Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,700
Wamemchoka mapema saana[emoji845][emoji1126][emoji1255]Speaker of the Parliament of the National Assembly of Hungary Laszlo Kever said that Volodomyr Zelensky has a mental problems[emoji845]
Wamemchoka mapema saana[emoji845][emoji1126][emoji1255]Speaker of the Parliament of the National Assembly of Hungary Laszlo Kever said that Volodomyr Zelensky has a mental problems[emoji845]
Huwezi kutofautiasha kati ya mara 30 na 30% wewe kilaza??
Uzalishaji wa Opium Afghanistan chini ya Taliban miaka 20 iliyopita umeongezeka MARA 30. Kama bado hujaelewa tafuta mtoto aaliza darasa la saba akueleweshe maana ya "mara" kwenye hisabati.
Safi saanaNi wapi alibainisha kuwa ni siku3 tu? Pia tambua Kiev alienda kudhoofisha vyanzo vya support za Silaha za Ukraine na alifanikiwa na Kisha akatoka. Vita ni plan, wewe usitake kujua mipango yetu Wana-Russia.
Ili kushinda vita ni mhimu kuharibu miundombinu ya siraha za adui. Kama vile Viwanda, bases na mifumo mingine kadri itakavyo gundurika
Hivi sio Vita yao, ni Vita kati ya Ukraine na Urusi.
Nouma saanaRussia imevunja ukimya wa Kyiv kwa kuipelekea moto mkali Kyiv uliochoma vifaru na magarivita vilivyokuwa vimetolewa msaada na Marekani pamoja na nchi nyingine za kimagharibi
View attachment 2251172
Hivi jamaa angu tuache tu bias, hivi kitendo cha NATO kuwapa Ukraine silaha siyo kushiriki vita?
Na Kama Russia atashinda, ujue nchi za NATO zote zitakuwa zimeelewa kuwa hazina cha kuizidi Russia kijeshi.
Hii vita ni Russia Vs NATO ila wote wapo away ground huko Ukraine
Hi ni statement ya mtu aliyekata tamaa na kufurahia misaada.....Yaani unyama, ushenzi na ubaya wote wa nchi za magharibi eti bado Kuna watu (kama wewe) wanawapenda 'wahuni' na washenzi wa dunia?! Elimu gani waliyotoa Kama siyo elimu ya kujiona wewe ni mnyonge na kumtukuza huyo mzungu...elimu ya kusema mlima Kilimanjaro ulivumbuliwa na mzungu...duh...tumekwisha Kama nchi...
View attachment 2252207View attachment 2252208View attachment 2252209
Ulivyo mwehu .. unajiona jinsi ulivyo mpumbavu !!?? Hiyo ndio ongezeko mara 30 !!??
"Na sisi NATO!" How stupid,mtu upo Tanzania halafu unasema "Na sisi NATO!!!!????."Yes,hawa ndio Watanzania,tena anaji-align na organization ya kipepo kabisa.Mmm!