Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huyu Mathanzua ni extremist conspiracist katika kambi ya Pro Russia, wengine wengi ni moderates conspiracists.
Jamaa ame- brain wash wengi sana humu akiwajaza hizo pumba (rejea alivyopinga chanjo ya Covid -19).

Japo kuna wengine hawaelewi anachokipost ila wanamuunga mkono kwa kufuata tu mkumbo.
 
Mkuu umeongea point kubwa sana hapa,pia hii dunia tunayoishi inasiri kubwa sana.pia haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya hua ni mipango ya mda mrefu inayopangwa nama elites,lengo ni New world order itimie kwa vyovyote vile.pia kwa swala la trump mkuu cdhany kama urusi anamkono wa kumweka madarakani na imani aliwekwa na haohao ma elites, napia wao ndio waliomwondoa madarakani.Hivyo kusema sijui atofautiane nao mkuu asinge maliza even one year in office at the White House,hapo kingechompata nikile kilicho watokea maraisi marehemu john f Kennedy na Abraham Lincoln na baadhi nishasahau majina yao ila kennedy na Lincoln ndio famous.Kuna koo au familia za kisatanic ndio zinazosumbua dunia napia zinarun marekani kwa faida yao,nahao ndio wanamkono kwa kuangusha ufalme wa mwisho wa urusi chini ya mfalme tsar.Baada ya kumsapoti Vladimir irish lenin na mapinduzi ya bolshevik,pia ndio walioleta vita vya dunia vya kwanza navya pili na hapo kuna Rothschild family walioinunua ardhi ya israel ya sasa.hizi familia ambazo zadaiwa asili yake haitokani na binadamu wa kawaida wanampango wa kuiweka urusi chini ya himaya yao, napia zipo familia 13 pia kwa china ipo Li bloodline.sometimes kile wachokiona ndio kumbe siyo but time will tell.
Sure, lakini wanaozungumzia kuhusu Trump sio mie wala warusi bali wamarekani wenyewe. Na kuhusu Interference ya Putin sio kwenye boksi la kura bali katika Campaigns za aliyekua mpinzani wa Trump Hillary Clinton.

Na democratic ndivo walivyo, kila jambo huwa anatupiwa Putin or Russia vikipewa jina la Putin's Propaganda, Russia's Propaganda. Hata ile issue ya Hunter Biden Laptop ambayo kuna video nyingi zimezagaa mtandaoni, mojawapo aliipost Jesus Mlokozi. Waliita Russia propaganda lakini sasa wanasema Biden Laptop is real. Na hiyo issue ipo ndani ya Congress.

Ukirejea issue ya New World Order, yes is Real ila huwa sipendelei kuisemea bila ushahidi ama kuambatanisha kauli ya Viongozi hao wakilitamka.

Kama huyu Raisi wa US baba ake BUSH BIN LADEN 😂, Marehem George Hubert Walker Bush.


Ndani ya Video anasema hivi "We have foremost, we have the opportunity to forge for ourselves and for our future generations a NEW WORLD ORDER. a RULE OF LAW not a RULE OF JUNGLE governing the conduct of nations. When we are successful, we have a real chance of this NEW WORLD ORDER, the Order in which a credible UNITED NATIONS can use it's PEACEKEEPING ROLE to fulfill the PROMISE and VISION of UN founders."

Hiyo ilikiua 1991 baada ya kuvunjika USSR, Ni maneno yaliyozungumzwa ndani ya sekunde 30, LAKINI ukiwa na uwezo wa ku-decipher encoded message kwa kutafuta maana ya kila neno lililozungumzwa ujumbe utakufikia and that was first time in History neno NEW WORLD ORDER kutoka kwenye kinywa cha kiongozi wa US aliye madarakani. H.W. Bush (1989-1993)

Ngoja nijaribu kutoa hint za Keywords kutoka kwenye video
1. NWO
🔸(Jiulize kwanini kaitamka na ina maana gani)

2. Rule of Law vs Rule of Jungle
🔸(Ukikosa maana nasaidia maana, Rule of jungle ni kama Local laws, Rule of Law is what we can tell kama International Laws) so aliposema A rule of law not rule of jungle governing the conduct of nation jijibu mwenyewe alimaanisha nini.

3. Peacekeeping Role
🔸Fatilia ujue Peacekeeping in United Nations ikoje na inafanya vipi kazi. To keep you in touch, kinachomwezesha US kuzurula na kuingilia affairs za kila nchi duniani toka baada ya WW2 ni hiki cha "Peacekeeping Role"

4. UN Founders
La mwisho na la muhim zaidi wajue UN founders ni wakina nani. Na hapa ukitaka kujua vizuri nenda deep kafatilie historia ya UN back ikiwa na majina mengine.

