Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

-Soma historia , Urusi alipata kichapo cha mbwa koko Afghanistani. Kipigo walichotembeza Mujahadeen ndio moja ya chanzo cha kusambaratika Sovieti.
-historia itajirudia ,vita yva Ukraine vitasambaratisha Urusi ya dikteta Putin.
-Aibu kubwa Urusi inamiliki kwa taabu vijimiji vipo mpakani kwake uso na pua. Superpower feki kweli.
Urusi haikupigwa huko Afhanistan nakataa.
Usidanganye.
Naweza kuelezea vizuri sana hii.
 
Sio kwenye uzi huu tu hata tu katika jukwaa la Kenya jamaa muda mwingi comments zake Ktk mijadala mizito huwa ni ugoro plus hadi kuna mdau humu kamuuliza' kwa akili zake jinsi zilivyo anawezaje vipi kuishi ?'
Ata ukikutana nao mzigoni ni tia maji tia maji hamna kitu wamebaki na ngeli pori tuu.
Mi naamini tz tungekua tumesimamia vizuri lugha ya mabeberu hakuna mbuzi anatuambia kitu hapa east africa.
 
hahahahaha ila mrusii mnoko sana ni sawa umpe demu pesa halafu umdai tena hahahahaha wavivu wa historia wanasema urusi kavamia ukraine kumbe mwamba anadaia maeneo yake.
miaka ya kama 1200 na kati ya 1600 ufalme wa russi enzi zile ulitoa maeneo ya odesa crmea donestk kharakiv luhasnk kama zawadi kwa kiev russ yaani ukrain ya sasa.sjajua baharia russia kaamua kumdai bi mdashii hizo zawadi tena kwa nguvu sana miznga risasii
wadau hii inatupa funzo demu ukiachana naye dai pesa zawadi zote ulizokuwa unampa wakati mpe wotee
note vita vipo toka kuumbwa kwa dunia hakuna cha ajabu nashangaa watu wanalalamika tu kizembeee
 
Hivi ile mizinga yenu imeshafika ama bado
Kuna siku niliandika hapa nikasema "Kusubiri USA atume makombora ya masafa marefu Ukraine nisawa na kusubiri kuokota parachichi kwenye mkungu wa ndizi".

Mpaka kesho hata mwezi ujao USA hawezi kutuma makombora hayo Ukraine.
Kwanini nasema hivi? Ukijaribu kuunganisha dot kutoka kwa USA ndo utaona hilo suala ni propaganda pro-max. Jaribu kuanganisha dot juu ya hizi kauli kutoka USA;

☆USA ipo inaangalia uwezekano wa kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu (mwezi uliopita mwanzoni)

☆USA yaidhinisha kutuma makombora ya masafa marefu Ukraine(Mwezi uliopita katikati)

☆Rais wa USA j. Biden akataa taifa lake haliwezi kutuma makombora ya masafa marefu Ukraine(Mwishon mwa mwezi wa tano)

☆USA ipo tayari kutuma makombora ya masafa marefu endapo tu kyiv ikiihakikisha kuwa haitatumia makombora hayo kushambulia ndani ya mipaka ya Urusi(wiki mbili zilizopita)

☆USA haitatoa makombora ya masafa marefu kwa Ukraine kabla haijatoa mafunzo kwa jeshi la Ukraine namna ya kuyatumia(wiki hii juzi)
Sasa hebu tujiulize kwenye hii dot, hayo mafunzo USA atayatolea wapi? Na kwa muda gani?[emoji23][emoji23] (Mimi sijui)

Je wakati anaipatia Ukraine Javelin na drones alianza kutoa mafunzo kwanza namna ya kutumia hizo dhana za teknolojia yake.

Mzee mkwele aliwahi kusema
"ZAKUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKWAKO"
 
Biden said Zelenskyy 'didn't want to hear it' when US intelligence warned Russia would invade Ukraine

KELSEY VLAMIS



June 11, 2022 4:47 AM



President Joe Biden on Friday said people thought he was "exaggerating" about Russia invading Ukraine.

[https://ocdn]

President Joe Biden.

Prior to the invasion, reports said Zelenskyy thought Biden's comments were creating panic.The US national intelligence director said this week Biden declassified intel to convince allies.

