Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

'If someone wants to limit us in any way, they will limit themselves first of all'- Putin on sanctions

Russian President Vladimir Putin joked on the Western sanctions as he met with the nation's young talents in Moscow.
"If someone wants to limit us in any way, they will limit themselves first of all", Putin said stressing that due to restrictions imposed on Russian fertilizer and energy supplies, 'the prices are skyrocketing'.

"They are calling inflation after my name but we have nothing to do with this, seriously, it's true", the president said, pointing out at ' longstanding mistakes' made by the Western politicians.

"They were the ones who made those mistakes and now they are hiding and trying to cover certain parts of their anatomy. They are trying to shift the blame on Russia. But we have nothing to do with that", Putin concluded.
Yes NOTHING.......
Urrrrrraaaaaaaa
 
Huyu Mathanzua ni extremist conspiracist katika kambi ya Pro Russia, wengine wengi ni moderates conspiracists.
Huwezi ukauona uzuri wa chochote kama kila wakati utazitafuta habari za evil plans tu.

Tafuta na nyingine ubalansi kichwa. Halafuu hata kama ivi kuna faida gani kuishi maisha yote ukiamini unavyoamini[the future is very bleak!?]. Kuamini kwamba hakuna uzuri wa chochote katika maendeleo duniani [ufalme wako uje/na tayari upo ni wewe tu kuanza kuuona]ndio ushetani wenyewe sasa kama hujui. Hata TESLA akitengeneza gari model mpya lazima uje na nadharia zako za njama za kusadikika.
 
Hata saa mbovu husema ukweli angalau mara mbili kwa siku.
[emoji298]️Putin says Russia’s aim is to acquire new territories.

Speaking at an exhibition devoted to Peter the Great, Russian dictator Vladimir Putin claimed that the emperor’s Great Northern War against Sweden had been a return of Russian land, not a conquest of territory.
 
Da maneno ya kibabe na nguvu sana haya.
Haya ni maneno ya kikakamavu.
Nchi moja jeshi moja dhidi ya nchi zaidi ya 35 zenye uchumi imara kabisa hapa chini ya Jua.
Lkn kaziyumbisha kijeshi na kiuchumi.
Yes kaka Urusi sio dhaifu kama wengine wanavodhani baada ya kuona kama vile operesheni inadileii, hao wanawapiga ukreini kiakili sana

Jana nimesoma habari al Jazeera, mayor wa severodonetsk sijui anasema urusi imebadiri tactics za kupigana, kiufupi Urusi hatabiriki.
 
Pro Russia wenzangu, hata kama mnaelewa machache kuhusu huu mgogoro. Walau nyie hamjaingia kwenye msululu wa wale wanaopangiwa hisia na uelewa hadi kwenye mambo binafsi yanayowahusu.

Hivi vyombo vya habari kueni navyo makini sana. Ni kwamba Ukivipuuza utakuwa less informed na ukivifata mazima unakuwa misinformed. So now it's your choice, Uwe less Informed au Misinformed 🤔.

Ingawa from my point of view, ni bora kua na machache ya kweli kuliko mengi ya Uongo.
Sijataka kuiquote yote, hikinkipande kinawakilisha tu.

Hata mimi mtiririko wa kucheza series kama rais then kuwa rais ulishanitia mashaka sana. Kuna uwezekano mass ya watunikashikiwa akili kutokana na hizi tunazochukulia burudani.

Sema inaweza kutumika vizuri pia. Mfano nahisi wahindi wamejenga uzalendo wakisaidiwa na muvi zao, hata wamarekani pia. Ndo maana N. Korea na Uarabuni wako makini na videovideos.

Bora ufahamu machache ya ukweli kuliko uongouongo kweli maana uongo kichwani unakuwaga mithili ya virus, ni virus huwa unacorrupt hadi mafaili yalokuwa mazuri. Ulikuwa na akili unajikuta umepumbaa.nAndiko moja matata sana👊
 
Huyu Mathanzua ni extremist conspiracist katika kambi ya Pro Russia, wengine wengi ni moderates conspiracists.
I agree with part A of your story, hiyo sehemu ya pili sina data utawaita conspiracist wao watakuita [i mean tutakuita]propagandist, sijui kama linafit.

