ngaboru
JF-Expert Member
- Mar 3, 2016
- 2,117
- 5,537
Wooiiii n kuweka records sawa tuu 😂😂😂😂😂urongo ukizidi unakuaga na tabia ya kua ukweli,Warusi mnataka kuniboa sasa, msitumie nguvu nyingi ikibidi muwakaushie kabisa hawa punga.
Unajua kuna vitu vingine kwa mtu timamu ukimueleza anaelewa hata Kama alikuwa anapinga sana ila kwa hawa wenzetu wamefungwa socket yenye option moja, Kama ni on basi ni on on ila Kama ni off basi ni off off. Yaani ni kazi kweli unaweza kuta fuvu lao lina kilo tano hilo ni fuvu tu bado uzito wa meno sijui ubongo n.k ni tofauti na warusi, wenyewe ni off na on Kama ni kweli watakubali na kinyume chake.
Mie huwa na wazoom halafu wanato wengi wao ni wanawake toka nishtuke ndio nakabaki kuwaangalia tu. Yaani unabishana na dem kabisa mie hapana.
Kingine siku hizi naona id mpya mpya nyingi za nato ukitakaa kuziona subiri tukio limpate urusi au Putin utaziona zinakuja spidi Kama roketi linaloenda anga za mbali. Kati ya id tano za wanato unakuta unabishana na mtu mmoja au wawili, hapa kina Yule mkenya, britanika sijui kina yehohada , annunaki na wengine nkifupi kuna mda mnaweza bishana na id mbili kumbe ni mtu mmoja huku akiwachora na kujiona kawaweza mda huo akijisahau kuwa safari ya ujizi ndio kaianza.
warusi ebu wakaushieni tuwaone
Hao unaowasema labda wanalipwa per diem,overtime,mshahara wacha wapambane maana hakuna mrushia anaepambana mwanzo mwisho watu wanapokezana yeye ndio atapoteana.