RECOMMENDED ARTICLES

[data:image/svg+xml;charset=utf8,%3Csvg%20xmlns%3D'http%3A%2F%2Fwww]

PoliticsAOC blasted Rep. Matt Gaetz for saying Rep. Jamie Raskin is 'unable' to serve in Congress because his son died by suicide and it 'clouds his judgement'

[data:image/svg+xml;charset=utf8,%3Csvg%20xmlns%3D'http%3A%2F%2Fwww]

NewsWhat is the potential penalty if someone is convicted of 'seditious conspiracy'

[data:image/svg+xml;charset=utf8,%3Csvg%20xmlns%3D'http%3A%2F%2Fwww]

NewsA Trump lawyer wants cash sanctions over fear of flying fruit reveal — and lashes out at Daily Beast, Michael Cohen

President Joe Biden said Friday that Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy didn't want to hear US intelligence that indicated Russia was about to invade Ukraine.

Biden made the comments while speaking to donors in Los Angeles, California, about his continued to support for Ukraine, according to The Associated Press.

"Nothing like this has happened since World War II. I know a lot of people thought I was maybe exaggerating," Biden said, according to the outlet. He added the US had data that showed Russian President Vladimir Putin was going to invade.

"There was no doubt," Biden continued. "And Zelenskyy didn't want to hear it."

Prior to launching a full-scale invasion on February 24, Russia spent weeks building up its troops on the Ukrainian border, prompting speculation over whether or not they were preparing to invade, an allegation the Kremlin denied.

In late January, after US officials said it was likely Putin would invade soon, an unnamed Ukrainian official told CNN that Zelenskyy had told Biden to "calm down the messaging" about the invasion because it was creating a panic.

On Monday, US Director of National Intelligence Avril Haines said that Biden even declassified intelligence about Russia's invasion in an attempt to convince skeptical allies it was actually going to happen.

Since the war began, the US has provided tens of billions of dollars of aid to Ukraine, including thousands of weapons.

Ukraine successfully held off invasions of some of its largest cities, including the capital of Kyiv and Kharkiv, but fighting continues in the eastern Donbas region, where Russian forces have refocused.

KELSEY
 
Putin awakejeli mabeberu wa nchi za Marekani, Uingereza na NATO kwa ujumla kwa kuita inflations zao kwa jina lake (Putin's price hike)...

Awaambia wanajitesa wao wenyewe. Ukizuia nchi yako kununua mafuta ya Russia, lazima bei ya mafuta nchini mwako iongezeke. Ukizuia kununua mbolea toka Russia moja kwa moja, lazima bei ya bidhaa hiyo iongezeke nchini mwako...



View attachment 2257074
Watajua tu Russia siyo Zimbabwe
 
Hizo ndio wanaziita Controlled Conflicts, Kitu kinasukwa kuanzia A hadi Z. Hizo 8 trillions dola kwa miaka 20 ni wastani wa dola Bil 160 kwa mwaka.

Sasa tizama hii Graph kisha fikirisha akili yako ela nyingi za defense budget zilikuwa zinaenda wapi. Hadi wanafikia hatua ya kutoa majeshi yao huko hali tete... View attachment 2252385


Ukumbuke pia Afghanistan ni land locked country... View attachment 2252397
Kuna njia za aina mbili za kufanya malipo, either Cash mkononi ama kupitia banking system.

Ukifatilia wanadai waliwatoa wataleban madarakani toka 2001, ina maana control ya nini kinaingia na kutoka ilikuwa kwao. So option ya banking system unaitoa.

Njoo kwe option ya pili angalia hizo nchi zinazoizunguka Afghanistan bila kusahau sheria zao zilivo kali. Jiulize iliwezekana vipi kwa kikundi cha wachunga mbuzi kuambaa na US pa1 na kundi lake miaka 20 yote na hivi sasa wako madarakani.

Nje ya topic Kama kumbukumbu zangu ziko sawa wakati Putin wanapambana na hao ISIS, alisema wazi japo kwa mtindo wa swali, Mnajua nani amewatengeneza hawa ISIS? akaishia hapo.


