Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Suala gani nyeti la Wazungu Ukraine ambalo lina maslahi na wewe Mmatumbi wa Buza?

Mambo gani ambayo yakifunikwa au yakufunuliwa Ukraine yatakuwa na athari zozote kwako mtu ambaye maji ya bomba ni shida, na ajira za kutegemea ni bodaboda na umachinga?
Inaonesha nyuma ya hii OP pale UKRAINE kuna suala nyeti ambalo hatulijui
Nanaamini kushinda au kushindwa kwa UKRAINE kwenye hii OP kutafunika na kufunua majambo mengi
UKRAINE akikaa mazima nahisi RUSSIA atakamata mpini wahilo tusilolijua
UKRAINE akishinda nahisi NATO nashost zao watakamata mpini wahilo tusilololijua ila tu
Uzuri muda hua haudanganyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongelea nadharia ambayo hata wewe huijui vizuri ni aidha hear say au maneno ya kukaririshwa na ndiomana umeiacha hewani hiyo nadharia yako kwa kuzuga tu.

Elezea mafuta ya mgando yana ingredients ya petroleum kiasi gani na ni kiwango gani kinaathiri afya kwa binadamu.

Halafu mtu ale mafuta leo(kwa nadharia yako kesho tena ale yana accumulate mwilini? Na kama yana accumulate yanakuwa wapi exactly? Mwili wa binadamu haufanyi kazi hivyo ni vyema tuongee vitu tunavyojua na tuache kudanganya watu na maneno ya vijiweni.

Afadhali jamaa anatoa alichonacho tunajifunza ni elimu gani mpaka sasa umeitoa humu ndani tukajifunza??
 
Mchina ni mbinafsi sana kutumia hela yake kwa vita..si wa kuamininhata kidogo...

same kwa Mrusi helyqkake yote ni kujijenga kijeshi hajawahi kusaidia mia kwa Africa...Leo anataka eti tumsupport - akwendee !!
Wakati unaanza darasa la kwanza Waziri wa Elimu aliitwa nani?
Tuanzie hapo. Msije mkawa vijana wa juzi ambao hata Nyerere hamumujui maana? alipokuja na sera ya Ujamaa na Kujitegemea ham kuwepo. Hakuna mtu mwenye akili timamu anapenda kusaidiwa na jirani kulisha familia yake. Ni hatari na mwisho wa siku utalea watoto sio wako. Shauri yako.
 
na ndiyo maana tunawaambia WARUSI wa TZ kwamba at the end atakayeumia ni Mrusi, kwa sasa anatumia resources nyingi sana za nchi yake kwa siku ku run hii vita huku akikabiliwa na vikwazo lukuki vya kiuchumi.

Na according to NATO hii vita haitaisha leo wala kesho, kitu ambacho ni kibaya mno kwa URUSI, time.
Hata idumu miaka 100 KREMLIN walishatangaza malengo lazima yafikiwe haijalishi itachukua muda gani
Endeleeni kujipatia faraja[emoji3][emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilaza wa pseudoscience huyo.
Unaongelea nadharia ambayo hata wewe huijui vizuri ni aidha hear say au maneno ya kukaririshwa na ndiomana umeiacha hewani hiyo nadharia yako kwa kuzuga tu.

Elezea mafuta ya mgando yana ingredients ya petroleum kiasi gani na ni kiwango gani kinaathiri afya kwa binadamu.

Halafu mtu ale mafuta leo(kwa nadharia yako kesho tena ale yana accumulate mwilini? Na kama yana accumulate yanakuwa wapi exactly? Mwili wa binadamu haufanyi kazi hivyo ni vyema tuongee vitu tunavyojua na tuache kudanganya watu na maneno ya vijiweni.
 
Donetsk sio mji, ni jimbo walokuwa wanataka kujitenga tangia zamani 2014 ndo pro russia walikuwa wengi, ni ni sehem yenye vimji vidogo uko ukraine na ni pemben kabisa uko wanapakana na Russia
Kaona afanye hvyo ili kutoa aibu
Ila bado kazi anayo,
Russia ni nchi yenye jina ila uwezo mdogo
Wa ukrain ni kama wanapigania mawe maana siraha wazopewa ni haziendani na azonazo mpinzani wao
Vimji vidogo[emoji23][emoji16][emoji3]
Taja mikoa mitatu mikubwa ya UKRAINE halaf uje useme inapatikana upande gani kama hujui nenda hata google

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazima kuwepo wakati wa Nyerere kufahamu ujamaa na matokeo yake kwa Taifa hili.

