Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Nakuelewa Jomba,Ha ha we umeelewa nini mdau, au unahisi kwanini?
Unauliza kwanini tena? Mbona lipo wazi hilo jomba, rejea ulichokiandika mwenyewe kwenye hii post wakati ukimjibu Mathanzua
Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?
Wewe wahi Mirembe ukatibiwe matatizo ya akili.Ni wazo mjadala,sio baya.Ila nia ya NWO ya muda mrefu ni kuisambaratisha Urusi,kwa kuwa wanaona ndiyo kikwazo kikubwa cha adhma yao ya muda mrefu ya kuanzisha a One World Goverment,One Satanic Religion under the Antichrist and One World Currency.
Uliandika hivi nanukuu Sure! Tatizo ni kwamba huezi kuhubiri "Mbuzi" kwa lugha ya "Simba" ukaeleweka zaidi utaonekana kama "you are out of your mind".
Why? Simply b'se unawaambia vitu vilivyo nje ya uwezo wao, so ni hardly for them to understand!
Kwa hiyo It's either kutafuta "Simba" mahala walipo uwaeleze au kubaki na uliyonayo moyoni!
Sina hakika kama kila mtu anahitaji kuamshwa "usingizi" aliolala, You can't change people who do not want to change! Binafsi, I no longer watering people who don't want to grow.
For your comment, subiri "akili kisoda", "akili mshikaki" zitakavyokuwakia hapa yangu macho tu [emoji23][emoji23][emoji23].
Nakazia hapo ulipoandika you no longer water people who don't want to grow!
CC babu na mjukuu