lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
🤣🤣🤣🤣😄😄😄Huyu hata akiambiwa avue gauni ashikwe MATACORE atavuaa wewe unamwonaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣😄😄😄Huyu hata akiambiwa avue gauni ashikwe MATACORE atavuaa wewe unamwonaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha, itakuwa unamchokoza sababu umemkumbuka tu.Yeye maoni yake kila siku ilikuwa ni kuwa wanajeshi wa Russia hawana chakula
Tuna consider vitu vingi hata Diplomasia nzuri ya Kijeshi inaweza kuwa silaha.Jeshi bora zana blaza.
Mkuu mbona umeandika kama unakimbizwa, nimeuliza nisababu zipi zinazo sababisha Biden asikubalike na wamerekani namna hiyo(kwa mjibu wa data za utafiti huo)Sijuia unapimaje kiwango cha kukubalika kwa Rais wa Marekani nje ya Marekani ila historia ya kukubalika kwa kiwango cha chini zaidi katika kura za maoni za Marekani kwa Rais wa US inashikiliwa na Trump aliyewahi kufikia 29% katika kiwango cha kukubalika.
Pia ni ujinga kuhusisha kiwango cha Biden kukubalika na uvamizi unaoendelea Urusi, kama kuna kitu Wamarekani wengi wa
Democrats na Republicans wanakubaliana na jinsi Biden alivyoonyesha uongozi kwenye uvamizi wa Putin, kwa kuanzia na ku declassifiy taarifa nzima ya uvamizi huo kabla haujaanza huku Putin akikataa
Hata mataifa mengi ya Ulaya walikuwa wanatilia shaka taarifa za CIA na Biden kwamba Putin ataivamia nchi nzima ya Ukraine.
Lakini kama unafikiri pia Wamarekani hawamkubaki Biden kwa kiwango hicho subiri uchaguzi wa 2024
Yuko vizuri dada yetu.I second you .... Sky Eclat sikumbuki nimepingana naye kati lipi.... Ila Kuna vitu anavipiga low-profile... Mtu Mmoja anajielewa sana ... Katika jinsia za Ke.... Kongole kwake
Ha ha dah, basi sawa mdau. Nikipata wasaa nitafanya hivyo.[emoji23]
Eiwaaa, ndio maana nikasema kile kipengele cha pili ukiweza kifanye uzi kabisa... Most hapa hata Pro-Russia wako wengi tu hawaifaham Russia. Wanamjua Putin tu zaidi ile Russia ya kwenye vyombo vya Habari.
Mfano kama hapo, Katika 10 waliokuwa wanajua idadi ya Federal states hapo Russia ni wawili ama watatu ama hakuna kabisa. Na issue ya Flag vile vile.
Sasa kule Ukraine wakiwaona Chechnya na bendera tofauti na ile ya Federal wanajua ile ni nchi nyingine. Akati kila Federal Subject ina Flag yao. Hata hii Crimea ya iliyoingizwa Russia juzi kati ina ya kwake.
Tri Color, yenye wembamba wa blue na red huku White ikichukua sehem kubwa.
View attachment 2257803
Yuko vizuri.Huyu Dada kwa upeo wak ningeshangaa kama angekuwa pronato ukienda jukwaa la historian ana madini mengi.
Safi sana maelezo murua kabisa yaliyoambatana na ujumbe ule ule kwa lugha ya picha, yani hata wadau wa kuelewa kwa kutazama picha naamini wamakuelewa vizuri.Well said mdau!
Naomba nikazie ule mfano niliosema nimeupenda. Nataka niushereheshe kwa manufaa ya Pro-Russia lakini sio hao Makima msemo wa flani hapa.
Katika maeneo uliyoyataja nitatumia ramani tuelekezane vizuri.
View attachment 2257108
Hayo maeneo niliyoyawekea "black mark" ni machache kieneo na kiidadi ukilinganisha na ukubwa wa TZ. Lakini katika hiyo mikoa 9 hapo Juu ndipo kuna 43.5% ya Pato la Taifa (GDP) la Tanzania.
