Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,383
- 3,258
Tutolee Ujinga wako hapaChanzo kupanda bei unga wa ngano,mafuta ya kula na mbolea nchini Tanzania na nchi nyingi za Afrika ni dikteta Putin kuzuia meli kutumia bandari za Ukraine kupakia mizigo. Ukraine inayo akiba kubwa ya ngano,mafuta ya kula na mbolea. Pro Russia mtu wenu amewaacha kwenye mataa.
Russian President Vladimir Putin continues his war on Ukraine. Russia is now blockading Ukraine’s Black Sea ports, which prevents upwards of 25 million tons of grain and other agricultural goods from delivery to international markets.
Mwaka huu Nina alzeti nyingi Sana , naomba Russia aendelee kukaza kamba Ili niwapige bei mbaya ya mafuta ninyi wavivu wa kulima mnaobakia kupiga kelele humu bila kufanya kazi usiku na mchana mkitetea gays.Chanzo kupanda bei unga wa ngano,mafuta ya kula na mbolea nchini Tanzania na nchi nyingi za Afrika ni dikteta Putin kuzuia meli kutumia bandari za Ukraine kupakia mizigo. Ukraine inayo akiba kubwa ya ngano,mafuta ya kula na mbolea. Pro Russia mtu wenu amewaacha kwenye mataa.
Russian President Vladimir Putin continues his war on Ukraine. Russia is now blockading Ukraine’s Black Sea ports, which prevents upwards of 25 million tons of grain and other agricultural goods from delivery to international markets.
Profitless move for that matter.Hii imeonesha Wapi Africa wameamua kujiweka. We took side finally.
Unawaombea njaa ndugu zako watanzania?Mahaba mengine ni weandazimu kweli.Kufeni njaa[emoji23][emoji23][emoji23]
kwanza RUSSIA maskini tu hana msaada wowote hapa DUNIANI
RUSSIA sio ZIMBABWE
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wote wavivu ila wakulima tu? Huna akili wewe.Mwaka huu Nina alzeti nyingi Sana , naomba Russia aendelee kukaza kamba Ili niwapige bei mbaya ya mafuta ninyi wavivu wa kulima mnaobakia kupiga kelele humu bila kufanya kazi usiku na mchana mkitetea gays.
Hamtakufa MKUU rafki zenu US nashost zake watawaletea misaada!!!!!Unawaombea njaa ndugu zako watanzania?Mahaba mengine ni weandazimu kweli.
Sooner or later hivi vita vitapigwa ndani ya Urusi. Waastarabu wamemstahi sana Putin.Leo juma pili tumeanza kupiga kieve
Afrika imezawadiwa photo opp.(fursa ya kupiga picha na dikteta),kilio mwenyekiti AU amerudi mikono mitupu 🙂
Huyo alisema hayo maneno ni Mwijaku wa Ulaya.Aisee kazi ipo sema haina mshaara.
Pro nato mnamsifu dogo anaakili mingi oneni wenzenu wanavyosema. Huwezi kuta chizi akamkashifu mwenzie kuwa ni chizi na kinyume chake.
Dah, Putin ananiboa Sana, kwanini asimpe ukuu wa Majeshi Huyu kichaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji635][emoji635][emoji123]