LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kina Bhachchan (wahindi) wamewaomba raia wao wote waliopo Kyiv kuondoka mji huo, hali ni mbaya sana leo. Yaani Putin anawapelekea moto mkali mnooo!

 
Ukimkosea mkubwa wako unapigwa tu, just that. Putin is a strong man, he's made Russia a very strong nation. Hata huyo mmarekani na unable wake hawezi pigana na mrusi bila allies wake, manake lazima aungwe mkono na Germany, France na UK ndio alianzishe.
 
Mmmm eti kiusalama kwa lipi hasa ?
 
Wameshaketi pande zote mbili kikao tujadiliana na vita imeshasimama kwahy muda wowote vita inaisha
 
Kama iraq walisingizia kuwa na silaha za nyuklia na wakapigwa

Ukraini nae tunamsingizia kibri kwa mkubwa wake acha achakazwe kwanza suala la sababu litakuja jadiliwa baada ya kichapo
 
Dogo kazidi jeuri kwa kaka so acha kwanza apewe adhabu, akili imkae sawa..!
 
Hajamaliza kazi tu Putin? Bado yu ngali apiga?
 
Mkuu kwa vile mataifa makubwa na yenye nguvu yaliingia mkataba wa kusitisha utengenezaji wa silaha za nyuklia. Basi usitarajie au kufikiri kuwa Marekani na washirika wake hawakutengeneza tena (kinyemela) silaha hizo. Mmarekani sio mjinga wa kukubali kushindwa silaha hizo na Urusi, ni lazima atakuwa na zingine ambazo idadi yake wanajua wenyewe. Ila pia hata Urusi analijua hilo, kwahiyo huenda na yeye anatengeneza zingine kimya kimya. Nnachomaanisha hapa ni kwamba hizi taarifa kuhusu silaha hizo ni za kisiri zaidi, kilichofanyika hapo ni kila mmoja kuilisha matango pori dunia, ila uhalisia wanaujua wenyewe.
 
Waziri wa mambo ya nje wa Russia amesema nchi yake sasa inataka kuwajua marafiki zake wa kweli.
Amesema Ulaya ni Himaya ya Waongo wanaounga mkono Unazi mamboleo huko Ukraine.

Hali inazidi kuwa tete.

Sidhani Afrika kama tunahusika na huo utambuzi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…