Kwani si UKRAINE wanadai wanajeshi wao hawajauawa.
Russia anatelekeza vifaa vyake vya kijeshi makusudi ili waasi waliopo ndani ya ukraine wajisevie, baada ya hii opareshem ukrain haiwez tena tawalika kwa sabab kutakuwa na silaha chungu mzima mtaaan. Pia anapunguza stockpiles ya vifaa vya zaman maana urus kumejaa zana nyingi za zaman nafasi hakuna tena
Ushaanza yale mambo ya kuhalalisha Jambo baya kwa jambo baya.kwa hiyo wewe paka akipigwa unaumia na Baloteli akirushiwa ndizi unafurahi
Duuh em amka usingizini acha kuota ndoto za ajabu kama izo aiseeRussia anatelekeza vifaa vyake vya kijeshi makusudi ili waasi waliopo ndani ya ukraine wajisevie, baada ya hii opareshem ukrain haiwez tena tawalika kwa sabab kutakuwa na silaha chungu mzima mtaaan. Pia anapunguza stockpiles ya vifaa vya zaman maana urus kumejaa zana nyingi za zaman nafasi hakuna tena
Ya kutorokea
wanaandamana moscow huko....
Afu mbona wamekaa mbali
sourceAseee mliokuwa mnaomba Russia awaonyeshe power aliyonayo.
Kaanza Now, Aloooh Tuombee Waafrica wenzetu walioko huko.
Sina mda na Neo Nazis watajuana wenyewe.
⚡️ Massive explosion next to Kharkov govt HQ (social media reports)
Unverified footage appears to show a projectile striking Kharkov and reportedly causing significant damage to the local government headquarters.
View attachment 2134898
Wewe jamaa hueleweki upo upande wa nani,,sasaiv ushakubali nchi za ulaya zitampigia magoti puttin.mbona zipo tayari akila belarus hao
Unatuletea habari za ITV na Ufoo Saloo una akili wewe
Hizi zilikuwa zinaingia Ukraine kutokea Belarus usiku wa kuamkia leoAseee mliokuwa mnaomba Russia awaonyeshe power aliyonayo.
Kaanza Now, Aloooh Tuombee Waafrica wenzetu walioko huko.
Sina mda na Neo Nazis watajuana wenyewe.
Aseee mliokuwa mnaomba Russia awaonyeshe power aliyonayo.
Kaanza Now, Aloooh Tuombee Waafrica wenzetu walioko huko.
Sina mda na Neo Nazis watajuana wenyewe.