Mnamaliza nguvu zenu kutukanana kusiko na sababu ya msingi...watu mnajazba sana....
Hii dunia inamatatizo chungu nzima, kama ukifanya unapresha na mihemko si utakufa na kuiacha dunia ipo tu....Isitoshe hivo vita au operation ya kijeshi inayoendelea Ukraine..sio vita peke yake ibayopiganwa...Ndugu zetu waafrika wanakufa sehemu mbalimbali kutokana na vita, magonjwa etc.....Juzi tu hapa Ethiopia moto umewaka, Congo, Somalia,Nigeria huko, Cameroon, Libya hapo..ndugu zetu waafrika wanakufa...Na hatuoni hizo hasira zenu kwa hao wote...LEO wazungu wanatandikana huko..watu mnataka kutoana roho...ENYI WAAFRIKA NI NANI AKIYETULOGA???....Acheni wafu wazike wafu wao....Afrika bila shaka tunapaswa kuwa na agenda za kwetu za kutufanya tupigane na ukoloni mamboleo.....Waziri wa mambo ya nje ya India...kasema juzi..WAZUNGU WANSTAKA WAFANYE MATATIZO YAO NI YA DUNIA...na MATATIZO YA WENGINE HAYAWAHUSU....
Afrika ukoloni umebaki kichwani mpaka sasa...Wakifa wazungu watu mnatoana roho, wakifa waafrika, waarabu etc..walaa kama tunaangalia movie tu...
Shamee