Na kuhusu Assassination ya viongozi kisa wapo kinyume na lile kundi nyuma ya Pazia. Kwa sasa sio rahisi na wadau wako smart zaidi ya tunavyowafikiria. You can't kill twice on the same cause. Now inaaminika hakuna kiongozi anayelindwa zaidi dunian kama POTUS (President of United States). Kitendo cha kua Assassinated ni kulitia doa Taifa.

Yule ilikuwa ang'olewe kwa Impeachment jaribio ambalo halikuzaa matunda, rejea uangalie kiongozi aliyefanyiwa attempt nyingi za kua impeached kwenye utawala wake. Sisemi kama Trump alikuwa kiongozi bora wa US kuwah kutokea lakini ukimlingaisha na hiki Kijibabu cha sasa Trump is far better.

Approval rate ya Anko Sam iko to historical low, Statistics zilizofanywa hivi karibuni umeziona. Kwa maslahi ya wananchi umewah kusikia jaribio lolote la kupumzishwa kwa Mzee?

Dunia yetu ya leo inahitaji mtu uwe na "detective personality" kuweza kuelewa mambo maana haikawii Zero kuitwa "O".
 
Mimi siunganishi unganishi vi stories kutengeneza hadithi moja ambayo ni tamu kuisoma lakini haiwezi kuthibitishwa kama ni conspiracy plot.
I agree with part A of your story, hiyo sehemu ya pili sina data utawaita conspiracist wao watakuita [i mean tutakuita]propagandist, sijui kama linafit.

Kikubwa tuendelee kupambanisha hoja na data tu
 

1654835818372.gif
Waingereza wawili na Mmorocco waliokamatwa na jeshi la Urusi wahukumiwa kifo​


Aiden Aslin (kushoto) na Shaun Pinner (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na raia wa Morocco Saaudun Brahim.Image caption: Aiden Aslin (kushoto) na Shaun Pinner (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na raia wa Morocco Saaudun Brahim.

Waingereza wawili na mwanamume mmoja wa Morocco waliokamatwa na vikosi vya Urusi nchini Ukraine wamehukumiwa kifo, shirika la habari linalomilikiwa na Urusi RIA Novosti linaripoti.

Aiden Aslin, 28, kutoka Nottinghamshire, Shaun Pinner, 48, kutoka Bedfordshire, na mtu wa tatu, raia wa Morocco Saaudun Brahim, walifikishwa katika mahakama ya Jamhuri ya Watu wa Donetsk, ambayo inashikiliwa na waasi wanaoiunga mkono Urusi.

Mahakama hiyo haitambuliki kimataifa.

Wanaripotiwa kushtakiwa kwa kuwa mamluki.

Lakini familia za wanaume wa Uingereza wanasema walikuwa katika jeshi la Ukraine.

Wanaume wote wa Uingereza wanahudumia wanajeshi wa Ukraine na Uingereza imeweka wazi kuwa ni wafungwa wa vita wanaostahili kinga na hawapaswi kufunguliwa mashtaka kwa kushiriki katika mapigano.
Telegram RIA News ilisema: ‘’Mahakama Kuu ya DPR ilitoa hukumu ya kwanza kwa mamluki- Mwingereza Aiden Aslin na Sean Pinner na Mmorocco Saadun Brahim walihukumiwa kifo, mwandishi wa RIA Novosti anaripoti kutoka chumba cha mahakama

8ccac530-71a7-40a8-897b-c9806b78e2d1.jpg
 
Russia imeweka zuio kwa Japan wasiendelee kujihusisha na shughuli za uvuvi kwenye kisiwa cha Kuril kwa sababu ya kushindwa kulipa fedha. Japan a.k.a colony la mashoga wamelalamikia uamuzi huo wa ghafla wakiupa jina la uonevu. Uamuzi huo unakwenda kinyume na mkataba waliokubaliana (fishing pact 1998). Teh teh teh huo ujumbe una maana moja tu, "tumewalisha sushi kwa muda mrefu sana bila ya malipo leo munajitia kiherehere cha kusupport ukraine, kama wanaume kweli kavueni samaki bahari ya china".
 
Woodrow Wilson katika hotuba yake ya February 11, mwaka 1918 kwa Congress alitaja na kungumzia NEW INTERNATIONAL ORDER. Alizungumzia hivyo kwa sababu dunia ilikua inaelekea mwisho wa vita vya kwanza vya dunia na alikuwa ana vision yake jinsi gani mataifa yashirikiane kuepusha migogoro na vita vya aina ile.

