Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The situation with food problems in the world began to take shape long before the special operation in Ukraine, during the pandemic, Vladimir Putin recalled.

20220502_010825 (1) (1) (1).png
 
Huyu jamaa simple mind anafanana na jina lake, ulaya ilipata misaada gani ikafika hapo ilipo? Ili tujiletee maendeleo,lazima tutumie raslimali zetu vizuri,huku tukiwa na viongozi wenye maono,hao viongozi wenye maono waliuwawa na hao wezi wanaojiita wabia maendeleo,kumbuka,wanachochukua kutoka kwetu,hakilingani na wanachotupa,ebu fikiria,kampuni zao zinachukua madini kwenye kontena,alafu wanakuletea vidonge vya ARV,neti za mbu,kuchimba visima vya million 10[emoji706]
Mwambie anatu dhalllisha wa TZ
 
The most important of Putin's statements in an interview with the Moscow. Kremlin. Putin":

- the president called the statement that Russia “does not allow” the export of Ukrainian grain from ports a bluff;

- They are trying to blame the Russian Federation for what is happening on the world food market, but this is "an attempt to shift from a sore head to a healthy one." The President emphasized that the problems began in February 2020 due to the pandemic;

- as soon as Kyiv clears the ports of mines, the grain will be able to be taken out;

- the cheapest export option is through Belarus, but then sanctions will have to be lifted;

- the acceleration of inflation is not connected with the events in Ukraine, but with the ill-conceived attempts of the United States to inject funds into the economy. Putin called the US dollar printing press "unprecedented";

“Apparently, the financial authorities proceeded from the fact that the dollar is the world currency and, as usual, it will dissipate throughout the world economy, and [it] will be imperceptible. It turned out that this was not the case;

— the short-sighted policy of Europe in recent years has led to a crisis in the energy sector;

- “The Europeans did not heed the requests of the Russian Federation to maintain long-term contracts for the supply of gas, because of this, prices crept up. Russia has nothing to do with it”;

- new sanctions against the Russian Federation will only worsen the situation on world markets, the harvest will be more modest, and prices will rise
20220502_010825 (1) (1) (1).png
 
Ushidi wa Urusi kwa Ukraine itakiwa pigo kubwa kwa Ulaya na NATO and they know that.

Kuisha kwa vita hii labda wenyewe Ukraine wanyooshe mikono juu ya kuikabidhi nchi yao kwa mrusi otherwise ngoma bado isambe.

Hela na vifaa vya kisasa vikali zaidi vinamwagika mafunzo ya wanajeshi wa Ukraine pia ni ongoing kuhakikisha Mrusi anakwama hata kwa 50%.

Kama mnaomba Mrussi kukwama mtaomba mpaka yesu anarudi na hamtafanikiwa. Urussi ikiamua imeamua.

Ogopa sana hii kauli “Tunalinda usalama wa Taifa letu na kizazi kijacho”.
 
Uingereza yaripoti video ikionesha majeshi ya Russia yakitumia mfumo wa ulinzi wa anga wa S-300 PM2 kuangamiza droni za Ukraine aina ya Bayraktar TB2 Attack drones.
Ni zile droni zilizotengenezwa Uturuki tulizokuwa tukipigiwa makelele humu jukwaani tukiaminishwa kuwa zingeweza kuikoa Ukraine na kichapo cha Russia. Matokeo yake leo tunaona Ukraine ikizidi kupoteza mikoa kwa fujo na maelfu ya wanajeshi wake wakiuawa huku maelfu ya wanajeshi wengine wa nchi hiyo wakishindana ktk kujisalimisha na kutekwa na majeshi ya Russia
=======


View attachment 2248470
Acha wafe MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu haya madini,bado natamani "kitabu"
Please....
Ha ha ha happpana Mkuu, kweli ase me sio mwandishi mzuri, basi tu hizo mambo huwa zinajazana kwa kifua zikipata mwanya zinatoka kama hivyo katika reply kadha wa kadha za rafiki zangu hapa JF...

Nimerudia kuisoma kwa mara nyingine, Mwamba hapo kwenye mafuta ya kujipaka naamini hujaitamka holela. Kuna kitu, kama hutojali unaweza kushare, nimewaza ulimaanisha nini nimekosa majibu.
We nae mdadisi eishiii 😂

Of course sikulitamka bahati mbaya, Kivipi? Ni hivi, kwanza nianze kwa kujipambanua mie sio medical specialist. Nitakachokueleza ni kile nachokijua so far katika ufatiliaji wangu wa issue za Afya kwa ujumla.

Mafuta kawaida yametengenezwa kwa ajili ya ngozi nadhani hili linafahamika wala halihitaji maelezo mengi. Ukiichukua kopo la mafuta ya kujipaka utakuta maelezo yapo hapo yakikuambia au kukuhusia kuhusu kuyaweka mbali na watoto. Kwanini mtoto? Kwasababu mtoto anaweza kuyaweka mdomoni.

Ok now tuachane na huyo mtoto turudi kwako mtu mzima. Nadhani ushawahi osha vyombo katika ukuaji wako kama hujawahi basi we mtoto wa kishua.

Na najua pia Katika osha osha ya vyombo ushawahi kuosha bakuli la mchuzi wa nyama au sufuria lililokuwa na mafuta.

Katika uoshaji wako bila kutumia maji ya moto nadhani wajua hali ya sufuria au bakuli itakavyokua.... Kwamba yale mafuta huwa hayatoki.

Sasa hali hiyo unakutana nayo baada ya kujipaka mafuta ukifika wakati wa kula. Most katika sie hasa tunaopaka mafuta mazito kisha tunanawa maji ya baridi huwa tunabaki na yale mafuta mkononi.

Ambayo later "tunayafinyanga" kwenye tonge la ugali tunaweka mdomoni. Hii ni continuously kwenye daily routine.

Again kwa mkeo sijui mchepko wako huko. Katoka zake kujipodoa mkononi kajaa kila aina ya mkorogo na kwasababu akishayapaka hayaonekani basi ajisuuza vidole kisha anamlisha mtoto, Je Unajua anamlisha vingapi wakati huo 😆😆😆?

Ni wachache sana ambao hutumia maji ya moto wakati wa kunawa kabla ya kula ili kusafisha mikono vizuri.

Sasa hii daily consumption ya Petroleum products "indirectly" mwilini tushajiuliza ina madhara gani? Kwanini ni sie tu tunaojiita modern world ndio tunakumbwa na haya magonjwa ya ajab ajab?

Ha ha au basi tu, maana kuyaeleza haya itakuwa kama tunatishana hivi, so tuyaache tu.
 
Kama mnaomba Mrussi kukwama mtaomba mpaka yesu anarudi na hamtafanikiwa. Urussi ikiamua imeamua.

Ogopa sana hii kauli “Tunalinda usalama wa Taifa letu na kizazi kijacho”.
Mrusi hawezi kwa 100% kuamua hatma ya Ukraine..believe me unless wewe ni mgeni wa siasa za kimataifa.

Mrusi ana wakati mgumu mno..anapigana vita karibia 3 kwa wakati mmoja.

Ni wajinga tu ambao wanafikiri Mrusi anaweza ku exist na nguvu yake hii kwa miaka 10 ijayo bila EU, US, G7 na mataifa mengine ya magharibi.
 
Back
Top Bottom