Yes bro! Kuna huyu mzee aliwaambia kabla na baada juu ya Iraqi, na walichomfanya the Almighty anawaona... Msikilize namna anavyoongea kwa uchungu!
View attachment 2252403
Huyo mzee sio mwarabu wala Mrusi bali muingereza Pure, alikuwa MP.


😂😂😂
Hivyo vyombo vyao vinasubiri kifaru kilipuke.

Katika Western MSM ambao wamechange mwelekeo kurudi kwenye professional zao mojawapo ni Bloomberg, wamepunguza Bias waliyokua nayo mwanzo. Kuna taarifa wanazitoa hadi unashtuka, unajiuliza ni wao kweli au 🤔

Maana wamezoeleka kudanganya mfano kama hii,

View attachment 2252406

Taarifa ambayo BBC hata uwaogeshe maji ya "mchele" hawawezi thubutu kuizungumzia.
Naomba kujia yapi yalikuwa majibu ya seneta baada ya kupigwa spana na huyo mzalendo
 
Kwanza sio lazima ujibiwe unavyotaka maana humu huna uwezo wa kushikilia akili za yeyote, unaonyesha uwezoI wako wa kutumia ubongo unatoshana na kuku.
Urusi ni taifa lenye zana za nyuklia hivyo hauwezi ukaanza kumpiga kiholela, ameonyesha udhaifu mkubwa kivita na alichosalia nacho ni hayo manyuklia ndio kajilinda nazo.
Sema akikosea njia ashambulie kataifa kamoja ka NATO, atapigwa tu pamoja na hayo manyuklia yake, ila itabidi awahiwe kabla hajayafyatua.
Ni jambo jema kama umeelewa NATO wanavyoiogopa Russia na kuwapa tahadhari wamuwahi kabla hajafyatua nukes zake japo ni imagination ambayo haiwezekani.

Safi sana tutaendelea kuwapiga msasa watu wenye akili za kutu kama zako mpaka muelewe uwezo na nguvu ya Russia [emoji635].
 
Kuna siku niliandika hapa nikasema "Kusubiri USA atume makombora ya masafa marefu Ukraine nisawa na kusubiri kuokota parachichi kwenye mkungu wa ndizi".

Mpaka kesho hata mwezi ujao USA hawezi kutuma makombora hayo Ukraine.
Kwanini nasema hivi? Ukijaribu kuunganisha dot kutoka kwa USA ndo utaona hilo suala ni propaganda pro-max. Jaribu kuanganisha dot juu ya hizi kauli kutoka USA;

☆USA ipo inaangalia uwezekano wa kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu (mwezi uliopita mwanzoni)

☆USA yaidhinisha kutuma makombora ya masafa marefu Ukraine(Mwezi uliopita katikati)

☆Rais wa USA j. Biden akataa taifa lake haliwezi kutuma makombora ya masafa marefu Ukraine(Mwishon mwa mwezi wa tano)

☆USA ipo tayari kutuma makombora ya masafa marefu endapo tu kyiv ikiihakikisha kuwa haitatumia makombora hayo kushambulia ndani ya mipaka ya Urusi(wiki mbili zilizopita)

☆USA haitatoa makombora ya masafa marefu kwa Ukraine kabla haijatoa mafunzo kwa jeshi la Ukraine namna ya kuyatumia(wiki hii juzi)
Sasa hebu tujiulize kwenye hii dot, hayo mafunzo USA atayatolea wapi? Na kwa muda gani?[emoji23][emoji23] (Mimi sijui)

Je wakati anaipatia Ukraine Javelin na drones alianza kutoa mafunzo kwanza namna ya kutumia hizo dhana za teknolojia yake.

Mzee mkwele aliwahi kusema
"ZAKUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKWAKO"
 
Niliwahi kuta ubishi sehemu fulani,wakishania eti chai nayo ni tunda.,
Hoja kuu ya wanaodai chai ni tunda ni kuwa sifa ya tunda lina MAJI na SUKARI. ''je chai haina maji na sukari?''

Wabishani wale hawatofautiani na wewe na nahisi ulikuwepo pale.

Umehamia kwenye maji na sukari, bangi bana.... Mrusi amewatesa sana kw udhaifu wake, kweli hata mimi sikutegemea atakua hovyo kihivyo...
 