George Bush aliongea maneno ya new world order mwaka 1990 wakati USSR ilipokuwa inaanguka na Iraq inavamia Kuwait akirejea mtazamo wa Winston Churchill na akitazamia mahusiano mapya ya kimataifa yatakayoupesha migogoro kama ile ya vita baridi na vita kwa ujumla.

Conspiracy wenye akili za kizombi mnaojidai mna "uwezo wa ku-decipher encoded messages" mkaruka nayo hayo maneno kumaanisha kuna kakikundi cha watu cha siri wanataka kuleta dini moja mpya duniani, ku promote ushoga, ku control population na blah blah nyingine za kishamba na kijinga sana kwa mtu mwenye ubongo hata kuziwazia.
Sure, lakini wanaozungumzia kuhusu Trump sio mie wala warusi bali wamarekani wenyewe. Na kuhusu Interference ya Putin sio kwenye boksa la kura bali katika Campaigns za aliyekua mpinzani wa Trump Hillary Clinton.

Na democratic ndivo walivyo, kila jambo huwa anatupiwa Putin or Russia vikipewa jina la Putin's Propaganda, Russia's Propaganda. Hata ile issue ya Hunter Biden Laptop ambayo kuna video nyingi zimezagaa mtandaoni, mojawapo aliipost Jesus Mlokozi. Waliita Russia propaganda lakini sasa wanasema Biden Laptop is real. Na hiyo issue ipo ndani ya Congress.

Ukirejea issue ya New World Order, yes is Real ila huwa sipendelei kuisemea bila ushahidi ama kuambatanisha kauli ya Viongozi hao wakilitamka.

Kama huyu Raisi wa US baba ake BUSH BIN LADEN [emoji23], Marehem George Hubert Walker Bush.
View attachment 2255891

Ndani ya Video anasema hivi "We have foremost, we have the opportunity to forge for ourselves and for our future generations a NEW WORLD ORDER. a RULE OF LAW not a RULE OF JUNGLE governing the conduct of nations. When we are successful, we have a real chance of this NEW WORLD ORDER, the Order in which a credible UNITED NATIONS can use it's PEACEKEEPING ROLE to fulfill the PROMISE and VISION of UN founders."

Hiyo ilikiua 1991 baada ya kuvunjika USSR, Ni maneno yaliyozungumzwa ndani ya sekunde 30, LAKINI ukiwa na uwezo wa ku-decipher encoded message kwa kutafuta maana ya kila neno lililozungumzwa ujumbe utakufikia and that was first time in History neno NEW WORLD ORDER kutoka kwenye kinywa cha kiongozi wa US aliye madarakani. H.W. Bush (1989-1993)

Ngoja nijaribu kutoa hint za Keywords kutoka kwenye video
1. NWO
[emoji842](Jiulize kwanini kaitamka na ina maana gani)

2. Rule of Law vs Rule of Jungle
[emoji842](Ukikosa maana nasaidia maana, Rule of jungle ni kama Local laws, Rule of Law is what we can tell kama International Laws) so aliposema A rule of law not rule of jungle governing the conduct of nation jijibu mwenyewe alimaanisha nini.

3. Peacekeeping Role
[emoji842]Fatilia ujue Peacekeeping in United Nations ikoje na inafanya vipi kazi. To keep you in touch, kinachomwezesha US kuzurula na kuingilia affairs za kila nchi duniani toka baada ya WW2 ni hiki cha "Peacekeeping Role"

4. UN Founders
La mwisho na la muhim zaidi wajue UN founders ni wakina nani. Na hapa ukitaka kujua vizuri nenda deep kafatilie historia ya UN back ikiwa na majina mengine.

Na kuhusu Assassination ya viongozi kisa wapo kinyume na lile kundi nyuma ya Pazia. Kwa sasa sio rahisi na wadau wako smart zaidi ya tunavyowafikiria. You can't kill twice on the same cause. Now inaaminika hakuna kiongozi anayelindwa zaidi dunian kama POTUS (President of United States). Kitendo cha kua Assassinated ni kulitia doa Taifa.

Yule ilikuwa ang'olewe kwa Impeachment jaribio ambalo halikuzaa matunda, rejea uangalie kiongozi aliyefanyiwa attempt nyingi za kua impeached kwenye utawala wake. Sisemi kama Trump alikuwa kiongozi bora wa US kuwah kutokea lakini ukimlingaisha na hiki Kijibabu cha sasa Trump is far better.

Approval rate ya Anko Sam iko to historical low, Statistics zilizofanywa hivi karibuni umeziona. Kwa maslahi ya wananchi umewah kusikia jaribio lolote la kupumzishwa kwa Mzee?

