wanakera sana huyu anaona kawaida hata ukoo mzima kuwa shoga abinuliwe na mzee wake, mjomba n.k
Mbona miaka iliyopita kulikuwa sio hivi yaani kumekidhiri haswa
Hiki kizazi kua hivi mdau hakijatokea bahati mbaya, kimeanza kuandaliwa "decades" kadhaa huko nyuma...
Haitakaa itokee kibadilishwe fikra zao overnight mdau.
1. Hiyo alama kwenye bega la kulia sio ya bure...
2. Hizo flouride wanazozibwia kila siku kwenye maji si za bure...
3. Hizo spray chemicals zinazotandazwa angani si za bure...
4. Chunguza chakula kinacholiwa kila siku, takriban asilimia 90 havina asili yake ya awali, Most ni artificial kuanzia mchicha hadi nyama ya ng'ombe anayokula...
Hayo ni machache ili utizame afya ya kiwiliwili ilivyo mbovu...
Then njoo kwenye ufaham wake,
1. Angalia namna mfumo wa wake wa kupata elimu ulivyo wa ki$3π¶€... Haumtengenezi kujikomboa bali inamuandaa kutumika kwa jina la ajira...
2. Anapangiwa cha kujifunza kwa jina la "syllabus" so kuanzia akiwa vidudu hadi anafika elim ya juu njia yake yote ya kujipatia elim ipo under control.
Leo ukikutana na mhitim wa uhandisi (huu mfano tu)... Haikupi shida kujua kadha wa kadha vilivo nje ya ufaham wake hivo kumfanyia manipulation ni kama unamsukuma mlevi kwenye mteremko...
3. Kingine katika "Culture", neno tamaduni ni neno dogo kwa wenye ufaham mdogo ila lina maana kubwa kwa wenye ujuzi nalo.
That's why tunamwona yule jangili wa magharibi anatumia vyote vyote iwe mtutu ama fedha hadi ahakikishe tamaduni zake zimeenea kila kona.
Tamaduni ina sehem kubwa katika maisha ya kila siku ya mwanadam. Kuiacha na kuikana tamaduni yako ni sawa na kuikana asili yako.
Na kuikana asili yako kuikaribisha asili nyingine ni sawa na mtu anayeacha nyumba yake anaenda kupanga kwa mtu mwingine... Kwani kule aendako anaingia utumwa wa kumtii mwenye nyumba, likewise katika tamaduni.
Ile inferiority tuliyojijengea na kujengewa vile vile... Kujiweka weak na inferior huku tukiwafanya superior wenzetu over us... Inapelekea kutumika na kufata kila watakalo isn't an option.
4. Ukitoka katika mfumo rasmi wa elim unakutana na vyombo vya habari 😂😂😂. Navyo havikuachi hivi hivi daaadeki vinakutengeneza na kukushape katika hali wahusika wakuu wanayoihtaji. Unatokaje sasa kwa mfano 🤔
5. Leo hii nenda kwenye shule zetu hizi au mtaani, kaa na watoto wadogo... Angalia traits zao, namna wanavyowaza, reaction zao kwenye matukio ya kila siku... Amini nakwambia, utaona kabisa something is not right kwenye mind zao!
Anyway, tusiongee sana mwishowe itakuwa kero.
Ila nikuache na homework kidogo, Hivi ushawahi kujiuliza kwanini vijana waliokulia nje ya "system"... Hapa na maana ya hii mifumo iliyopo katika mazingira ya afya na elim wako at least na fikra huru kuliko hawa "waliochongwa" kama penseli kuanzia nursery hadi elim ya juu?
Hapa nieleweke vizuri, kua na fikra huru sio kujua mengi, kwasababu unaweza kujua mengi ambayo hayana usahihi wowote 😂, fikra huru ni uwezo wa kupambanua nukta sahihi na isiyo sahihi unapowekewq hoja tofauti tofauti mbele yako.