Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kila mtu aliye na ID isiyo yake kwenye mtandao ni soldier nyuma ya keyboard akishasiba ugali sembe, mchicha na dagaa.
We Ni soldier bila shaka Hadi unajua kufa vitani so Jambo la kushangaza
 
Malengo ya Mrusi ni yapi kwenye hii vita?
Kuisha inataisha vizur tu maana malengo ya mrusi kila wiki yanaendelea kutumia akishateka miji yote kitakachofata ni ulinzi na sio mapigano tena na hapo siraha zake zitakuwa zimetulia sasa
Na hata akitaka kumaliza leo anamaliza ishu hataki damu umwagike
 
Mbona una makasiriko hivyo ndugu? Kakosea nini? Ask-Q umemwelewa huyu ndugu
Sasa kaka, ukishaspot udhaifu unatulizana tu haiitaji maelezo marefu endelea kushuka chini utaona nilichomjibu. Yah hizo ni nadharia za kwenye gahawa so azikaushie tu na kama ikiwezekana anaweza kuyafanya blueband yanafaida nyingi sana mwilini. Na kama haitoshi yanaweza kumfanya First Lady wa dementia Joe kule Washington DC [emoji41]
 
Suala gani nyeti la Wazungu Ukraine ambalo lina maslahi na wewe Mmatumbi wa Buza?

Mambo gani ambayo yakifunikwa au yakufunuliwa Ukraine yatakuwa na athari zozote kwako mtu ambaye maji ya bomba ni shida, na ajira za kutegemea ni bodaboda na umachinga?
Pole kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kaka, ukishaspot udhaifu unatulizana tu haiitaji maelezo marefu endelea kushuka chini utaona nilichomjibu. Yah hizo ni nadharia za kwenye gahawa so azikaushie tu na kama ikiwezekana anaweza kuyafanya blueband yanafaida nyingi sana mwilini. Na kama haitoshi yanaweza kumfanya First Lady wa dementia Joe kule Washington DC [emoji41]
Una maneno ya chini chini ya kukera sana jomba [emoji119][emoji23]
 
Unafikiri Urusi ana uchumi upi kama hafanyi biashata na US, EU, UK, G7 na mataifa mengime ya ulaya.

Ni ujinga uliopitiliza kufikiri kwamba Putin can run this war for 6 months or a year bila bila kufanya biashata na watu hao.
Sasa wewe na na KREMLIN nani anajua zaidi!!?
Niupumbavu kujifanya unajua kuliko KREMLIN wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo kama hayo ya Bill Gates ndio yaliyomfanya akaibuka na Microsoft unayoitumia kuposti conspiracy theories zako hapa, wewe ukilala ukiamka unawaza ushoga na mafuta mgando ya kujipaka uliyomeza kwa sababu hukunawa mikono na maji ya moto.
Galip we mtata, rafiki yako mie league na mtu huwa siwezi, nachoweza kikubwa hasa huwa ni kupuuza kutunza energy ya mambo mengine ya muhim zaidi. Naona umempa notes akajisomee [emoji23]

Bill Gate anayemsifia sasa ndio huyu anayetaka waanze kula nyama za kutengeneza maabara kwamba ng'ombe wale wa asili wana haribu mazingira View attachment 2249799 Utambadilisha nini huyu zaidi ya kumpuuza... [emoji41]
 
Nyie manyangau Al shabab si iko mbali huko uarabuni tena ni migambo tu mmetumia saa moja tu
Al shabaab sio nchi, ni vijana wanaongozwa na mzuka wa dini lenu na kujilipua mabomu, ila Ukraine ni kataifa kadogo ukilinganisha na Urusi na kameshindikana, licha ya kuwa kapo mpakani hapo, kamefyeka misafara ya Urusi.
 
We kweli kiazi mbatata haswa, hivi kuna aina ngapi ya mafuta ya kujipaka? Ingredients kwenye kila kopo zinafanana? Unataka aeleze kila kopo? Halafu Mkiambiwa hamna akili mnanuna [emoji23]
Kaka achana na hawa watoto [emoji41], usiku umeenda huu. Hiyo issue isiwe mada mkatoka nje ya kusudio la uzi.

Mada hasa ni mgogoro wa Urusi na Ukraine.

Hawa madogo achaneni nao, wako low mno.
Unakamata kopo limepigwa caution kubwa tu inakwambia for external Use only... Mengine utakuta maneno ya ziada yanakwambia Avoid Contact with Eyes en so...

Ukisogea kwenye Ingredients unakutana na Aqua, Glycerine, Carbomer, Sodium Hydroxide, Titanium Dioxide, Iron Oxide, Mara Benzyl Alcohol, Methyl Chloroisothiazolinone na majina mengine magum kama mitishamba. Na kila kopo lina composition yake. Nimweleze effect ya kila nukta kwenye kila kopo hapo ananilipa sh ngapi?

