LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Russia anatelekeza vifaa vyake vya kijeshi makusudi ili waasi waliopo ndani ya ukraine wajisevie, baada ya hii opareshem ukrain haiwez tena tawalika kwa sabab kutakuwa na silaha chungu mzima mtaaan. Pia anapunguza stockpiles ya vifaa vya zaman maana urus kumejaa zana nyingi za zaman nafasi hakuna tena
 
Naona Ukraine kuwa Taliban hatar
 
kwa hiyo wewe paka akipigwa unaumia na Baloteli akirushiwa ndizi unafurahi
Ushaanza yale mambo ya kuhalalisha Jambo baya kwa jambo baya.

Paka akipigwa si sawa na Baloteli kurushiwa ndizi sawa. Au ulitaka paka kupigwa iwe sahihi sababu Baloteli alirushiwa ndizi?
 
Russia anatelekeza vifaa vyake vya kijeshi makusudi ili waasi waliopo ndani ya ukraine wajisevie, baada ya hii opareshem ukrain haiwez tena tawalika kwa sabab kutakuwa na silaha chungu mzima mtaaan. Pia anapunguza stockpiles ya vifaa vya zaman maana urus kumejaa zana nyingi za zaman nafasi hakuna tena
Duuh em amka usingizini acha kuota ndoto za ajabu kama izo aisee
 
Rais wa Ukrain ameiomba Marekani kufanya mchakato wa kukomesha urukaji wa ndege ktk anga la Ukraine (No-fly zone) ili kuyastopisha mashambulizi ya anga yanayoendelea kutekelezwa na majeshi ya Russia.

Ombi hilo limekataliwa na Ikulu ya Marekani ikisema kuwa haifikirii kufanya kitu kama hicho kwani kufanya hivyo kutaiingiza Marekani ktk vita na Russia, jambo ambalo Marekani wanajitahidi kwa namna zote kuepuka.
=====

SmartSelect_20220301-103136_Chrome.jpg
 
Google Disabling Maps in Ukraine which can be used to Track Troops

The Maps’ live traffic feature which flags congestion and road conditions has been disabled in Ukraine, as Russian and Ukrainian authorities may be able to track each others’ movements. (New York Post)
 
⚡️ Massive explosion next to Kharkov govt HQ (social media reports)

Unverified footage appears to show a projectile striking Kharkov and reportedly causing significant damage to the local government headquarters.
 
Aseee mliokuwa mnaomba Russia awaonyeshe power aliyonayo.
Kaanza Now, Aloooh Tuombee Waafrica wenzetu walioko huko.
Sina mda na Neo Nazis watajuana wenyewe.
Hizi zilikuwa zinaingia Ukraine kutokea Belarus usiku wa kuamkia leo
 
Back
Top Bottom