Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nahuu ndio ukweli
RUSSIA sio ZIMBABWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alitangaza lini na wapi!!!??
Mwisho lazma ufikiwe hakuna nanna na RUSSIA ndio mshindi
Maana mpaka sasa tayar kaishashinda bado dkika 90 tu kumalizika!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 


⚔️⚔️⚔️Now there is a massive video and photo of the arrival of Russian tanks in the Kherson region.
Tanks are moving both in the direction of Nikolaev and Krivoy Rog. It is difficult to estimate their number, but the armored vehicles have not stopped moving for the third day, day and night, most likely the Russian troops are preparing something big⚔️⚔️⚔️
 
Kitu pekee kinachowashinda west kuamua kuiacha Ukraine ni wanaona aibu kuwa wamezidiwa na urusi lakini ukweli jamaa wanatamani kutoka kwenye huo mgogoro hata leo
Kabisaa
Ila jamaa wanaona wakikimbia ndio rasmi ule uteja walio wajaza watu hasa kule AFRIKA unaenda kutoweka jumla jamala
Western wanatakiwa wakazane sana ingawaje wanaumia sanaa na wakikubali matokeo basi imekula kwao
NATO hawana umoja kiasi kwamba imeonesha hata ingekua vita yamoja kwamoja na RUSSIA wangegeukana
EU hawa ndio wajinga kabisaa hawajitambui wanafanya kipi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Does not change.....!!!?
Proved

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ushaonesha sosi yako[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapeleke mzigo mwengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…