Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Naiona gold iliyopo kichwani kwako,dhahiri inaonekana ulikwenda shule(haukupita tu).Dah πππ
Umewaza nini mdau
Ukraine ni mtaalamu wa vita mkuu historia ya ukrean ni ndefu sana tofauti na udogo wa nchi yake ukilinganisha na Russia., warusi wanauliwa kwa technique tu, kwa mfano juzi pale kwenye ule mto wa kukatiza karibu askari elfu1 wa russia wameenda na maji., kwenye madaraja., ukreanie ile vita inapiganwa kwenye nchi yao wanajua maeneo ya kujitega na kujua adui atakuja upande gani
Kwa mfano ule mji wa Soverodonetisk ambao russia walitangaza kuudhibiti kumbe ukaraine walifanya kitu kinaitwa kaunta attack wakawaua russia kibao ambao walishabweteka mji wameuteka, mji wa Khakiv ivyo ivyo mbona maiti za russia zimezagaa ukrean
Silaha ndio inabidi wasaidiwe na wanajua kuzitumia vizuri, wewe angalia mfano mwengine Russia walipovamia waliingia Ukraine na msururu mrefu sana wa vifaru, jiulize vile vifaru viliishia wapi mpaka Urusi wakalazimika kupiga long range bombs kutoka masafa ya mbali (black sea)? na sasa ndivyo wanavyopigana russia ni bombs wana target.
Kuna silaha walipewa Ukraine na marekani inaitwa na Stinger na Javeline, hizi silaha mkuu ndio ziliangamiza majeshi ya russia wengi sana., vifaru vilivyochakazwa ni kama chicha pale Kyiv juz naangalia watoto wanapiganavyo picha za kumbukumbu masalia yake., ni silaha unaweka begani tu lakini inapiga umbali wa 16km
Mkuu unaweza kushika kisu ukachomwa nacho
Hapana mkuu, me chalii moja tu ya mtaani. Hiyo elim ya skuli ya kijinga sana katu huwa sina Gut ya kujisifia kwayo.Naiona gold iliyopo kichwani kwako,dhahiri inaonekana ulikwenda shule(haukupita tu).
Kingine mnafanana kimaudhui na POLEPOLE(ambaye mimi ninaamini) hakuna mtanzania anaweza shindana naye kwa hoja na ukamshinda
Naamini kwenye huu uzi umekuwa lecture mzuri sana na wengi wamejifunza na wanajifunza.Hapana mkuu, me chalii moja tu ya mtaani. Hiyo elim ya skuli ya kijinga sana katu huwa sina Gut ya kujisifia kwayo.
Ila ahsante kwa kunifananisha na watu wanaojielewa! Its my pleasure kusikia hivyo. It make my day!
Na I would like to take that Credit, but nadhani nyote kwa pa1(Pro-Russia only π)mko responsible for this, surrounding my self with people like you is what make me better zaidi ya jana.
Thanks!
Usiwe unabishana uwe unatoa fact.
Kumbe wewe ni mbishi tu huna lolote.
Sisi tunajadiliana hatubishani.
What a humble reply! Safi kijana badala ya kujipaisha baada ya kupewa credit umejishusha in a humble manner, ofcourse ndio sifa ya Ma-Gentleman.Hapana mkuu, me chalii moja tu ya mtaani. Hiyo elim ya skuli ya kijinga sana katu huwa sina Gut ya kujisifia kwayo.
Ila ahsante kwa kunifananisha na watu wanaojielewa! Its my pleasure kusikia hivyo. It make my day!
Na I would like to take that Credit, but nadhani nyote kwa pa1(Pro-Russia only [emoji23])mko responsible for this, surrounding my self with people like you is what make me better zaidi ya jana.
Thanks!
Hakika, Most of Pro-Russia wanautendekea haki huu uzi.Naamini kwenye huu uzi umekuwa lecture mzuri sana na wengi wamejifunza na wanajifunza.
Safi sana
Here, Russia is a dominant player. Russia owned 40% of the total uranium conversion infrastructure in the world in 2020, and 46% of the total uranium enrichment capacity in the world in 2018, according to the report. (This was the most up-to-date data publicly available, according to the report authors.)[emoji3518]πΊ[emoji1233]πΊThe United States may face the shutdown of nuclear reactors and disconnection from the consumption of many cities if Russia stops the supply of enriched uranium, The Hill reports.
Mh mambo magumu he he he hapa ndio unajiuliza kuushambulia kwao Uchumi wa Russia walikuwa na maana gani ikiwa "ukuta" wao mejiegemeza uko.The US could face a shutdown of nuclear reactors if Russia cuts off supplies of enriched uranium, reports The Hill.
The publication clarifies that many reactors in Europe and the United States are manufactured and completed in Russia. If the conflict is not resolved soon, then many nuclear power plants in the West will have to be stopped.
The article notes that with such a development of events in the United States, there may not be enough capacity for consumer demand for electricity.
Previously, experts have already noted that the European Union should fear the consequences of an embargo on enriched uranium even more than an embargo on Russian oil and gas.View attachment 2259465
Pa1 sana mkuu mtimawachiNaamini kwenye huu uzi umekuwa lecture mzuri sana na wengi wamejifunza na wanajifunza.
Safi sana
Ha ha ha faraja wewe, nani dogo. Usain Bolt jiangalie ohoo πππWhat a humble reply! Safi kijana badala ya kujipaisha baada ya kupewa credit umejishusha in a humble manner, ofcourse ndio sifa ya Ma-Gentleman.
I admire you
Dogo langu Q mwenyewe [emoji23]
Ha ha ha faraja wewe, nani dogo. Usain Bolt jiangalie ohoo [emoji23][emoji23][emoji23]
πππ[emoji23][emoji23][emoji23]
Tulia mwamba we ni dogo tu hizo ndevu zisikudanganye
Naona mchina anazidi kuchanja mbuga
Lainiiii kwishne. Ukraine pay the price. Surrender territories