KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Russia anapambana na vita za aina nne.
1.vita ya kiuchumi,
2.vita ya siraha kama hiyo inayoendelea, 3.vita ya kutumia propaganda.
4.vita ya kisiasa.hii ni vita ambayo mamluki hupandikizwa au hushawishiwa kwenye Inch yako na asilimia kubwa wanakua ni wazawa,kwa lengo la kuleta mitafuruku na maandamano ndani ya nchi.
Russia kaweza kutunisha msuri dhidi ya vita zote hizo heavy zinazoratibiwa na vyombo mahili vya ujasusi duniani.
kuendelea kuibeza russia kwa mafaniko hayo kwenye uwanja wa vita nikuikosea russia heshima.
Pia kufananisha vita hii na ile ya marekani si sawa kwani marekani alikua anapigana vita moja tu ya kutumia siraha na akiwa na washirika wake a.k.a NATO.
Acha kutafta sababu bwana ww, insue ni ata wenyewe walijua wana uwezo kuliko walionao
Ata siraha anazopewa ni za kawaida tu
Angepewa midegena vifaru na mimeli si wangekuwa moscow sahv