Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The US Congress said that the Biden administration is "rapidly devastating" the country's fuel reserves.

This is stated in an appeal to the Minister of Energy by parliamentarians Kathy McMorris-Rogers and Fred Upton. RT got acquainted with a copy of the letter.

Congressmen noted that the US is not only wasting oil reserves, but also cannot develop long-term plans for their optimal size, configuration, maintenance.

The volume of strategic reserves fell to the lowest level since 1987. At this rate, by 2031, oil reserves in these storage facilities will be reduced from 727 million barrels to 130 million, politicians say.

20220502_010825 (1) (1) (1).png
 
French Foreign Ministry: before joining the EU in Ukraine, hostilities must first cease, and only then it is necessary to discuss the conditions of its membership
 
The United States will not interfere in the debate over Ukraine's request for accelerated admission to the EU. Europe should decide this issue, said White House spokeswoman Karine Jean-Pierre.

20220502_010825 (1) (1) (1).png
 
Naiona gold iliyopo kichwani kwako,dhahiri inaonekana ulikwenda shule(haukupita tu).

Kingine mnafanana kimaudhui na POLEPOLE(ambaye mimi ninaamini) hakuna mtanzania anaweza shindana naye kwa hoja na ukamshinda
Ila ukweli bila ubishi POLE SLOW ni genius. Namkubali very

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Donetsk and Luhansk yanatakiwa yawe mataifa huru - according to Mrusi. CRIMEA ishaondoka kitambo.

UKRAINE itafutika katika ramani taratibuu.

View attachment 2260250
Hayo majimbo yatakuwa sehemu ya Urusi (Kama Crimea), itakuwa vigumu kwa Ukraine kuyadhibiti tena.

Huenda Ukraine ikashinikizwa na wafadhili wake ikubali kuachia hayo majimbo ili Vita visitishwe.
 
Urusi n mwanaume na nusu mwenye msimamo usioyumbishwa na nyie mnatakiwa muwe ivyo afe kipa afe beki mzigo lazima ufike Galile,baby boys 30 na zaidi wamekaaa🤣🤣🤣🤣.
FUSO
 
Vita bado haijaisha na Urusi inapigana na Ukraine tu ila inasaidiwa silaha .
 
Urusi n mwanaume na nusu mwenye msimamo usioyumbishwa na nyie mnatakiwa muwe ivyo afe kipa afe beki mzigo lazima ufike Galile,baby boys 30 na zaidi wamekaaa🤣🤣🤣🤣.
FUSO
nafikiri leo Mrusi atachekelea ila awe tayari maana watu wa magharibi + USA watatafuta njia hata kama itakuwa ya muda mrefu ku fix hili aka killing softly. Wameona kama wangetoa silaha nzito basi vita ingekuwa balaa maana Mrusi anaweza kusababisha maafa zaidi ya Dunia, Hajali kurusha kumbora hata kama ni kwenye uwanja wa mpira wakati watazamaji wamejaa maelfu - Putin ni mtu dhaifu sana - watu dhaifu wenye mamlaka hupenda kuua bila kujali what next.

Kupigana na mrusi uwe tayari, ni kama ugomvi wa kitaa - bisibisi, yai viza, koleo, mundu, upupu, viwembe, nyundo, misumali, mpini nk - yaani chochote kilichombele yake anakitumia.

Hii ni tofauti kubwa na mataifa ya Magharibi kwa mfano US alikwenda IRAQ wakamaliza vita bila kuvunja vunja majumba na kuharibu miundombinu..... US pia akaenda Libya akamaliza vita bila uhalibifu mkubwa wa miundombinu kama huu hapa.

Ni kama Mrusi bado anapigana vita kizamani.

1655205944687.png

1655205970185.png

View attachment 2260485
1655208453173.png
 
nafikiri leo Mrusi atacheka ila watu wa magharibi + USA watatafuta njia hata kama itakuwa ya muda mrefu ku fix hili aka killing softly. Wameona kama wangetoa silaha nzito basi vita ingekuwa balaa maana mrusi anaweza kusababisha maafa zaidi ya dunia.

Kupigana na mrusi uwe tayari, ni kama ugomvi wa kitaa - bisibisi, yai viza, koleo, upupu, viwembe, nyundo, misumali, mpini nk - yaani chochote kilichombele yake anakitumia.

Leo miji ya Ukraine na mifumo yote ya miji kama maji safi na taka, mfumo wa joto nk vyote imekufa kabisa !! Russia is bombing anything Infront of them.
Unanitamanisha nikujibu.
Upo sawa tuweze kujadili!?
 
nafikiri leo Mrusi atacheka ila watu wa magharibi + USA watatafuta njia hata kama itakuwa ya muda mrefu ku fix hili aka killing softly. Wameona kama wangetoa silaha nzito basi vita ingekuwa balaa maana mrusi anaweza kusababisha maafa zaidi ya dunia.