Kikubwa tuendelee kupambanisha hoja na data tu
 
Kipindi Russia anasogeza majeshi yake mpakan mwa Ukraine, nilimshangaa sana Zele kukataa kukaa mezani na jirani yake wayamalize mezani, Taifa la Ukraine litamkumbuka kama rais wa ovyo ambaye kairudisha nchi miaka 50 nyuma
Viongoz wa nchi huwa wanaongoza kupitia washaur wao,na washaur hata uchague vp lazima utajikuta umeangukia kwa wawakilish wa masponsa,na ikitokea umeenda kinyume na washaur kwa kujifanya hushaurik kuna uwezekano mkubwa masponsa wakakutema na safar ikaishia njian ref;BWANA YULE.


Kwa hiyo Zelenscky tukimlaumu tunamuonea tu,wakulaumiwa ni sponsa wake ambae amemuhakikishia usalama wa mke,watoto na wote awapendao endapo km atatimiza kile anachopaswa kufanya ipasavyo.
 
Huwezi ukauona uzuri wa chochote kama kila wakati utazitafuta habari za evil plans tu.

Tafuta na nyingine ubalansi kichwa. Halafuu hata kama ivi kuna faida gani kuishi maisha yote ukiamini unavyoamini[the future is very bleak!?]. Kuamini kwamba hakuna uzuri wa chochote katika maendeleo duniani [ufalme wako uje/na tayari upo ni wewe tu kuanza kuuona]ndio ushetani wenyewe sasa kama hujui. Hata TESLA akitengeneza gari model mpya lazima uje na nadharia zako za njama za kusadikika.
Mawazo ya kipuuzi kabisa haya.Mtu anayepanga kuku-ua hawezi kuwa na jema kwako,he will always sabotage you.Kwa ujinga ulio nao unaweza unadhani ni mwema kwako,lakini it will be an I lousion.Nyoka ni Nyoka tu.
 
Kwa kweli namuonea huruma,na nawaonea huruma wa Ukraine.

Pengine wangeheshimu mkataba wa Minsk haya yasongetokea

Pengine wangekubali kuwa nyutro haya yasongetokea

Pengine wangeheshimu Urusi kama kaka mkubwa haya yasongetokea

Pengine wasingekubali kutiwa kiburi na west haya yasongetokea.

Daa Ukraine inaenda kugawanywa.

Inakwenda kupigana na li nchi lenye maguvu namna hiyo, kwa kutegemea silaha za kuombaomba unategemea nini.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kiukweli Ukraine Ni wanavita haswaa. Wapiganaji, wapiganaji jasiri Hakuna was kubisha hili.

Kwa dalili Ni Kwamba watApigana Sana TU lakini hawatashinda. Kuipiga Russia na kuikimbiza so swala rahisi.

Zelensky aongee na afande Putin wamalize hili. Wasipokubali nchi inaendelea kumegwa. Inatia huruma.

Zelensky anavimba kwa silaha za kupewa bure? Ohh
Sasa wakuchukua huo mji wa Viwanda sindio itakuwa wameshikilia hatma ya uchumi wa Ukraine, [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kipindi Russia anasogeza majeshi yake mpakan mwa Ukraine, nilimshangaa sana Zele kukataa kukaa mezani na jirani yake wayamalize mezani, Taifa la Ukraine litamkumbuka kama rais wa ovyo ambaye kairudisha nchi miaka 50 nyuma
Fala sana huyu jamaa , kasababisha watu kufa na kuwa homeless
 
Viongoz wa nchi huwa wanaongoza kupitia washaur wao,na washaur hata uchague vp lazima utajikuta umeangukia kwa wawakilish wa masponsa,na ikitokea umeenda kinyume na washaur kwa kujifanya hushaurik kuna uwezekano mkubwa masponsa wakakutema na safar ikaishia njian ref;BWANA YULE.


Kwa hiyo Zelenscky tukimlaumu tunamuonea tu,wakulaumiwa ni sponsa wake ambae amemuhakikishia usalama wa mke,watoto na wote awapendao endapo km atatimiza kile anachopaswa kufanya ipasavyo.
Yeye alikuwa na nafasi ya kuchanga karata zake vyema na sio kukurupuka
 
Back
Top Bottom