Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Mwamba
Ulisikia wapi kuwa ulifyekwa? Hivi na tatizo la uongo pia ni lako?Sina haja ya kujua huto tumiji twa huko mipakani, mimi niliogopa sana nilipoona msafara unaelekea Kyev, ila kwa namna uliondoshwa na kufyekwa sikuamini macho yangu, yaani kwangu mimi bado mpaka sasa siamini hii ni ile Urusi iliyokua inategemewa sana hadi na Waarabu na dini yao, ndio leo inaaibishwa hivi.
Hata wauane na kuchinjana mpaka wafike milioni, ile tu kwamba Urusi kaburuzwa mpaka leo siku 100 bado kataifa jirani yake hapo kanamliza na hajafaulu kukateka, kwangu mimi namshangaa sana.
☆Swali; hivi kwamfano Nchi jirani ya kenya ikiingiza majeshi yake Tanzania na kuteka miji ya Zanzibar(snake Island), Dar es salaam(Donetsik), Tanga+Bagamoyo(Luhansk) lindi(Mariupo), kilimanjaro(Kharison), ukanda wa pwani na bandari zake zote(Black sea) na kuipelekea moto Mwanza(Odesa) halafu ikaiacha Dodoma(kyiv) na mikoa iliyobaki unazani nchi yako itakuwa na hali gani kiuchumi na kihuduma za jamii?Kuhusu miji ya Ukraine aliyoizibiti Urusi.
Nianze na maswali kwanza kabla sijaenda mbali;
☆unaijua hata kidogo nchi ya Ukraine?
Unajua umhimu wa Odesa, Donetsik, luhansik, mariupo, kharison, snake Island na black sea kwa ujumla kwenye uchumi wa Ukraine?
☆unajua uti wa mgongo wa uchumi wa Ukraine upo miji ipi?
☆Unajua ukubwa wa eneo la miji ya Ukraine lililochini ya majeshi ya urusi ni Km² ngapi?
Haya ngoja niassume huijui Ukraine zaidi ya kuisikia tu kwenye social media. Basi bila kupoteza maana naomba nikurudishe hapa Tanzania unapo pafahamu vizuri kwa kuuliza swali ambalo ukilijibu ipasavyo litaondoa ujinga huo ulioko kichwani mwako. (NOTE; Majina kwenye mabano ni miji ya Ukraine inayofanania na hii yakwetu potentially)
☆Swali; hivi kwamfano Nchi jirani ya kenya ikiingiza majeshi yake Tanzania na kuteka miji ya Zanzibar(snake Island), Dar es salaam(Donetsik), Tanga+Bagamoyo(Luhansk) lindi(Mariupo), kilimanjaro(Kharison), ukanda wa pwani na bandari zake zote(Black sea) na kuipelekea moto Mwanza(Odesa) halafu ikaiacha Dodoma(kyiv) na mikoa iliyobaki unazani nchi yako itakuwa na hali gani kiuchumi na kihuduma za jamii?
MK254 nishakwambia akili yako ni unfit kwenye huu uzi, siyo kila kitu nikwajili ya kila mtu. Unajiaibisha mkuu, hicho kichwa chako sikwajili ya kuhifadhia meno na ulimi. Just use it to think as a human being and not as a living animal.
Huh atabandikwa jina takatifu huyu, Pro-Russia... Na kwa kua Pro-Russia ni wenye akili wanajielewa its okay kwa Mzee huyu!View attachment 2256940
Huyu Mcroatia mbunge wa Umoja wa Ulaya anafurahisha sana anavyiwapigaga spana wenzake "Umoja wa Ulaya umekuwa State ya 51 ya USA isiyokuwa na haki ya kupiga kura" ...binge la dharau
Bora hata ujiulize kwa nini TZS haipo? kuliko hilo unalo zania ni kitu Cha msingi kwa First world countries.Hizi hapa ndio sarafu zilizoko kwenye hifadhi za akiba za fedha za nje za nchi dunia( global foreign reserves)
1.Dollar ya Marekani: 58% ya hifadhi ya akiba ya fedha yote ya kigeni kwa nchi mbalimbali duniani iko katika USD.