Kupigana na mrusi uwe tayari, ni kama ugomvi wa kitaa - bisibisi, yai viza, koleo, upupu, viwembe, nyundo, misumali, mpini nk - yaani chochote kilichombele yake anakitumia.

Hii ni tofauti kubwa na mataifa ya Magharibi kwa mfano US alikwenda kwa IRAQ kamaliza vita bila kuvunja vunja majumba na kuharibu miundombinu..... US pia akaenda Libya akamaliza vita bila uhalibifu mkubwa wa miundombinu kama huu hapa.

Ni kama Mrusi bado anapigana vita kizamani.

View attachment 2260433

View attachment 2260434
Upo sahihi, kadri Vita inavyoendelea ndio uharibifu wa Ukraine unaongezeka, kibaya zaidi kichaa Putin hatakubali kushindwa (japo na yeye kapata hasara kubwa tu).

Hivi Vita vikisitishwa mapema ndivyo gharama za uharibifu, uhai na ujenzi mpya zitapungua, kuendelea kupeleka silaha kutaisaidia Ukraine ila kutaongeza uharibifu zaidi.
 
Representatives of Britain did not turn to Russia about those sentenced to death in the DNR, said the press secretary of the Russian leader Dmitry Peskov.

“No, they didn’t. This is the first. Secondly, you need to apply, of course, to the authorities of the country whose court passed the verdict. And this is not the Russian Federation. But, of course, everything will depend on the appeal from London, and I am sure that the Russian side will be ready to listen to it, ”he said.

20220502_010825 (1) (1) (1).png
 
🤣🤣🤣🤣Ebu futa machozi kwanza............ndio ni dakika ya 87 ila ubao unasoma tatu bila (Ukraine wako wanne plus kipa) upande wa pili 11 na hakuna majeruhi sijui mnatoboaje.
Kibaya zaidi Ukraine inapambana na mgonjwa wa akili 'Putin (The mad monster)'.
 
nafikiri leo Mrusi atachekelea ila awe tayari maana watu wa magharibi + USA watatafuta njia hata kama itakuwa ya muda mrefu ku fix hili aka killing softly. Wameona kama wangetoa silaha nzito basi vita ingekuwa balaa maana Mrusi anaweza kusababisha maafa zaidi ya Dunia, Hajali kurusha kumbora hata kama ni kwenye uwanja wa mpira wakati watazamaji wamejaa maelfu - Putin ni mtu dhaifu sana - watu dhaifu wenye mamlaka hupenda kuua bila kujali what next.

Kupigana na mrusi uwe tayari, ni kama ugomvi wa kitaa - bisibisi, yai viza, koleo, upupu, viwembe, nyundo, misumali, mpini nk - yaani chochote kilichombele yake anakitumia.

Hii ni tofauti kubwa na mataifa ya Magharibi kwa mfano US alikwenda IRAQ wakamaliza vita bila kuvunja vunja majumba na kuharibu miundombinu..... US pia akaenda Libya akamaliza vita bila uhalibifu mkubwa wa miundombinu kama huu hapa.

Ni kama Mrusi bado anapigana vita kizamani.

View attachment 2260433

View attachment 2260434
Pale Afghanistan marekani iliangusha mpaka mother of all bomb ila halikufua dafu unaujua uharibifu wa ilo bomb kweli
 
nafikiri leo Mrusi atachekelea ila awe tayari maana watu wa magharibi + USA watatafuta njia hata kama itakuwa ya muda mrefu ku fix hili aka killing softly. Wameona kama wangetoa silaha nzito basi vita ingekuwa balaa maana Mrusi anaweza kusababisha maafa zaidi ya Dunia, Hajali kurusha kumbora hata kama ni kwenye uwanja wa mpira wakati watazamaji wamejaa maelfu - Putin ni mtu dhaifu sana - watu dhaifu wenye mamlaka hupenda kuua bila kujali what next.

Kupigana na mrusi uwe tayari, ni kama ugomvi wa kitaa - bisibisi, yai viza, koleo, upupu, viwembe, nyundo, misumali, mpini nk - yaani chochote kilichombele yake anakitumia.

Hii ni tofauti kubwa na mataifa ya Magharibi kwa mfano US alikwenda IRAQ wakamaliza vita bila kuvunja vunja majumba na kuharibu miundombinu..... US pia akaenda Libya akamaliza vita bila uhalibifu mkubwa wa miundombinu kama huu hapa.

Ni kama Mrusi bado anapigana vita kizamani.

View attachment 2260433

View attachment 2260434
🤣🤣🤣🤣🤣🤣kizamaniiii na bado kawashikia chini😂😂😂😂😂😂
Sasa ulizani vita ni mashindano ya urembo,yaaani n chinja chinja hata meno yanakatwa iko wazi kabisa sio issue ya kujadili.

Unasema Putin dhaifu!!!!??? Give me a break boy,PUTIN kwa sasa ndio kiongozi mwenye nguvu duniani akitoka Mungu.
 
Back
Top Bottom