Dunia yetu ya leo inahitaji mtu uwe na "detective personality" kuweza kuelewa mambo maana haikawii Zero kuitwa "O".
 
Vita vya Ukreni kwa siku inakadiriwa wanajeshi wa Ukraine 100 - 180 hupoteza maisha huku wanajeshi wa Urusi 70 - 150 nao hupoteza maisha.

Ukrain hupoteza zaidi wanajeshi wake kutokana na Urusi kumzidi kwa ubora wa silaha. Kama Ukraine itapatiwa aina na silaha alizoziomba toka nchi za magharibi na USA basi takwimu hizo za vifo vya wanajeshi wake zitashuka sana.

Tuiombee Ukraine na Urusi vita hii iishe, kwani mpaka sasa hakuna anayefaidika kati yao zaidi misiba kwenda pande zote mbili
 
Vita vya Ukreni kwa siku inakadiriwa wanajeshi wa Ukraine 100 - 180 hupoteza maisha huku wanajeshi wa Urusi 70 - 150 nao hupoteza maisha...
Takwimu zako za vifo ni tofauti na nilizozionA LEO mitandaoni, takwimu zinasema kuwa Ukrein anapoteza 60 to 100 per day

FUATILIA HAPA

We’re almost out of ammunition and relying on western arms, says Ukraine​

Isobel Koshiw in Kyiv - 40m ago

Ukraine’s deputy head of military intelligence has said Ukraine is losing against Russia on the frontlines and is now almost solely reliant on weapons from the west to keep Russia at bay.
“This is an artillery war now,” said Vadym Skibitsky, deputy head of Ukraine’s military intelligence. The frontlines were now where the future would be decided, he told the Guardian, “and we are losing in terms of artillery”.


“Everything now depends on what [the west] gives us,” said Skibitsky. “Ukraine has one artillery piece to 10 to 15 Russian artillery pieces. Our western partners have given us about 10% of what they have.”

Ukraine is using 5,000 to 6,000 artillery rounds a day, according to Skibitsky. “We have almost used up all of our [artillery] ammunition and are now using 155-calibre Nato standard shells,” he said of the ammunition that is fired from artillery pieces.

“Europe is also delivering lower-calibre shells but as Europe runs out, the amount is getting smaller.”
The Ukrainian president, Volodymyr Zelenskiy, said last week that between 60 and 100 Ukrainian soldiers were dying each day and a further 500 were being injured. Ukraine has kept the total number of its military losses secret.

Soldiers speaking to the Guardian from Ukraine’s frontlines this week painted a similar picture.
Skibitsky emphasised the need for the west to supply Ukraine with long-range rocket systems to destroy the Russian artillery pieces from afar. This week the Ukrainian presidential adviser Oleksiy Arestovych told the Guardian that Ukraine needed 60 multiple-rocket launchers – many more than the handful promised so far by the UK and US – to have a chance of defeating Russia.

Ukraine is set to ask the west for a list of weapons and defensive equipment at the contact group meeting with Nato in Brussels on 15 June.

Skibitsky thinks the conflict will remain predominantly an artillery war in the near future and the number of rocket attacks – which can be launched from Russia and have hit civilians – will remain at their current rate.
In the first month, Russia was constantly striking Ukraine with rockets but in the last two months it has slowed. Recent figures published by the head of Ukraine’s armed forces assert that Russia launches between 10 and 14 a day.

Rockets are expensive to manufacture. Each rocket can cost anywhere between a few hundred thousand dollars to several million.

“We have noticed that Russia is carrying out far fewer rocket attacks and it has used H-22 rockets; they are old 1970s Soviet rockets,” said Skibitsky. “This shows that Russia is running low on rockets.”

Skibitsky said Russia was unable to produce rockets quickly because of the sanctions and that it had used around 60% of its supplies.

The sound of sirens has become a daily feature for Ukrainians. Sirens regularly sound in multiple regions simultaneously but most of the time, for people on the ground, it passes without a bang. According to Skibitsky, each siren signals a rocket has entered Ukrainian airspace but its impact is not always reported for security reasons.

“The rockets take anywhere from 40 to 90 minutes to impact, depending on where they are launched from … We don’t know where they are going to land,” said Skibitsky. He noted that Russia was currently using long-range bombers which can reach anywhere in Ukraine without leaving Russian airspace.

In terms of the three frontlines, Skibitsky said most of Russia’s forces were now concentrated in the Donbas region and seeking to occupy the administrative borders of both the Donetsk and Luhansk republics. This was the area, he said, where the artillery battles were the heaviest.

