Hayo yamesemwa leo na wazili wa Ulinzi wa Urusi:. "Maeneo ya makazi ya mji wa Severodonetsk yamekombolewa kikamilifu," Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergei Shoigu aliambia mkutano wa wizara ya ulinzi. Jeshi la Urusi bado lilikuwa likijaribu kuweka udhibiti wa "eneo la viwanda na makazi ya karibu"
Ikumbukwe kuwa:
Kuthibitiwa kwa mji wa severodonest ni anguko la Ukraine kwenye ukanda wa dombass
Pia eneo la severodonest ndilo lilikuwa likipiganiwa kwa udi na uvumba na pande zote mbili. huku Ukraine ikiweka nguvu zaidi kuhakikisha eneo lao ambalo ndio kitovu cha viwanda na uchumi wa Ukraine lisichukuliwe na Urusi, lkn imeonekana kuwa vigumu kumzuia adui kutokana na jeshi lake kuwa dhaifu kutokana na kutokuwa na silaha imara kama za Urusi.
Kwa sasa majeshi ya ukraine yanahesabika kuwa na udhibiti wa 3℅ na wanajeshi wake wakiendelea kupigana nje ya mji (nje ya makazi ya watu)
Na wakati huohuo Urusi inasema imeshadhibiti zaidi ya mateka 6000 wa jeshi la kivita wa ukraine
Fuatilia habari zaidi kutoka aljazeera na RT
RT: Russia claims military success
The Donbass town where a wooden monastery was torched during fighting has been “liberated” from Ukraine, Sergey Shoigu says........
Aljazeera: Russia claims partial control of Severodonetsk
Russia says its forces had taken full control of residential neighbourhoods in Ukraine’s flashpoint city of Severodonetsk, after Kyiv said its troops were fighting on in the eastern hub despite being outnumbered.
“The residential areas of the city of Severodonetsk have been fully liberated,” Russian Defence Minister Sergei Shoigu told a defence ministry meeting.
The Russian army was still seeking to establish control over the city’s “industrial zone and the nearest settlements”, he added,