Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine ni mtaalamu wa vita mkuu historia ya ukrean ni ndefu sana tofauti na udogo wa nchi yake ukilinganisha na Russia., warusi wanauliwa kwa technique tu, kwa mfano juzi pale kwenye ule mto wa kukatiza karibu askari elfu1 wa russia wameenda na maji., kwenye madaraja., ukreanie ile vita inapiganwa kwenye nchi yao wanajua maeneo ya kujitega na kujua adui atakuja upande gani

Kwa mfano ule mji wa Soverodonetisk ambao russia walitangaza kuudhibiti kumbe ukaraine walifanya kitu kinaitwa kaunta attack wakawaua russia kibao ambao walishabweteka mji wameuteka, mji wa Khakiv ivyo ivyo mbona maiti za russia zimezagaa ukrean

Silaha ndio inabidi wasaidiwe na wanajua kuzitumia vizuri, wewe angalia mfano mwengine Russia walipovamia waliingia Ukraine na msururu mrefu sana wa vifaru, jiulize vile vifaru viliishia wapi mpaka Urusi wakalazimika kupiga long range bombs kutoka masafa ya mbali (black sea)? na sasa ndivyo wanavyopigana russia ni bombs wana target.

Kuna silaha walipewa Ukraine na marekani inaitwa na Stinger na Javeline, hizi silaha mkuu ndio ziliangamiza majeshi ya russia wengi sana., vifaru vilivyochakazwa ni kama chicha pale Kyiv juz naangalia watoto wanapiganavyo picha za kumbukumbu masalia yake., ni silaha unaweka begani tu lakini inapiga umbali wa 16km

Mkuu unaweza kushika kisu ukachomwa nacho
Unafuatilia habari au unaandika hisia mpenzii
 
Mstahiki Meya wa Zelensky wa mji wa Sviatogorsk, huko Ukraine Vladimir Bandura, ameamua kubadili upande; amejivua kwenye serikali ya Zelensky na kujiunga na serikali ya Jamuhuri ya Watu wa Donetsk baada ya mji wake huo kukombolewa na majeshi ya Urusi.

Meya huyo pia ameyalaumu majeshi ya Ukraine kuwaua watawa (monks) wa Orthodox na kuchoma nyumba yao.

Rais wa Jamuhuri ya Watu wa Donetsk ndugu Denis Pushilin kathibitisha habari hiyo ya mstahiki meya kuachana na Zelensky, na kaposti picha ikimuonesha mtukufu rais huyo akiwa na mstahiki meya kwenye ikulu ya Jamuhuri ya Watu wa Donetsk wakinywa chai ya pamoja.

View attachment 2259639View attachment 2259640
Habari inawachoma sana pro nato
 
Mdogo mdogo bangi zinaanza kuwatoka

The European Space Agency has returned to negotiations with Russia.

Dmitry Rogozin, CEO of the organization, announced the resumption of the dialogue.

▪️We are talking about the ExoMars project, an unmanned mission to search for life on Mars.

▪️Russia provided the Proton-M rocket, the landing module with the Kazachok landing platform and part of the Rosalind Franklin rover for flight.

The space mission project nearly fell through due to the refusal of the Europeans to cooperate with Russia.

Look, think and change your mind.

Tena watalipa kwa ruble
 
Mean while
1.TZ GDP ni 70B dola
2. Kenya GDP ni around 98B dola

Halafu vibana pua vya mpopoma kule mtaa wa mwambinyokomobo vinakwambia Russia masikini hana fedha za kuendesha Operation.

Wanajisahaulisha wachunga mbuzi waliwadindia US miaka 20 seuze Russia... mafiii furusii..

Na hio pesa imetokana na kuuza mbolea tu, hujagusa takataka zingine. Ndomana US ana hangaika sana na Russia sababu aliona nord 2 ingemuingizia pesa nyingi sana. Na Russia almost maden makubwa amelipa[emoji1316].

Russia sio Zimbabwe
 
Za ndani kabisa,


Baada ya ghala kubwa ambalo lilikua linahifadh mzigo wote wa silaha unaotoka kwa wahisan kugundulika na kulipuliwa hatimaye wahisan wamekubal bora yaishe wafanye shughul nyingine.


Ghala husika ambalo lilikua mbali kabisa tena iliaminika ni bonge la chimbo baada ya kuthibitishwa na majasus nguli wa mataifa fadhili na waitifak wao chakushangaza jamaa wamelishtukia kwa namna ambayo mpaka sasa majasus hawaelew ilikuaje mpaka wakalishtukia hilo chimbo.


Kinachouma zaid kuna mzigo ambao masponsa waliamin utaenda kumtia hasara adui lkn kabla hata store keeper hajausajil jamaa wameuvurumishia kombora km zote.


Ref;Muuza viatu vya mtumba karume mchikichin
 
Turkey si yupo NATO?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316]. Hawa jamaa wananifurahisha sana[emoji1787][emoji1787]
Turkey Ni ndumila kuwili,

1. Wakati Vita inaanza aliwapa Ukraine drones, ziliwasumbua Sana russia.

2. Akawaita Ukraine na Russia kuwasuluhisha, Ukraine akawa haeleweki anataka Nini ikabidi ahamie upande wa Putin.
 
Katibu Mkuu wa NATO Jen Stoltenberg kaizaba Ukraine kofi la usoni kwa kuiambia kuwa kila makubaliano/mkataba wa amani huwa unaendana na kulipia gharama kubwa, ikiwemo kuachia asilimia kadhaa ya ardhi yako ichukuliwe na (mgomvi wako), kutoa sadaka sehemu ya uhuru wako...ni juu yao waUkraine ambao ndio watakaolipia gharama kubwa ya makubaliano ya amani wafanye maamuzi..

View attachment 2259714View attachment 2259715
Akili zimeanza kuwakaa sawa ....
 
Nilikuwa nimepitwa kidogo na kinachojiri. Nimepitia pitia updates na kweli nimeshangazwa na economic strategies alizotumia putin mpaka kuwa sehemu ya sababu ya inflation ndani ya ardhi ya USA.

Hapa nakiri kaniacha, sijajua kilichotokea japo kuna uwezekano ni side effect ambazo USA walizitegemea.

Kilichoniogopesha na kunifanya nimpe credit Putin ni control measures za kuhandle i-rate ndani ya USA. Ref hii quote:
" With annual inflation at highs not seen in more than 40 years, Biden declined to predict how long it would take for prices to start coming down — then suggested they may actually rise even higher through 2023".
Hii kwa maoni yangu si salama sana maana inaweza kuamia pia kwenye politics ndani ya USA, na kama unavyowajua raia wake walivyo, watasumbua kama itaamia huko.
Pro-NATO tuambiane nn kilitokea hapa? Nipeni data huenda mm ndo kilaza.

Katika mambo mengine bado simuoni Puttin kama tishio sana, namuona kama bully mwenye nuclear na anaweza kuzibitiwa ila kwa akili.
Wee ndo mzuri unaeangalia pande mbili,
Pro NATO wengine hata juhudi Hizi za putin hawazioni, wamekalia ushabiki maandazi TU.
 
Back
Top Bottom