Ujamaa wa Nyerere ulishindwa vibaya sana ndio maana ulizikwa kwenye kaburi la Historia mwisho wa utawala wake na Mwinyi akaja na sera mpya za soko huria.
Wakati unaanza darasa la kwanza Waziri wa Elimu aliitwa nani?
Tuanzie hapo. Msije mkawa vijana wa juzi ambao hata Nyerere hamumjui maana alipokuja na sera ya Ujamaa na Kujitegemea ham kuwepo. Hakuna mwenye akili timaru anapenda kusaidiwa na jirani kulisha familia yake. Ni hatari na mwisho wa siku utalea watoto sio wako. Shauri yako.
 
Ha ha ha happpana Mkuu, kweli ase me sio mwandishi mzuri, basi tu hizo mambo huwa zinajazana kwa kifua zikipata mwanya zinatoka kama hivyo katika reply kadha wa kadha za rafiki zangu hapa JF...


We nae mdadisi eishiii [emoji23]

Of course sikulitamka bahati mbaya, Kivipi? Ni hivi, kwanza nianze kwa kujipambanua mie sio medical specialist. Nitakachokueleza ni kile nachokijua so far katika ufatiliaji wangu wa issue za Afya kwa ujumla.

Mafuta kawaida yametengenezwa kwa ajili ya ngozi nadhani hili linafahamika wala halihitaji maelezo mengi. Ukiichukua kopo la mafuta ya kujipaka utakuta maelezo yapo hapo yakikuambia au kukuhusia kuhusu kuyaweka mbali na watoto. Kwanini mtoto? Kwasababu mtoto anaweza kuyaweka mdomoni.

Ok now tuachane na huyo mtoto turudi kwako mtu mzima. Nadhani ushawahi osha vyombo katika ukuaji wako kama hujawahi basi we mtoto wa kishua.

Na najua pia Katika osha osha ya vyombo ushawahi kuosha bakuli la mchuzi wa nyama au sufuria lililokuwa na mafuta.

Katika uoshaji wako bila kutumia maji ya moto nadhani wajua hali ya sufuria au bakuli itakavyokua.... Kwamba yale mafuta huwa hayatoki.

Sasa hali hiyo unakutana nayo baada ya kujipaka mafuta ukifika wakati wa kula. Most katika sie hasa tunaopaka mafuta mazito kisha tunanawa maji ya baridi huwa tunabaki na yale mafuta mkononi.

Ambayo later "tunayafinyanga" kwenye tonge la ugali tunaweka mdomoni. Hii ni continuously kwenye daily routine.

Again kwa mkeo sijui mchepko wako huko. Katoka zake kujipodoa mkononi kajaa kila aina ya mkorogo na kwasababu akishayapaka hayaonekani basi ajisuuza vidole kisha anamlisha mtoto, Je Unajua anamlisha vingapi wakati huo [emoji38][emoji38][emoji38]?

Ni wachache sana ambao hutumia maji ya moto wakati wa kunawa kabla ya kula ili kusafisha mikono vizuri.

Sasa hii daily consumption ya Petroleum products "indirectly" mwilini tushajiuliza ina madhara gani? Kwanini ni sie tu tunaojiita modern world ndio tunakumbwa na haya magonjwa ya ajab ajab?

Ha ha au basi tu, maana kuyaeleza haya itakuwa kama tunatishana hivi, so tuyaache tu.
[emoji23]

Nimekupata sasa mwanzo ulinipiga chenga!
 
Mrusi sio kwamba ni mbinafsi au pesa yake ni ya kujijenga kijeshi. Hana huwezo wa kutoa misaada. Korea Kusini kupitia KOICA wanaweza kutoa misaada kwa nchi za Africa kwa sababu uchumi wao ni mkubwa kuliko wa Russia na hata GDP per capita yao ni USD 31,000 wakati Russia ni USD 10,000.
Nchi zote ambazo hazina rasilimali ni watoa mikopo sana. Nchi zenye Mali ni watoa misaada isiyo na masharti. Nchi ambazo watu wengi ni wakawaida sana ni wapokea misaada mizuri sana. Kifupi America yenye maskini wanaoishi mitaani , inawaonea huruma nyinyi tena bure tu..kifupi hiyo unayoita misaada ni njia za kutengeneza ajira , kuweka mazingira ya kuwekeza kirahisi, kuweza kuwaamulia sera zenu za poverty reduction, soko la bidhaa zao namna ya kuingia sokoni ( huwezi kwepa kununua mashine kwake kutekeleza mradi).
Mwisho asilimia zaidi ya 60 ya misaada hurudi kwao kama manunuzi ya bidhaa au kulipia consultant. Jifunze upate maarifa . TUNAWEKA TAARIFA KWA USAHIHI WATOTO WA 2000 WASIPOTOKE.
 
