Kuna vitu vinachanganya inakuwaje Ukraine ambaye ana shida ya silaha kiasi hika aweze kuua watu wengi wa Russia kiasi hicho kuliko wanavyouliwa Ukraine hebu kaka tueleweshe vizuriSasa wanajeshi wa Russia karibu elfu 27 wameuliwa na majenerali wao zaidi ya 25 wamekwenda na maji unakuja kujenga hoja kwa mwanajeshi 1 aliomba mwenyewe kuisaidia Ukraine? Ivi Putini amewalisha nini nyinyi proPutin? Je unajua yeye ameshawauwa warusi wangapi? maana operation inaingia mwezi wa 5 sasa.,
Media za Mchongo...MaBaada ya misaada yote aliyopewa kuangukia kwenye mikono ya askari wa urusi 🇷🇺🇷🇺😂😀lakn BIBISiI hamkutupasha juu ya uharibifu wa silaha uliofanywa na wanaume wa Urusi
Ok ebu weka upro pembeni halipwi mtu apaUrusi imeshashinda vita nini, maana badala ya habari za vita sasa vinakuja vipeperushi vya ngono.
Ukraine ni mtaalamu wa vita mkuu historia ya ukrean ni ndefu sana tofauti na udogo wa nchi yake ukilinganisha na Russia., warusi wanauliwa kwa technique tu, kwa mfano juzi pale kwenye ule mto wa kukatiza karibu askari elfu1 wa russia wameenda na maji., kwenye madaraja., ukreanie ile vita inapiganwa kwenye nchi yao wanajua maeneo ya kujitega na kujua adui atakuja upande ganiKuna vitu vinachanganya inakuwaje Ukraine ambaye ana shida ya silaha kiasi hika aweze kuua watu wengi wa Russia kiasi hicho kuliko wanavyouliwa Ukraine hebu kaka tueleweshe vizuri
Nipo TayariUpo Tayari tuanze kujadiliana kuhusu Technology ya Navigation?
Nadhani umechukua Random search in Google.
Tunaanza kama ifuatanvyo kisha nitakuletea baadae source:
Aise acha ninyamazeUkraine ni mtaalamu wa vita mkuu historia ya ukrean ni ndefu sana tofauti na udogo wa nchi yake ukilinganisha na Russia., warusi wanauliwa kwa technique tu, kwa mfano juzi pale kwenye ule mto wa kukatiza karibu askari elfu1 wa russia wameenda na maji., kwenye madaraja., ukreanie ile vita inapiganwa kwenye nchi yao wanajua maeneo ya kujitega na kujua adui atakuja upande gani
Kwa mfano ule mji wa Soverodonetisk ambao russia walitangaza kuudhibiti kumbe ukaraine walifanya kitu kinaitwa kaunta attack wakawaua russia kibao ambao walishabweteka mji wameuteka, mji wa Khakiv ivyo ivyo mbona maiti za russia zimezagaa ukrean
Silaha ndio inabidi wasaidiwe na wanajua kuzitumia vizuri, wewe angalia mfano mwengine Russia walipovamia waliingia Ukraine na msururu mrefu sana wa vifaru, jiulize vile vifaru viliishia wapi mpaka Urusi wakalazimika kupiga long range bombs kutoka masafa ya mbali (black sea)? na sasa ndivyo wanavyopigana russia ni bombs wana target.
Kuna silaha walipewa Ukraine na marekani inaitwa na Stinger na Javeline, hizi silaha mkuu ndio ziliangamiza majeshi ya russia wengi sana., vifaru vilivyochakazwa ni kama chicha pale Kyiv juz naangalia watoto wanapiganavyo picha za kumbukumbu masalia yake., ni silaha unaweka begani tu lakini inapiga umbali wa 16km
Mkuu unaweza kushika kisu ukachomwa nacho
Umeona mbali Sana.Kuomba poo hawa wanaenda kumtuliza Zele . Watampa ukweli mchungu aachane na Biden
👏👏👏👏👏👏🤝🤝Saaana shangazi, ukimwaga mboga wanamwaga ugali na ukizidisha chunvi wenzio wanazidisha pilipili. Huh damn na hii ni exclusive kwa Rafiki wa Russia tu.
Kijana samahani kidogo kama nitakukwaza,Hivi wewe siyo HUMPHREY POLEPOLE wewe?Sorry for the pic, but hicho watoto wanafundishwa mashuleni. They call it sex education kwenye Taifa flani hata nisipolitaja tayari mmeshalijua. Nyie wenzetu mnashabikiaje Taifa kama hili kuwa kiranja wenu?
View attachment 2259439
View attachment 2259452
View attachment 2259459
View attachment 2259460
What's more interesting ni post kutoka NYS(New York State) Education Department... Hashtag juu eti #ReadAcrossAmerica View attachment 2259462
Na zile taasisi zinazojiita Freedom Movement...
View attachment 2259464
Really? Tunaelekewa wapi sasa? Oh do you guys mnakumbuka kile kitabu kilichokua kinasema "Winter Is Coming, Putin and Enemies of Free world should be stopped"
Mnaiona "Free world" inavyofanana???????????
unaoneshwa wanajeshi watatu , halaf unataka kuhukumu waingereza woteWale waengereza wawili waliokamatwa wanapigana upwnde wa Ukraine wanataka kuhukumiwa kunyongwa nchini Urusi, huyu mwamba nae kasikiliza propaganda kaenda kupigana kakutana na wahuni wamemla kichwa, still mijitu haijifunzi kutokana na history, NAZI'S hawatopata nafasi nchini Ukraine yaaani Urusi anachowafanya Nazis itakua history
Dah Russia sio nchi ya mchezomchezo kumbe,The US could face a shutdown of nuclear reactors if Russia cuts off supplies of enriched uranium, reports The Hill.
The publication clarifies that many reactors in Europe and the United States are manufactured and completed in Russia. If the conflict is not resolved soon, then many nuclear power plants in the West will have to be stopped.
The article notes that with such a development of events in the United States, there may not be enough capacity for consumer demand for electricity.
Previously, experts have already noted that the European Union should fear the consequences of an embargo on enriched uranium even more than an embargo on Russian oil and gas.View attachment 2259465
Dah 😂😂😂Kijana samahani kidogo kama nitakukwaza,Hivi wewe siyo HUMPHREY POLEPOLE wewe?