Hiyo "kyev" uliyoandika hapo ipo nchi gani? Mbona sijawahi sikia kitu kinaitwa "kyev" hii inaonesha jinsi gani ambavyo akili yako haina akili.

USA kapambana na wataliban miaka 20 mwisho wa siku akaishia kukimbia kama mbwa koko bila kudhibiti kijiji hata kimoja, leo hii unashangaa Urusi iliyo tumia siku100 kuteka 20% ya nchi kubwa ya pili kwa ukubwa barani ulaya?
☆Au hujui kwasasa Ukraine inanunua umeme wake kwa Urusi in ruble?
☆na Hujui kuwa Urusi anasafirisha kila siku malighafi za Chuma kutoka Mariupo?
☆Pia hujui kuwa Ukraine kwasasa hawez kusafirisha chochote kupitia bandari zake bila ruhusa ya Urusi?
☆na nani alikwambia kuwa Mrusi ana shida na Kyiv, kwa faida gani?

Na inaonesha kwa akili zako mgando wakikwambia uchague jiji la kumiliki kati ya DSM na Dodoma, utachagua Dodoma kisa ni makao makuu ya nchi. (wewe@MK254 ni bureee kabisa)

My friend, toa hizo akili zako kiuononi uzihamishie kichwani, ili unapochezesha hicho kiuno chako akili zako zisiyumbe, hiyo itasaidia kuepuka kuandika ugoro wako hapa Jf.

Na haitokuja siku uiskie mtaishia tu huko kwenye tumiji twa mipakani, kwa kifupi Mrusi ameshindwa, ile tu kwamba siku zimeingia zaidi ya 100 na hajaifunika Ukraine, hana lolote huyo ambaye ametegemewa na waarabu na dini yao miaka yote.
Leo hii hata akiua Wa-Ukraine milioni moja, kwangu mimi haijalishi, aliposhindwa kuiteka hiyo "Kyev" ndani ya siku chache tayari udhaifu wake ulidhihirika alivyo wa hovyo.
 
Sijuia unapimaje kiwango cha kukubalika kwa Rais wa Marekani nje ya Marekani ila historia ya kukubalika kwa kiwango cha chini zaidi katika kura za maoni za Marekani kwa Rais wa US inashikiliwa na Trump aliyewahi kufikia 29% katika kiwango cha kukubalika.

Pia ni ujinga kuhusisha kiwango cha Biden kukubalika na uvamizi unaoendelea Urusi, kama kuna kitu Wamarekani wengi wa
Democrats na Republicans wanakubaliana na jinsi Biden alivyoonyesha uongozi kwenye uvamizi wa Putin, kwa kuanzia na ku declassifiy taarifa nzima ya uvamizi huo kabla haujaanza huku Putin akikataa

Hata mataifa mengi ya Ulaya walikuwa wanatilia shaka taarifa za CIA na Biden kwamba Putin ataivamia nchi nzima ya Ukraine.

Lakini kama unafikiri pia Wamarekani hawamkubaki Biden kwa kiwango hicho subiri uchaguzi wa 2024
Mkuu nadhani ungejibu kwa kutoa sababu za kwanini Rais J. Biden hakubaliki USA(kwa mjibu wa data hizo) na ushawishi wake unaendelea kushuka ndani na nje ya marekani?. Ingekuwa bora zaidi kuliko kukimbia main fact na kujificha kwenye fact ambayo ni nje ya mada.

Ombi langu kwako; Naomba utueleze sababu zinazo fanya wamerekani wasimkubali Rais wao kiasi hicho achana na ya Warusi kwanza,
 
Ni jambo jema kama umeelewa NATO wanavyoiogopa Russia na kuwapa tahadhari wamuwahi kabla hajafyatua nukes zake japo ni imagination ambayo haiwezekani.

Safi sana tutaendelea kuwapiga msasa watu wenye akili za kutu kama zako mpaka muelewe uwezo na nguvu ya Russia [emoji635].