In north-east Ukraine, around Kharkiv, he said Russian forces were focusing on defence after Ukraine’s counteroffensive pushed them out of several towns and villages in the region in May.

“The threat to Kharkiv has lessened,” said Skibitsky, of Ukraine’s second-biggest city, which has been shelled regularly since the beginning of the war.

Lastly, in Zaporizhzhia and Kherson, two southern Ukrainian regions that Russia almost completely occupies, Russian forces were digging in for the long haul, said Skibitsky. According to him, they are building double, sometimes triple, lines of defence.

“It will now be harder to get that territory back,” said Skibitsky. “And that’s why we need to weapons.”
“If they succeed in the Donbas, they could use these territories to launch another attack on Odesa, [the city of] Zaporizhzhia [and] Dnipro,” said Skibitsky of major cities under Ukrainian control which are in close proximity to the southern Russian-occupied areas. “Their aim is the whole of Ukraine and more.”

Ukraine’s military intelligence believes that Russia can continue at its current rate without manufacturing more weapons or mobilising the population for another year.

Skibitsky does not exclude the possibility that Russia will freeze the war for a period of time in order to convince the west to lift sanctions. “But then they will start it again – look at the last eight years,” he added.
 

Attachments

  • 1654838567179.png
    1654838567179.png
    68 bytes · Views: 43
Unajaribu kutaka ku balance idadi ya vifo kati ya RF na Ukr.
Kuhusu uwezo wa mapambano. Bado huna uhalisia.
Dunia nzima tunajua huwezi kupigana na mtu aliekuzidi.
Ukisema kua kama ukra ingepewa silaha ilizoomba ingeishinda RF.
Maana yake
Iraq,Libya, Afghanistan, Syria,somalia na Panama na Japan zingepewa silaha Bora kabisa USA Ingekua ilipata aibu ya Karne.
Ndivyo ilivyo.
Sasa kwa Nini hawataki kumpa hizo silaha walizoomba.?
Na je NAMI nikuulize vipi kama RF ingetumia silaha zote ilizonazo?
Ingekua vipi?
Unajua kabla ya kupigana na mtu jipime kwanza.usitegemee kua utapewa misaada.
Hapa duniani Urusi saizi yake ni Marekani TU.
 
Russia imeweka zuio kwa Japan wasiendelee kujihusisha na shughuli za uvuvi kwenye kisiwa cha Kuril kwa sababu ya kushindwa kulipa fedha. Japan a.k.a colony la mashoga wamelalamikia uamuzi huo wa ghafla wakiupa jina la uonevu. Uamuzi huo unakwenda kinyume na mkataba waliokubaliana (fishing pact 1998). Teh teh teh huo ujumbe una maana moja tu, "tumewalisha sushi kwa muda mrefu sana bila ya malipo leo munajitia kiherehere cha kusupport ukraine, kama wanaume kweli kavueni samaki bahari ya china".
Japan kiherehere Sana,
Wakishabanwa ndo wanakumbuka kwamba Kuna mikataba.

Shwaini kabisa[emoji4]
 
Unajaribu kutaka ku balance idadi ya vifo kati ya RF na Ukr.
Kuhusu uwezo wa mapambano. Bado huna uhalisia...
Mkuu mimi haya siyo mawazo yangu bali ni tafiti and statistics zilizofanyika na kutangazwa na vyombo mbalimbali za hari.

Nilisha andika humu ndani kwamba "Mlipa Zumari ndiye anayechagua wimbo"
Hapa ukiangalia kwa makini utagundua kuwa mlipa zumari ni nchi ingine mbali na hizi mbili zinazopigana na ndio maana Russia japo ananguvu kubwa kuliko Ukraine lakini anashindwa kushinda au kuimaliza vita.

Russia na Ukraine wameshakaa mezani Mara nyingi ili kumaliza vita kwa mazungumzo lakini imeshindikana na sasa wameamua kuchapana na hakuna anayejua mpaka sasa ni nini hatima ya vita wanayopigana.

Hii inamaanisha mlipa Zumari ndie atakayeamua Hatma ya vita hii.

Binafsi nawashangaa sana wale ambao hapa Jf wameamua kuchagua upande pro Russian vs Ukraine bila kujua kuwa hivi ni vita vya panzi na anayefaidi ni huyo Mlipa zumari
 

Putin: West unlikely to reject Russian energy for years​


Putin kaanza kulainika - mdogo mdogo !!

vita hii haitoi mshindi, vita hii ni kupigania heshima ili watu mkutane mezani respecting each other.
 
Back
Top Bottom