Ona ulivyopanic hadi unachanganya Urusi na Ukraine najua ulidhamilia kusema; "Hawawez kuingia moja kwa moja maana hawana mkataba na Ukraine"
MK254 na siyo Urusi kama ulivyoandika.
Maswali
☆Wakati Urusi anapeleka majeshi yake Venezuela na Syria kwenda kupambana dhidi ya majeshi ya NATO+Waasi kulikuwa na mkataba ulioiruhusu Urusi kuingilia hiyo mission ya USA&NATO+Waasi?
☆Wakati NATO wanaivamia Yugoslavia kulikuwa na mkataba unao usema wewe?
☆Wakati NATO inaingiza vikosi vyake Libya kumung'oa Gaddaf kulikuwa na huo mkataba wako?
☆Je kwenye nchi zote tajwa hapo juu kuna hata ni mwanachama wa NATO hadi NATO wapeleke majeshi yao?
☆kama Urusi alishaingilia operation za NATO zaidi ya mara moja kwanini NATO wanaogopa kuingilia operation ya Urusi nchini Ukraine?
NOTE; kabla hujanijibu jitahidi ufikrie kama binadam na siyo kama mnyama anaeishi, maana huchelewi kuwa na akili za Nyumbu wewe.