Kwenye hiyo Mikoa, ie. Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dar es Salaam, Morogoro, Lindi na Ruvuma... Dar es Salaam peke ake inachangia 17% percent ya Total Tanzania GDP. Dar yenyewe kwenye ramani iko hivi.
View attachment 2257119
Again tuongezee Zanzibar (Uliyoitolea mfano kama Snake Island) Zanzibar inachangia 5 point kadhaa asilimia za Pato la Taifa. Ukiongeza kwenye hiyo mikoa 9 means eneo la pwani kwa pamoja linachangia around 49% of Tanzania's GDP. Lakini Zanzibar yenyewe ndio hii
View attachment 2257120
Hivi leo namna tunavojiendesha hilo eneo la ukanda wa pwani likikaliwa na asiye rafiki basi Tanzania ina Collapse. Source ya nishati, Viwanda, na vingine viiingi vipo upande huo.
Kilimo Morogoro, Itabaki mbeya tu nao ambao kulingana na Idadi ya watu wanategemea kuzalisha kuuza nje ya Mkoa. Consumers wengi wapo upande huo.
All big Companies Headquartered in Dar es Salaam. Finacial service Zote makao makuu yapo huko. Kiasi ukiivuruga Dar tu umeivuruga Tanzania. Gas inasafirishwa kutoka mtwara kuja dar kuzalisha umeme. Ubungo ile ikizimwa Tanzania tunaenda gizani.
Sasa Pro-NATO kama wanashindwa kung'amua Ukubwa wa Pua sio wingi wa kamasi, Ama Ukubwa wa kichwa sio wingi wa Maarifa mtawaeleza nini waelewe?
Naandika haya kunufaisha Pro-Russia wenzangu, naaamini mmejifunza kitu na mnaeza tumia the same principle kwenye maisha yenu ya kila siku.
Kua na Afya sio kwa kula kilo 2 za mchele kila siku bali kwa kuupatia mwili lishe bora in a desirable quantity!
Sasa ndio kama hii Map!
View attachment 2257143
Huezi kuhusudu misaada ya ARV na Ndom za bure plus Vyoo ukaielewa.
Mi nakuambia utapingwa TU.Kuna uwezekano mkubwa Sana Putin Ni mtu ambaye uwezo wake wa akili Ni mkubwa Sana kulingalisha na kizazi cha viongozi wa Sasa hapa duniani.
Ukitaka kumuelewa vizuri President Putin, kasikilize speech yake ya Munich Security Conference - German - 2007.
Haya unayoyaona yanatokea Sasa hivi, yeye mwenyewe Putin aliyatabiri 2007.
Putin anaishi katika dunia ambayo, hakuna kiongozi Mwenye uwezo wa akili Kama yeye.
Teseka endelea kutesekaWaarabu wenye dini yao wameufyata, nyie hapo ndio wenye makelele, Urusi tegemeo lenu chali...
Umenena kweli mdau, hio ndio sifa kuu ya mtu mwelevu. Tunafaham yale tunayoyajua sio kila kitu na kila wakati tupo huru kujifunza lipya hata kama linakinzana na kile ambacho tumekwisha jua habari yake.Tuendelee na moyo huu huu wa kujitoa kwajili ya waliyo tayari kujifunza na kuelewa mkuu kama sisi tulivyo tayari kujifunza na kuelewa kwa tusivyovifahamu kutoka kwa wanavyo vifahamu.
Teseka endelea kuteseka
Ila UKRAINE nasikia wameingia MOSCOW muda huu
Kwakweli hii VITA PUT IN hachomoki yaaani
Hap Ukraine alipiga bomu mochwari kwa kuwa urusi aliviacha hivi vifaru vitupu kwa kuwa vilikuwa immobileKyev, naskia mlishateka Kyev ndani ya siku tatu kwa kutumia hili limsafara
![]()
Hap Ukraine alipiga bomu mochwari kwa kuwa urusi aliviacha hivi vifaru vitupu kwa kuwa vilikuwa immobile
Yes ni kweli,