jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,648
- 4,452
Achana kubishana na watoto wa jana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kizamaniiii na bado kawashikia chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ulizani vita ni mashindano ya urembo,yaaani n chinja chinja hata meno yanakatwa iko wazi kabisa sio issue ya kujadili.
Unasema Putin dhaifu!!!!??? Give me a break boy,PUTIN kwa sasa ndio kiongozi mwenye nguvu duniani akitoka Mungu.
Walikua wapi kulitambua hili mapema?Upo sahihi, kadri Vita inavyoendelea ndio uharibifu wa Ukraine unaongezeka, kibaya zaidi kichaa Putin hatakubali kushindwa (japo na yeye kapata hasara kubwa tu).
Hivi Vita vikisitishwa mapema ndivyo gharama za uharibifu, uhai na ujenzi mpya zitapungua, kuendelea kupeleka silaha kutaisaidia Ukraine ila kutaongeza uharibifu zaidi.
Under 18 au? ila mimi sizungumzii zinaa,mihadarati,pombe,kutukana au kitu chochote cha chini ya umri wa katiba ya JMT.Achana kubishana na watoto wa jana
Hana ajualo
Ha ha ha ha ha ha unataka mchepuko wa kirus [emoji41][emoji41][emoji41]Mkuu nakung'ata skio
Nishaanza kutongoza mademu wa nyumbani kwetu 🇷RUSSIA [emoji635]
Wee dada vibaya hivyo, 🤣🤣🤣🤣🤣 mkata fensiYaani anaakili kama wale wakata fensi wamezubazubaaa kitu kimepita muda ila yeye bado kinampa vaibu achana nae atapata sampuli yake wapeane michapo.
😀😀😀😀Wee dada vibaya hivyo, 🤣🤣🤣🤣🤣 mkata fensi
Tunadumisha undugu vizuri na lugha naanza kujifunza sasa staki mchezo kabisa ntakupa mrejesho 😂Ha ha ha ha ha ha unataka mchepuko wa kirus [emoji41][emoji41][emoji41]
Waleteeee sisi Russia hatuna maneno mengi sana ya kuandikaKitu alichotumia mrusi kuangamiza silaha za msaada za marekani Kwa Ukraine, 12,000km/hr kinaweza kwenda chini ya ardhi 136m
View attachment 2260522
Uliwezaje kufaulu mitihani kwa akili hiiKibaya zaidi Ukraine inapambana na mgonjwa wa akili 'Putin (The mad monster)'.
Shangazi una moto si wa nchi hii...Walikua wapi kulitambua hili mapema?
Ni kwamba wamekutana na mziki mnene cd mia saba yaaani dj hapumziki ni santuri baada ya santuri😂😂😂😂😂alafu anawachanganyia ladha mara blouse,singeli,awajakaa vizuri rap katuni,jazz kwa nyuma inapiga jaramba,mara rock 😂😂😂😂awajakaa sawa rege wamedata
🙌🙌🙌 mi na furaha sanaa kuyashuhudia haya. Urrrrrraaaaaaaa
Mrusi anachukuwa na Poland?Uchaguzi ujao wananchi wa poland wanapaswa wamchague mchezaji robert lewandowski awe rais wao. Raisi wa poland amewaomba nchi washirika wamsaidie silaha baada ya silaha zake kuwapa ukraine. Sijui mmenielewa
huyo bibi huenda anaugua wendawazimu. eti atafanya chochote, labda anadhani anadeal na wakenya wanaohadaika kwa kiroba cha mahindi.
korintho 6:9 [9]Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,Tafuta mtu akufundishe Ukristo....
Mungu hakusudii tena kuiangamiza dunia kama ilvyokua kwa Sodoma na Gomora, ila imewekwa njia ya kuupata wokovu kabla kiama, hivyo Mungu hatotuma dikteta wa dunia akalipue mabomu watoto kisa kuna mashoga kwenye nchi.
Tatizo lenu kwenu huko mumefundishwa visasi na kujilipua mabomu mnafikiria kila dini inatumia mbinu hizo.
Rudia tena kusoma ulichoandika mkuu.nafikiri leo Mrusi atachekelea ila awe tayari maana watu wa magharibi + USA watatafuta njia hata kama itakuwa ya muda mrefu ku fix hili aka killing softly. Wameona kama wangetoa silaha nzito basi vita ingekuwa balaa maana Mrusi anaweza kusababisha maafa zaidi ya Dunia, Hajali kurusha kumbora hata kama ni kwenye uwanja wa mpira wakati watazamaji wamejaa maelfu - Putin ni mtu dhaifu sana - watu dhaifu wenye mamlaka hupenda kuua bila kujali what next.
Kupigana na mrusi uwe tayari, ni kama ugomvi wa kitaa - bisibisi, yai viza, koleo, mundu, upupu, viwembe, nyundo, misumali, mpini nk - yaani chochote kilichombele yake anakitumia.
Hii ni tofauti kubwa na mataifa ya Magharibi kwa mfano US alikwenda IRAQ wakamaliza vita bila kuvunja vunja majumba na kuharibu miundombinu..... US pia akaenda Libya akamaliza vita bila uhalibifu mkubwa wa miundombinu kama huu hapa.
Ni kama Mrusi bado anapigana vita kizamani.
View attachment 2260433
View attachment 2260434
View attachment 2260485View attachment 2260484