Mh Mdau mengine hayaelezeki, wahuni wanasema
the less you know the safer you are!... Kwa kua kila nafsi itaonja umauti basi tuendelee kutafuna ugali tu siku ziende.
Mind you, hii ni issue nje ya swali thou kama unaweza kuunganisha dot kukifatilia basi kuna mengi huenda ukayafaham baadae.
Unajua kua Taasisi ya Bill Gate hapo mwanzo ilikuwa ikiitwa
Bill and Melinda Gates Institute of Population Control? Now wanajiita
Bill and Melinda Gates Foundation.. Unahisi walibadilisha jina hadi dhumuni la taasisi au walibadilisha jina tu huku dhumuni likiwa palepale? Sikiliza hiyo video vizuri
View attachment 2249467
Swali lingine hapo hapo, unamjua mfadhili mkubwa wa WHO? ni Bill Gate, the same Man with that Vision ndio mfadhili mkuu wa Taasisi ya Afya Duniani. Ambae hana background ya Taaluma ya Afya ila ndio mshauri mkubwa wa hiyo Taasisi.
Its the same man, ambae ni world largest investor kwenye makampuni ya chanjo haishtui ubongo kuwaza kuna nini?, Je wafaham during Pandemic katika makampuni yaliyoongoza kwa high Gross Profit ni haya ya Vaccine?
Unamkumbuka aliyesema kua Africa inabidi wajaribiwe hizo chanjo? Ulishawahi kujiuliza why always Africa Vaccine za kila sampuli zinapishana? Kwani miaka ya nyuma huko waliishije huku Africa?
Hizi issue huwa nataman kuanzisha uzi kila siku tuwe tunaambizana mawili matatu juu ya dunia yetu kwenye kurasa ambazo hazitizamwi na watu wengi.
Kuna baadhi ya mambo hatuna uwezo ya kuyabadilisha kwa sasa lakini kuyajua I think ni vizuri zaidi.
Wakati kwa wengi inaonekana zote ni Conspiracies ila kimya kimya wenye ajenda zao hizo hizo zinazoitwa Conspiracy wanaendelea na shughul zao as usual.
Ee mdau 😂, anajiita hivo mkuu!
Mbona kawaida mdau, familia yako we na wanao si mnatumia Whitedent ama Colgate? Je ulishaisoma Contents au huwa unaswaki swaki tu 😂🤔...
View attachment 2249510
Je mwanao huwa anatema au anameza? Bila shaka mara moja moja huwa anameza nyakati ambazo anaswaki bila usimamizi wako, Je Unajua ambacho huwa anakimeza?
View attachment 2249493
Huwa unajiuliza kwanini baadhi ya Madaktari walio wengi nje ya mfumo huwa wanapingana sana na hawa waliopo ndani ya mfumo? He he he 😆
Anyway usiyatile sana maanani maana unaweza kuogopa hadi mafuta unayojipaka 😂 tuachane nayo hayo iturudi kwenye Issue ya Ukraine vs Russia.
a