Professorial Rubbish
delivers the latest headlines to you.

LIVE



3 Jun, 2022 17:26
HomeRussia & FSU

Russia not to blame for global food crisis – Putin​

Russia is ready to aid in transporting Ukrainian grain, but Western sanctions make it impossible, the Russian president has said
Russia not to blame for global food crisis – Putin

Russian President Vladimir Putin. [emoji2398] Sputnik/Mikhail Metzel
The restrictions imposed by the US and its allies against Russia and Belarus will only exacerbate the looming global food crisis by affecting the fertilizer trade and sending food prices even higher, Russian President Vladimir Putin has said.
In a special TV interview on Friday evening following a meeting with African Union head Macky Sall in Sochi, Putin accused Western leaders of trying "to shift the responsibility for what is happening in the world food market."
The root causes of the crisis lie with the US financial policies during the Covid-19 pandemic and Europe's over-reliance on renewables and short-term gas contracts, which have led to price hikes and rising inflation, Putin has said.

"It began to take shape as early as February 2020 in the process of combating the consequences of the coronavirus pandemic," he added.
Global food crisis a result of policy mistakes by US and EU, Putin aide tells RTREAD MORE: Global food crisis a result of policy mistakes by US and EU, Putin aide tells RT
High gas prices, which came as a result of under-investment in the traditional energy sector, have forced many fertilizer producers to shut down their businesses because of unprofitability, the Russian president argued. Such developments have shrunk the fertilizer supply, which, in turn, has pushed food prices higher, he added.
Yet, instead of taking any real steps to remedy the situation, Western nations just pin the blame on Moscow, Putin has said. The Russian president has dismissed all claims that Moscow is preventing Ukrainian grain from being exported to other nations as a “bluff.” He also said that Russia was ready to increase its own grain export up to 50 million tons.
Putin pointed to the fact that there are several ways to safely transport the grain from Ukrainian territory, including through Poland and Hungary. He also said that Russian forces are about to finish demining the areas of the Black Sea it controls in order to facilitate the safe passage of goods through the Azov and Black Seas.

The Russian leader has also called the Belarus transport route “the cheapest way” of getting Ukrainian grain to customers around the world. Yet, using it would require that Western nations lift the sanctions they imposed against Minsk, he added.
US sanctions threaten food security – MoscowREAD MORE: US sanctions threaten food security – Moscow
Earlier on Friday, Belarusian President Alexander Lukashenko told UN Secretary-General Antonio Guterres that Belarus is ready to transport Ukrainian grain to European ports by rail, but that this would require those ports being able to accept goods from Belarus, which is currently impossible because of sanctions.
“To create the conditions for the transit of Ukrainian grain, the ports that would serve as shipping points should be able to load and unload Belarusian goods,” Lukashenko said.
Guterres, in turn, has said that he would discuss the issue with the leaders of the relevant nations in the coming days.
 
Mrusi ana wakati mgumu mno..anapigana vita karibia 3 kwa wakati mmoja.
Kuna mda huwa mnafanya factory restore kwenye bongo zenu eeh [emoji23]

Kumbe mnajua anapigana vita karibia tatu na hicho kijiji cha Big Boys bado na bado anawakalisha anaendelea na Operation yake?

Babeki mtasema ukweli tu na bado [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaongelea nadharia ambayo hata wewe huijui vizuri ni aidha hear say au maneno ya kukaririshwa na ndiomana umeiacha hewani hiyo nadharia yako kwa kuzuga tu.

Elezea mafuta ya mgando yana ingredients ya petroleum kiasi gani na ni kiwango gani kinaathiri afya kwa binadamu.

Halafu mtu ale mafuta leo(kwa nadharia yako kesho tena ale yana accumulate mwilini? Na kama yana accumulate yanakuwa wapi exactly? Mwili wa binadamu haufanyi kazi hivyo ni vyema tuongee vitu tunavyojua na tuache kudanganya watu na maneno ya vijiweni.
Duh kazi ipo [emoji848]
 
*Katika uoshaji wako bila kutumia maji ya moto nadhani wajua hali ya sufuria au bakuli itakavyokua.... Kwamba yale mafuta huwa hayatoki.

