Hilo kwa waislam haliwezekani, kauli mbiu yenu ya kudai waislam wote ni ndugu ni ujinga uliopindukia.Mkumbushe Nyerere (mkristo) alikata mahusiano ya kidiplomasia na israel kutokana na uonevu anaowafanya palestina na alitamka wazi wazi
Hata uwe jambazi, muongo, mnafiki wewe ni ndugu yao, we vaa baraghasia, kanzu, kilemba na salam alleykhum nyingi basi uko salama.Wakristo hatuna ujinga huo.