Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Hawa pro NATO wajinga Sana,wanadhani Putin aliandaa ule mkutano wa CSTO kupiga selfie [emoji1702]?
We jamaa ulielewa sana Theories ila upande wa facts ulifeli practically.Taliban wanalima Opium, na wakati wa vita uzalishaji wa Opium Afghanistan uliongezeka mara 30. Wewe na wenzako hamjui biashara ya dawa za kulevya ilivyo ngumu kuizuia kwa sababu mna akili ndogo. Pia fahamu Majeshi ya Marekani hayakuwa kila mahali Afghanistan, katika vijiji na milima Taliban wameendelea kuwepo muda wote.
Halafu mbona hushangai Tanzania bangi inalimwa au Mexico Cocaine inazalishwa na zote ni nchi zenye amani na serikali zenye vyombo vyote vya dola vinavyofanya kazi??
Kama mbwai na iwe mbwai... Putin kashawekwa mtu katiHivi rais wenu alisema atazifanya nini nchi zinazotoa misaada!View attachment 2251865
Aseee ulitaka kusema imeongezeka 30% au kama ulivyoandika mara 30!!?? Una kichwa kimebeba kamasi hauna ubongo humo ...Taliban wanalima Opium, na wakati wa vita uzalishaji wa Opium Afghanistan uliongezeka mara 30. Wewe na wenzako hamjui biashara ya dawa za kulevya ilivyo ngumu kuizuia kwa sababu mna akili ndogo. Pia fahamu Majeshi ya Marekani hayakuwa kila mahali Afghanistan, katika vijiji na milima Taliban wameendelea kuwepo muda wote.
Halafu mbona hushangai Tanzania bangi inalimwa au Mexico Cocaine inazalishwa na zote ni nchi zenye amani na serikali zenye vyombo vyote vya dola vinavyofanya kazi??
Topics za kina Pro NATOView attachment 2251611
Mariupol itajengwa na Urusi, usijali mkuu[emoji38][emoji38][emoji635][emoji635]
Inashangaza kwa kweli unknown sponsor kwa technology tuliyonayo kwa sasa inashangazasidhan kama angetulia.katika nchi balaa dunian kwa kuwa na local spies ni hao u.s na rusia . tena Russia walitoa takwm 2002 alikua ana aina flan ha watu wanaitw sleepers agemt United stests zaid ya 200,000 kwanasaba hio us angejua tu kama twaliban.wanalima sabab anapata news kwa assets wao.waliopo pale nafikr kuna sponsor unknown
Moja ya mambo ambayo NATO aliahidi ni kutoa misaada, je misaada haitolewi?Mnahamisha magoli Kila siku.
1)"safari hii wanamsubiri aipige Ukraine TU,ndio atajua NATO ni nani"
NATO -Russia akivamia ukraine atajibiwa kikamilifu.
Russia kavamia,akajibiwa kwa vikwazo.
2)hii ya Leo kutoka kwako"tuanataka hata nzi aliepo kwenye ardhi ya NATO aguswe ili uwe mwisho wa dictator"
Sasa nasema endeleeni kupeleka silaha zitakazo fika Moscow ndio mtajua kama Urusi anatania.
By the way unajua NATO wakiingia unadhani Urusi atapigana peke yake?
Nakuhakikishia east nao wamejipanga,jaribuni TU kuingiza majeshi muone Kama china,Korea Kaskazini,Iran,nchi za west ya Urusi zilizokua zamani sehemu ya USSR kama nazo hazijaingia mzigoni.
NATO wanalijua hilo.
Hakuna mtanzania ambae hasaidiwi na hao watu either directly or indirectly.. serikal yako yenyewe iko pamoja nao."Na sisi NATO!" How stupid,mtu upo Tanzania halafu unasema "Na sisi NATO!!!!????."Yes,hawa ndio Watanzania,tena anaji-align na organization ya kipepo kabisa.Mmm!
Tunaweza kuona aliposemea hizo siku tatuMrusi hataki tu kutangaza kua ni vita eti operation,mbona alisema itachukua muda wa siku 3 Sasa miezi mitatu plus,mbona alikua anaelekea kuteka Kiev akarud nyuma,au operation yao ni kupindua serikali ya Ukraine?Mimi nakwambia muda ndio utakaoongea tutaonda mwisho wa Russia kwenye haya mapambano
[emoji137]Nikiripoti kutoka Mariupol mimi ni Saint Anne wa Jamii Foram
Hi ni statement ya mtu aliyekata tamaa na kufurahia misaada.....Yaani unyama, ushenzi na ubaya wote wa nchi za magharibi eti bado Kuna watu (kama wewe) wanawapenda 'wahuni' na washenzi wa dunia?! Elimu gani waliyotoa Kama siyo elimu ya kujiona wewe ni mnyonge na kumtukuza huyo mzungu...elimu ya kusema mlima Kilimanjaro ulivumbuliwa na mzungu...duh...tumekwisha Kama nchi...Hakuna mtanzania ambae hasaidiwi na hao watu either directly or indirectly.. serikal yako yenyewe iko pamoja nao.
Kama unabisha muulize makonda, alivyokanwa.
Kuanzia elimu mpaka afya yako unawategemea wao, mnajitia jeuri tu but deep down mnajua
Aseee ulitaka kusema imeongezeka 30% au kama ulivyoandika mara 30!!?? Una kichwa kimebeba kamasi hauna ubongo humo ...
Dah[emoji298]️ Russia Downs Ukrainian Military Plane Transporting Weapons
The Defense Ministry reported Saturday that Russian forces shot down the plane not far from the Black Sea port city.
The Ministry of Defense also said missiles struck an artillery training center in the Sumy region with another strike destroying a “foreign mercenaries” outpost near Odessa.
Sounds: Reuters.
Hivi jamaa angu tuache tu bias, hivi kitendo cha NATO kuwapa Ukraine silaha siyo kushiriki vita?
Na Kama Russia atashinda, ujue nchi za NATO zote zitakuwa zimeelewa kuwa hazina cha kuizidi Russia kijeshi.
Hii vita ni Russia Vs NATO ila wote wapo away ground huko Ukraine