyagi.

Sielewi kwa nini Marekani akifanya kama wanavyofanya mataifa mengine inakuwa Nongwa! Au kwa sababu US ina msuli mkubwa wa pesa na fursa za kiuchumi kufanya hivyo kuliko kipenzi chenu Russia?!
wape darasa watoto wa putin, hakunaga urafiki wa uncondition kwenye hii dunia .. kila urafiki au ubusiano lazima ndani yake uwe na benefit kwa kila mrengwa
 
Mkuu nakupongeza sana kwa andiko hili lililojaa Hali halisi kabisa.

Urusi kazidiwa na west kwa silaha moja kubwa nauhimu sana,"Mediapropaganda".
Hii vita umewafunua nyeti zao wa "westnato''.
Hebu fikiria Urusi ameshatumia silaha fulani katika vita hii,wakati USA ndo kwanza kaitest Jana.
Silaha hiyohiyo Urusi kaishaipatia kinga yake wenyewe ndio weitest Jana.
Yaani Hawa ni watu wawili wameachana mbali kweli katika issue za silaha.
Mko dunia gani nyie pro russia, yani silaha awe nayo Russia alafu USA asiwe nayo bajeti yake tu ni kielelezo tosha, baada ya kuvunjika soviet uninon USA ili wachukua wanasayansi wengi sana wa USSR tech ya dunia hii unayoijua wewe USA ndio Mmiliki
 
Yaani ni Capitalism mwenye nguvu mpe. Na mdogo atafikiriwa. Hii dunia yafaa iwe reset turudi kwenye barter trade exchange of economic goods rather than monopoly of economic goods.
Assume leo Russia yake makumpuninya Gas na nk yangekuwa foreign?
Dunia haina usawa,toka enzi na enzi ndio fomular ya maisha mpaka nowdays ukiwa mnyonge, utaendelea kuwa mnyonge mpaka kifo
 
Back
Top Bottom