2.Euro ya Umoja wa Ulaya(EU): 20%.
3.Deutsche mark ya Ujerumani: 6%.
4.Yen ya Japan: 5.5%.
5.Pound Sterling ya UK: 4.7%.
6.Yuan ya China: 2.7%.
7.Dola ya Canada:2.3%.
8.Franc ya Ufaransa: 2%.
9.Dola ya Australia:1.8%.
10.Franc ya Uswis: 0.2%.
Iambie Ruble ijitahidi,
Hata mbuyu ulianza kama mchicha[emoji23]
Hivi unapotukana watu unafaidika nini? Huwezi kutoa hoja bila kutamka matusi hayo machafu?Wewe ni ***** kweli yani, sasa kwa Tanzania mtu akiiteka Dar, Arusha,Mwanza kuna kipi cha maana ambacho mtafanya? Viwanda vyote vikubwa viko katika hio miji. Huoni kuwa uchumi wote uko humo.
Huyo jamaa anazingua hana content anabishana tu ilimradi kama yupo kilabuniHivi unapotukana watu unafaidika nini? Huwezi kutoa hoja bila kutamka matusi hayo machafu?
Kigali wakisaidiwa na South Africa, Egypt, Algeria na nchi zingine 40. Jwtz watapigwa kama watoto.Ni kama leo Tanzania ishindwe kuteka Kigali iambulie kupambana na tuwilaya twa hapo mpakani ndani ya Rwanda, siku zipite 100 huku JWTZ wanakufa kama mchwa. Hainiingii akilini mpaka leo Urusi ile ile ndio hii, yaani aibu sana.
Nimekuwa Naona comments zako humu jukwaani,ila kiukweli we jamaa umefungia akili Yako ndani ya box Kwa makusudi kabisa na sio kwamba huna ufahamu!Wengi tuliogopa tukasubiri tuone Urusi ambayo iliogopwa siku zote kwamba itaieka Kyev na kusimika uongozi wao humo, jamaa walifyekwa kama senene na kutoka nduki, amekwenda kupambana na tumiji twa mipakani huko, ile tu kwamba siku zimepita 100 na bado Urusi yule yule ambaye siku zote alionwa kama wa maana bado anapambana, bado anaomba asaidiwe sijui na Syria mara sijui wapi huko, kapoteza majenerali mpaka basi, ha ha ha!!! Hainingii akilini, kataifa jirani hapo kadogo.
Nilikuwa nacheki makala YouTube DW inamuhusu Putin nilidhani Team Putin na Pro-Russia wapo humu tu kwa wingi ila nimekuta comments nyingi zikimfagilia Putin na kuna watu wamechizika kabisa na Putin
Kaka 200 hadi 300 askari wa Ukraine [emoji1255]Vita vya Ukreni kwa siku inakadiriwa wanajeshi wa Ukraine 100 - 180 hupoteza maisha huku wanajeshi wa Urusi 70 - 150 nao hupoteza maisha.
Ukrain hupoteza zaidi wanajeshi wake kutokana na Urusi kumzidi kwa ubora wa silaha. Kama Ukraine itapatiwa aina na silaha alizoziomba toka nchi za magharibi na USA basi takwimu hizo za vifo vya wanajeshi wake zitashuka sana.
Tuiombee Ukraine na Urusi vita hii iishe, kwani mpaka sasa hakuna anayefaidika kati yao zaidi misiba kwenda pande zote mbili
Hawa wanavuna walichopanda, mwanzoni mwa mwaka 2020, there was $4.02 trillion in circulation. Mnamo January, 2021, wakaongeza hadi $6.7 trillion dollars. By October mwaka jana, that number climbed to $20.08 trillion dollars in circulation.
Data zinaonesha 80% ya dollars zilizopo kwenye mzunguko zimekuwa printed ndani ya miezi 24. Angalia jump ya kutoka $4 trillion to $20 trillion. Hilo janga la inflation wanalikwepa vipi? Wapambane tu na hali zao ha ha!
Meme
View attachment 2256896