Chanzo kupanda bei unga wa ngano,mafuta ya kula na mbolea nchini Tanzania na nchi nyingi za Afrika ni dikteta Putin kuzuia meli kutumia bandari za Ukraine kupakia mizigo. Ukraine inayo akiba kubwa ya ngano,mafuta ya kula na mbolea. Pro Russia mtu wenu amewaacha kwenye mataa.
Russian President
Vladimir Putin continues his war on Ukraine. Russia is now blockading Ukraine’s Black Sea ports, which prevents upwards of
25 million tons of grain and other agricultural goods from delivery to international markets.