Sasa hali hiyo unakutana nayo baada ya kujipaka mafuta ukifika wakati wa kula. Most katika sie hasa tunaopaka mafuta mazito kisha tunanawa maji ya baridi huwa tunabaki na yale mafuta mkononi*

Nani alikuambia bila kutumia maji ya moto mafuta ya nyama au mafuta mengine yoyote ya kupikia hayatoki kwenye chombo??

Halafu kuna mtu anakusisitiza uandikie kitabu huu utopolo![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huu ni wendawazimu
Ha ha ha happpana Mkuu, kweli ase me sio mwandishi mzuri, basi tu hizo mambo huwa zinajazana kwa kifua zikipata mwanya zinatoka kama hivyo katika reply kadha wa kadha za rafiki zangu hapa JF...


We nae mdadisi eishiii [emoji23]

Of course sikulitamka bahati mbaya, Kivipi? Ni hivi, kwanza nianze kwa kujipambanua mie sio medical specialist. Nitakachokueleza ni kile nachokijua so far katika ufatiliaji wangu wa issue za Afya kwa ujumla.

Mafuta kawaida yametengenezwa kwa ajili ya ngozi nadhani hili linafahamika wala halihitaji maelezo mengi. Ukiichukua kopo la mafuta ya kujipaka utakuta maelezo yapo hapo yakikuambia au kukuhusia kuhusu kuyaweka mbali na watoto. Kwanini mtoto? Kwasababu mtoto anaweza kuyaweka mdomoni.

Ok now tuachane na huyo mtoto turudi kwako mtu mzima. Nadhani ushawahi osha vyombo katika ukuaji wako kama hujawahi basi we mtoto wa kishua.

Na najua pia Katika osha osha ya vyombo ushawahi kuosha bakuli la mchuzi wa nyama au sufuria lililokuwa na mafuta.

Katika uoshaji wako bila kutumia maji ya moto nadhani wajua hali ya sufuria au bakuli itakavyokua.... Kwamba yale mafuta huwa hayatoki.

Sasa hali hiyo unakutana nayo baada ya kujipaka mafuta ukifika wakati wa kula. Most katika sie hasa tunaopaka mafuta mazito kisha tunanawa maji ya baridi huwa tunabaki na yale mafuta mkononi.

Ambayo later "tunayafinyanga" kwenye tonge la ugali tunaweka mdomoni. Hii ni continuously kwenye daily routine.

Again kwa mkeo sijui mchepko wako huko. Katoka zake kujipodoa mkononi kajaa kila aina ya mkorogo na kwasababu akishayapaka hayaonekani basi ajisuuza vidole kisha anamlisha mtoto, Je Unajua anamlisha vingapi wakati huo [emoji38][emoji38][emoji38]?

Ni wachache sana ambao hutumia maji ya moto wakati wa kunawa kabla ya kula ili kusafisha mikono vizuri.

Sasa hii daily consumption ya Petroleum products "indirectly" mwilini tushajiuliza ina madhara gani? Kwanini ni sie tu tunaojiita modern world ndio tunakumbwa na haya magonjwa ya ajab ajab?

Ha ha au basi tu, maana kuyaeleza haya itakuwa kama tunatishana hivi, so tuyaache tu.
 
si hivyo, vita hii haitaisha leo kama unavyofikiri believe me, Ukraine haiwezi kuachia ardhi yao na ndiyo maana kila siku wanaomba silaha kali zaidi toka mataifa yenye uchumi mkubwa duniani kama US.

VIta itaisha kama mrusi atakubali pande zote kuweka silaha chini na kurudi mezani BILA masharti yoyote kwa Ukraine.

recall kauli ya NATO, USA pamoja na EU kwenye sakata hili.
UKRAINE hajaanza kuomba leo wala jana hizo silaha
Nabado mafanikio kila leo ya RUSSIA yanaonekana
Njia pekee yakutofikisha malengo ya RUSSIA sio kuchelewesha kuofikisha malengo ya RUSSIA nikuingia kwa NATO hakuna zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shombo iko wapi!!?
Kremlin walisema malengo lázma yafikiwe kwakauli hii ulielewa nn!?
Wewe ndio uje na fact MKUU sio makasiriko yasio maana

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri Urusi ana uchumi upi kama hafanyi biashata na US, EU, UK, G7 na mataifa mengime ya ulaya.

Ni ujinga uliopitiliza kufikiri kwamba Putin can run this war for 6 months or a year bila bila kufanya biashata na watu hao.
 
Back
Top Bottom