Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sijaelewa

What is the new system US is providing?​

HIMARS are a high-tech, lightweight rocket launcher that is wheel mounted, giving it more agility and manoeuvrability on the battlefield.

Each unit can carry six GPS guided rockets, which can be reloaded in about a minute with only a small crew.

Analysts say the system is considerably more reliable than other rocket systems Ukrainian forces currently use.
 
Kuamini Ukraine atamshinda Russia haina utofauti na waliosema Simba atacheza fainali CAF kwa kikosi chake
watu Ukraine hawatafuti ushindi bali wanatafuta heshima ya nchi yao - itafikia hatua hakutakuwa na mshindi bali watakaa chini waongee na wayamalize kwa heshima na si kwa dharau za Mrusi kama hizi.
 
Mkuu yule mwenye elimu ya mtaani mbona anamisha mazuri kuliko yule mwenye elimu ya chuo kikuu? Afu kumbuka hizo ni media zao tu.
na hiyo satellite picture clip inayoonyesha warusi walivyofumuliwa ka-section kao kote ni ya urongo siyo !!
 
Kuamini Ukraine atamshinda Russia haina utofauti na waliosema Simba atacheza fainali CAF kwa kikosi

What is the new system US is providing?​

HIMARS are a high-tech, lightweight rocket launcher that is wheel mounted, giving it more agility and manoeuvrability on the battlefield.

Each unit can carry six GPS guided rockets, which can be reloaded in about a minute with only a small crew.

Analysts say the system is considerably more reliable than other rocket systems Ukrainian forces currently use.
Ni siraha nzuri kwa Ukraine kwakuwa tu hakuwa nazo ila kwa Urusi hapo hakuna silaha za kumtisha sana sana wataongezewa kipimo tu.
NB; USA hawezi toa siraha zake nzuri kwa nchi nyingine nawakati yeye anatafuta siraha nzuri za kununua
 
watu Ukraine hawatafuti ushindi bali wanatafuta heshima ya nchi yao - itafikia hatua hakutakuwa na mshindi bali watakaa chini waongee na wayamalize kwa heshima na si kwa dharau za Urusi kama hizi.
Wangetaka heshima ya nchi yao wangeandamana kumpinga rais wao mpuuzi Vladimir Zelensky mapema hata kabla ya demolition mission kufanya kazi. Ila hapo walipofikia hiyo ni masikini kwa sasa kuliko hata Tanzania
 
hakuna warusi wanaoandamana kila siku kumpiga Putin? anawafanyaje akiwakamata ? kafanyaje kwenye media za urusi? zimsifu na kumwabudu yeye tu siyo.
 
hakuna warusi wanaoandamana kila siku kumpiga Putin? anawafanyaje akiwakamata ?
Nlisoma article moja hv jamaa amekamata watu wengi sana, na wengine kufa. Yani ukimpinga umeenda ama fanya hivyo ila usiwe Russia.

Na siku akifa utaona watu wake watakavyo funguka[emoji16]
 
Pengine kutangaza aina ya silaha wanazopeleka nje ya nchi kwa ajili ya kuisaidia nchi hiyo pengine ni takwa la kisheria ili kuepuka;
- Silaha kuweza kuangukia kwenye mikono ovu,eg magaidi,au wauza unga,au waasi wasiopendwa.
Na ijulikane kuwa ni aina Gani ya silaha zulizotolewa na zilizopokelewa.

- kuepuka wapigaji,yaani wajanja wanaweza kuziuza kwa nchi nyingine TU,ufisadi.
Ijulikane mapema silaha Gani imetolewa na hiyohiyo ndio imefika.
- pengine taxpayers wanatakiwa kujua aina ya silaha zao na gharama zake..
Kwa kifupi nimejaribu TU.lkn hakika hata Mimi nimekua najiuliza swali hilo na nilijijibu hivyo.

@PD Magumba

Galip Vrl
Ask-Q
Fact

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Hatushangilii vita hii, lakini anachokifanya Urusi kwa Ukraine hakikubaliki katika uso wa dunia - nawapongeza Marekani kutoa mtonyo wa system ya masafa marefu.. High Mobility Artillery Rocket System (HIMARS) - Pia nawapongeza Ujerumani kwa kutoa na wao mfumo wa kulinda anga la Ukraine.... the IRIS-T system most modern Germany possessed.

Kitu hichoo dadadeq... hutaki kuona ..logoff.

View attachment 2247138
Hicho kitu cha Russia Marekani amecopy
 
Kuamini Ukraine atamshinda Russia haina utofauti na waliosema Simba atacheza fainali CAF kwa kikosi

Ni siraha nzuri kwa Ukraine kwakuwa tu hakuwa nazo ila kwa Urusi hapo hakuna silaha za kumtisha sana sana wataongezewa kipimo tu.
NB; USA hawezi toa siraha zake nzuri kwa nchi nyingine nawakati yeye anatafuta siraha nzuri za kununua
So unafikiri kwanini Ukraine kaleta ugumu huu kwenye hii Vita?
 
Hivi mshawahi kujiuliza Ukraine angekuwa na silaha za kivita hata kwa 80% ya zile alizonazo russia mambo yangekuwaje?
Screenshot_20220601-155802_1.jpg
 
Kinacho ikuta ukraine ni msiba hasa
Hata rais wa Ukraine kasema kila siku wanajeshi wake wanakufa na kataja hadi idadi but siikumbuki vzuri..

So inajulikana kwamba wanakufa, Ila vipi wa Russia hawafi et![emoji16]

Tukiwaonesha picha mnasema propaganda, huko Russia hauruhusiwi kusema wala kuchapisha kwamba wanajeshi wa urusi wanakufa...
 
Gazprom has confirmed a complete halt in gas supplies to Danish Ørsted due to non-payment in rubles.

The holding also confirmed a complete halt in gas supplies to Shell Energy Europe due to non-payment in rubles.
20220502_010825 (1) (1) (1).png
 
The White House fears that the confiscation of Russian assets in favor of Ukraine could undermine investor confidence in the United States.

The New York Times writes about this, citing sources in the Biden administration.

Officials say the confiscation of Russian assets could encourage other central banks to shift their assets from dollars to other currencies and "keep them out of American hands."

Washington and its allies have blocked Russia's access to about $300 billion in reserves. The idea of transferring these funds is supported by Canada, Germany, as well as a number of Eastern European countries.

Finance Minister Janet Yellen called the confiscation in favor of Ukraine illegal.

20220502_010825 (1) (1) (1).png
 
Attempts by the United States to present the supply of HIMRAS missile systems to Ukraine as containing elements of "self-restraint" are useless, Ryabkov told RIA Novosti.

20220502_010825 (1) (1) (1).png
 
Back
Top Bottom