Kawaida kichaa akiwa na bastola lazima mtafute namna ya kumnyang'anya bila kusababisha maafa, kupigana na taifa lolote lenye nyuklia inapaswa ulipige na kulifuta kwenye ramani ya dunia tena kwa mapigo ya haraka, sasa ukianglia Urusi, kawaida raia wake hawana hatia, ni viongozi wachache tu huko juu, hivyo haina mantiki kufuta taifa lote kisa hao wachache.
 
Hahah! Ulichokisema ni sahihi mkuu, sema kuna wakati inatubidi tuielimishe jamii ambayo ipo tayari kujifunza na kuelewa kupitia hivyo vichwa maji vya akina MK254.

Naamini kupitia bandiko hilo wengi ambao walikuwa hawajajua umhimu wa hiyo miji ya Ukraine iliyo chini ya Urusi watakuwa wamejua vizuri na tutaenda nao sawa katika mijadala inayoendelea.
Well said mdau!

Naomba nikazie ule mfano niliosema nimeupenda. Nataka niushereheshe kwa manufaa ya Pro-Russia lakini sio hao Makima msemo wa flani hapa.

Katika maeneo uliyoyataja nitatumia ramani tuelekezane vizuri.
Ask-Q.png


Hayo maeneo niliyoyawekea "black mark" ni machache kieneo na kiidadi ukilinganisha na ukubwa wa TZ. Lakini katika hiyo mikoa 9 hapo Juu ndipo kuna 43.5% ya Pato la Taifa (GDP) la Tanzania.

Kwenye hiyo Mikoa, ie. Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Dar es Salaam, Morogoro, Lindi na Ruvuma... Dar es Salaam peke ake inachangia 17% percent ya Total Tanzania GDP. Dar yenyewe kwenye ramani iko hivi.
images (13).jpg


Again tuongezee Zanzibar (Uliyoitolea mfano kama Snake Island) Zanzibar inachangia 5 point kadhaa asilimia za Pato la Taifa. Ukiongeza kwenye hiyo mikoa 9 means eneo la pwani kwa pamoja linachangia around 49% of Tanzania's GDP. Lakini Zanzibar yenyewe ndio hii
images (14).jpg


Hivi leo namna tunavojiendesha hilo eneo la ukanda wa pwani likikaliwa na asiye rafiki basi Tanzania ina Collapse. Source ya nishati, Viwanda, na vingine viiingi vipo upande huo.

Kilimo Morogoro, Itabaki mbeya tu nao ambao kulingana na Idadi ya watu wanategemea kuzalisha kuuza nje ya Mkoa. Consumers wengi wapo upande huo.

All big Companies Headquartered in Dar es Salaam. Finacial service Zote makao makuu yapo huko. Kiasi ukiivuruga Dar tu umeivuruga Tanzania. Gas inasafirishwa kutoka mtwara kuja dar kuzalisha umeme. Ubungo ile ikizimwa Tanzania tunaenda gizani.

Sasa Pro-NATO kama wanashindwa kung'amua Ukubwa wa Pua sio wingi wa kamasi, Ama Ukubwa wa kichwa sio wingi wa Maarifa mtawaeleza nini waelewe?

Naandika haya kunufaisha Pro-Russia wenzangu, naaamini mmejifunza kitu na mnaeza tumia the same principle kwenye maisha yenu ya kila siku.

Kua na Afya sio kwa kula kilo 2 za mchele kila siku bali kwa kuupatia mwili lishe bora in a desirable quantity!

Sasa ndio kama hii Map!
16583.png


Huezi kuhusudu misaada ya ARV na Ndom za bure plus Vyoo ukaielewa.
 
Na haitokuja siku uiskie mtaishia tu huko kwenye tumiji twa mipakani, kwa kifupi Mrusi ameshindwa, ile tu kwamba siku zimeingia zaidi ya 100 na hajaifunika Ukraine, hana lolote huyo ambaye ametegemewa na waarabu na dini yao miaka yote.
Leo hii hata akiua Wa-Ukraine milioni moja, kwangu mimi haijalishi, aliposhindwa kuiteka hiyo "Kyev" ndani ya siku chache tayari udhaifu wake ulidhihirika alivyo wa hovyo.

Akili zako zilitoka pamoja na marinda, hii thread haikufai nenda kwenyd majukwaa ya kenya. Hata wanaobishana na wewe wana moyo sana.
 
Back
Top Bottom