Ok thread sio ya hizo issue tunaamua kuyapupusa juu juu mtu anachukulia huelewi kitu kwamba story za kwenye gahawa kwani kuna mashindano ya kujua kitu hapa nilazimishe kua najua [emoji847]... nop hicho kitu sijajaaliwa wala league ya mabishano huo mda sina.

Hiyo Sodium Hydroxide tu pekee kwenye list hiyo inajulikana kwa wanayoijua kua ni Corrosive, imejazana kwenye vipodozi vya madada zetu, kiasi hadi manufacturer anatoa Caution kwamba for external use only mtu anaona aaaa kawaida tu kutonawa mikono vizuri hata ikiwa contaminated kwenye chakula chako mwili unafanya kazi kivingine ha ha ha ahya bn.

Tuendele ku'assume ni story ya vijiweni hazina maana vile vile tuendelee na mada ya Ukraine Vs Russia.
 
Mawazo kama hayo ya Bill Gates ndio yaliyomfanya akaibuka na Microsoft unayoitumia kuposti conspiracy theories zako hapa, wewe ukilala ukiamka unawaza ushoga na mafuta mgando ya kujipaka uliyomeza kwa sababu hukunawa mikono na maji ya moto.
Duh [emoji848]

Hapa navuta picha kwa sauti ya ngaboru kwamba unajitoa kimaso maso kuokoa sampuli za watu kama hii "wasted sperm" a.k.a Yoda [emoji23][emoji23][emoji23]

Aaaah Happana kwa kweli [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kaka achana na hawa watoto [emoji41], usiku umeenda huu. Hiyo issue isiwe mada mkatoka nje ya kusudio la uzi.

Mada hasa ni mgogoro wa Urusi na Ukraine.

Hawa madogo achaneni nao, wako low mno.
Unakamata kopo limepigwa caution kubwa tu inakwambia for external Use only... Mengine utakuta maneno ya ziada yanakwambia Avoid Contact with Eyes en so...

Ukisogea kwenye Ingredients unakutana na Aqua, Glycerine, Carbomer, Sodium Hydroxide, Titanium Dioxide, Iron Oxide, Mara Benzyl Alcohol, Methyl Chloroisothiazolinone na majina mengine magum kama mitishamba. Na kila kopo lina composition yake. Nimweleze effect ya kila nukta kwenye kila kopo hapo ananilipa sh ngapi?

Ok thread sio ya hizo issue tunaamua kuyapupusa juu juu mtu anachukulia huelewi kitu kwamba story za kwenye gahawa kwani kuna mashindano ya kujua kitu hapa nilazimishe kua najua [emoji847]... nop hicho kitu sijajaaliwa wala league ya mabishano huo mda sina.

Hiyo Sodium Hydroxide tu pekee kwenye list hiyo inajulikana kwa wanayoijua kua ni Corrosive, imejazana kwenye vipodozi vya madada zetu, kiasi hadi manufacturer anatoa Caution kwamba for external use only mtu anaona aaaa kawaida tu kutonawa mikono vizuri hata ikiwa contaminated kwenye chakula chako mwili unafanya kazi kivingine ha ha ha ahya bn.

Tuendele ku'assume ni story ya vijiweni hazina maana tuendelee na mada ya Ukraine Vs Russia.

Babeki sijui nicomment nini hapo, au basi tu subiri nilale [emoji23][emoji23][emoji23].

Kuna hiyo sijui methyl ninininiiiiii nimeisoma hadi macho yanauma.
 
Ha ha ha mdau vipi mdau, anyway sorry nimepitiwa. Hiyo lugha nilikua naikwepa toka awali kwasababu hapa tupo watu tofauti wenye background tofauti pia ya elim. Hata level pia ya elim tunapishana vile vile ndio maana kule nilitumia lugha nyepesi hadi kutoa mfano wa vyombo ili hata kwa mtu ambaye sio field yake basi tuweze kuelewana.

Ok tuikaushie hii mada sasa turudi kwenye lengo la uzi [emoji41]
 
Duh [emoji848]

Hapa navuta picha kwa sauti ya ngaboru kwamba unajitoa kimaso maso kuokoa sampuli za watu kama hii "wasted sperm" a.k.a Yoda [emoji23][emoji23][emoji23]

Aaaah Happana kwa kweli [emoji119][emoji119][emoji119]
Galip Vrl alisema tuwaache wale wanenepe wezere mjini msingi kiuno.
Me na ke wote wanadanga sijui huku manguanjuki kutajengwa na nani?
2800s uko watasoma zama za kina baba mama (sio baba na mama) n baba mama.
Watupumzishe jamani ila kuna kitu nimenote sisi huku tuko chini ya mwamvuli wa US/nato direct .
Tangazo la huko linatufikia sisi nalina iffect accordingly hapa ndio namkubali Hon Kim Jong Un kama mfano ajaruhusu huu ufala wa uhuru wa vya habari especially international maana vinaintefia mambo ya ndani ya nchi.
Aisee poleni viongozi wetu mnachoka mambo ni mengi Russia katuonesha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom