Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja kwanza kuna watu walileta dherewi eti urusi mchovu ngoja kwanza wapigwe pigwe tutawaombea watangulie salamaTuombe kuna hali ya hatari sana huko
Mmmm eti kiusalama kwa lipi hasa ?Lengo kubwa ni sababu za kiusalama kwa Russia,
lkn pia ikumbukwe kuwa hawa jamaa hawajakurupuka tu na kuanza kushamburia au kuingia kijeshi Russia ni moja kati ya nchi kubwa na zilizo endelea kitechnology hivyo wameweza kutambua mipango kabla haijatekelezwa
Source???Wameshaketi pande zote mbili kikao tujadiliana na vita imeshasimama kwahy muda wowote vita inaisha
Wakati we una type hapa kuandika ila jua kuna watu hawalali wapo kwenye rada mda wote kusoma htr zinazoweza kujitokeza anytime katika raifa ili usiendelee kufanya shughuli zako.Mmmm eti kiusalama kwa lipi hasa ?
ebu piga picha tukuone kama upo mkutanoniWameshaketi pande zote mbili kikao tujadiliana na vita imeshasimama kwahy muda wowote vita inaisha
Mkuu kwa vile mataifa makubwa na yenye nguvu yaliingia mkataba wa kusitisha utengenezaji wa silaha za nyuklia. Basi usitarajie au kufikiri kuwa Marekani na washirika wake hawakutengeneza tena (kinyemela) silaha hizo. Mmarekani sio mjinga wa kukubali kushindwa silaha hizo na Urusi, ni lazima atakuwa na zingine ambazo idadi yake wanajua wenyewe. Ila pia hata Urusi analijua hilo, kwahiyo huenda na yeye anatengeneza zingine kimya kimya. Nnachomaanisha hapa ni kwamba hizi taarifa kuhusu silaha hizo ni za kisiri zaidi, kilichofanyika hapo ni kila mmoja kuilisha matango pori dunia, ila uhalisia wanaujua wenyewe.Yes
Duuuh acheni ushabika wa maandazi basi tufanye comparison ya nuclear warheads baina ya nato versus russia
Russia ana nuclear war heads 6255
Usa 5558
Ufaransa 290
Uk 230
Israel 90
Yaan ukichukulia idadi yote ya nuclear aliyonayo mrusi kwa kulinganisha na nato na washirika bado kawazid parefu tu.
Tukisema tuweke na wachina hapo na north korea basi nato wanapigwa mchana kweupe.
Kuna wafuasi humu tumewasikia kuwa eti georgia ilimpiga urusi daah.kwanza tulale zetu maana tunakumbuka kisago kilichotembezwa mpaka nchi ya georgia ikapoteza majimbo yake mawili